Saturday , 18 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

ACT wazalendo wampa tano Samia kufufua mchakato Katiba mpya

CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...

Habari za Siasa

Katiba mpya hiyoo! Samia aagiza Msajili kuitisha kikao maalumu

RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la vyama hivyo...

Habari za Siasa

Biashara kati ya Tanzania na Ufaransa yafikia 94 bilioni

UKUAJI wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha Sh.  27.8 bilioni kwa mwaka 2015 hadi Sh. 94.5 bilioni kwa...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Nimekomaa zaidi kisiasa katika miaka 9 ya ACT Wazalendo

  LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...

Habari za Siasa

Mbowe alinigomea kukutana na Magufuli – Job Ndugai

  ALIYEKUWA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amedai kuwa aliwahi kumshauri Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kukutana na...

Habari za Siasa

Spika Tulia: Sugu hanitishi, moto wangu anaujua

Spika wa Bunge, Tulia Ackson leo Alhamisi amesema licha ya kuwepo kwa chokochoko kwamba aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi...

Makala & Uchambuzi

Ulinzi hifadhi za Taifa uwe wa kila mtu

UJANGILI wa wanyamapori bado ni tatizo kubwa katika hifadhi za Taifa. Kwa nchi yetu tuna jumla ya hifadhi 22 zinazosimamiwa na Shirika la...

Habari za Siasa

Hatma ya kesi ya uraia pacha kujulikana 31 Mei mwaka huu

  KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na raia wa Tanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupinga Sheria inayokataza uraia wa nchi mbili, maarufu kama...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tumebeba ‘teaching allowance’

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema suala la posho ya kufundishia (teaching allowance) kwa walimu ni mzigo mkubwa kwenye kapu la serikali hivyo...

Habari za Siasa

Rais Samia aongeza mishahara kimya kimya “nyongeza zitaendelea kila mwaka”

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejesha mpango wa nyongeza ya mishahara kila bila kutaja viwango ili kudhibiti mfumuko wa bei. Anaripoti Mwandishi...

HabariHabari Mchanganyiko

Sekta ya Mawasiliano imekuwa na maendeleo makubwa ya kiuchumi nchini-Mohamed

Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Serikali Mapinduzi Zanzibar Khalid Salum Mohamed miaka ya hivi karibuni kumekuwa na maendeleo makubwa katika sekta ya...

HabariHabari Mchanganyiko

TCRA yawataka wasafirishaji wa vipeto kujisajili na wengine kuhuisha leseni

Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki imetoa wito kwa wadau wa posta wenye leseni kuhakikisha kuwa wanafuata taratibu, kanuni na sheria...

Habari za Siasa

Dk. Biteko: Rais Samia amewaunganisha Watanzania

  RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amewaunganisha watanzania katika sekta zote nchini ili kuhakikisha wananufaika na rasilimali mbalimbali zilizopo pamoja na...

Habari za Siasa

Mbowe ataka rasilimali watu ikomboe Afrika kiuchumi

  MWENYEKITI mwenza wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Afrika (DUA), Freeman Mbowe, amezitaka nchi za Afrika kutumia vyema rasilimali watu ili kukomboa...

Habari za Siasa

Samia ateua Mwenyekiti mpya baraza la maadili

  RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Jaji mstaafu Rose Teemba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Maadili kuanzia tarehe 24 Aprili 2023. Jaji mstaafu...

Habari za Siasa

Tunduma yatenga bilioni 4 kujenga barabara

  HALMASHAURI ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe inatarajia kutumia fedha zake za mapato ya ndani Sh bilioni nne kujenga barabara zenye...

Habari za Siasa

Serikali iwarejeshe nchini wafungwa Watanzania

CHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka Serikali kuwarejesha Watanzania wanaoshikiliwa na waliokutwa na makosa ya jinai katika mataifa ya nje. Anaripoti Faki Sosi, Dar es...

Habari za Siasa

Rais Samia: Miaka 59 ya Muungano imekuwa ya umoja, amani

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema miaka 59 ya Muungano imekuwa yenye umoja, amani na ustawi wa Taifa kama ilivyokuwa ndoto za waasisi...

Habari za Siasa

Raia 200 wa Tanzania waliokwama Sudan kurejea nchini

  SERIKALI imesema kuwa Watanzania 200 waliokwama nchini Sudan wakati huu ambako taifa hilo likiwa kwenye machafuko wapo njiani kurejea nyumbani. Anaripoti Faki...

ElimuTangulizi

Global Education Link kuitafutia TIA fursa vyuo vya nje.

TAASISI ya  Uhasibu Tanzania (TIA), imesaini mkataba na wakala wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link (GEL), lengo ikiwa ni kushirikiana kuitafutia...

Makala & Uchambuzi

Miradi inayofadhiliwa na GGML inavyoleta mageuzi ya kiuchumi Geita

TANGU kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML), ambayo ni kampuni tanzu ya AngloGold Ashanti ilipoanzishwa mwaka 2000 nchini Tanzania, imekuwa kampuni kinara...

Habari za Siasa

Sheikh Ponda ataka Bunge lisikwamishe hatua kwa vigogo walioguswa na CAG

  KATIBU wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amemtaka Rais Samia Suluhu Hassan, aanze kuwashughulikia vigogo waliohusika na vitendo vya...

Habari za Siasa

Rais Samia amteua Balozi Kagasheki kumrithi Mrema

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili 2023. Awali nafasi hiyo...

Habari za Siasa

Mdee ang’ang’ania mshahara wa waziri kisa madai ya watumishi

  MBUNGE Viti Maalum, Halima Mdee (Chadema), ametishia kutopitisha fungu lenye bajeti ya mashahara wa Waziri wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...

Habari za Siasa

Spika aagiza changamoto malipo kwa wastaafu iishe

  SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson, ameagiza Serikali kutokomeza changamoto ya ucheleweshaji malipo ya mafao ya wastaafu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Spika Tulia...

Habari za Siasa

Kilio uhaba wa maji kuwa historia Musoma Vijijini

  CHANGAMOTO ya uhaba wa maji katika Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Mara, iko mbioni kuisha baada ya Serikali kupeleka miradi ya maji...

Habari za Siasa

Tanzania yalaani mapigano Sudan, kuwarejesha nyumbani Watanzania 210

  SERIKALI ya Tanzania, imezitaka pande mbili zinazosigana nchini Sudan na kusababisha mapigano yaliyogharimu maisha ya watu zaidi ya 180 na majeruhi 1,000,...

Habari za Siasa

Kesi ya kina Mdee kupinga kufukuzwa Chadema yapigwa kalenda

KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 wakiongozwa na Halima Mdee, imeahirishwa hadi tarehe 18 na 19 Mei,2023 kutokana na Jaji anayeisikiliza, Cyprian...

Habari za Siasa

Rais Samia amtumbua Mkurugenzi Mwanza

Rais Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Sekiete Yahaya Selemani, Mkurugenzi wa Halmashauri ya jiji la Mwanza kuanzia tarehe 16 Aprili 2023.

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ataka Mwigulu, Mbarawa washtakiwe kwa uhujumu uchumi

MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina (CCM) amesema kutokana na madudu yaliyoibuliwa katika ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG),...

Habari za Siasa

Dk. Mpango atangaza kibano waliotajwa ripoti ya CAG

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango amesema serikali itawachukulia hatua wale wote watakaobainika kuwa wamefanya ubadhirifu...

Makala & Uchambuzi

Ripoti CAG; Hii ndio sababu REA kujiendesha kwa hasara

UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA). CAG ameimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020. Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili;...

Habari za Siasa

Rais Samia avunja bodi TRC, amtumbua bosi TGFA

RAIS Samia Suluhu Hassan leo  tarehe 9 Aprili 2023 ameivunja Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Reli Tanzania (TRC) na kutengua nafasi ya...

Makala & Uchambuzi

Kama Ripoti ya CAG ni nzuri, Rais ni mzuri

  MJADALA wa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) unaoendelea baada ya kuwasilishwa kwake bungeni Dodoma wiki hii,...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aongoza kumbukizi miaka 51 kifo cha Hayati Karume

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, ameongoza maadhimisho ya kumbukizi ya miaka 51 ya kifo cha aliyekuwa Rais wa kwanza visiwani humo,...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo ampa tano Rais Samia

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameipongeza Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa fedha kiasi cha Sh. 4.75 bilioni,...

Makala & Uchambuzi

Ripoti za CAG: Ufisadi haujazidi nchini, kilichozidi ni uhuru

  RIPOTI za Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Serikali (CAG) zimeibua mjadala mkubwa na mpana nchini tangu zitolewe hadharani siku chache zilizopita. Anaripoti...

Habari za Siasa

Spika Tulia atoa maagizo serikalini ajira za watumishi wanaojitolea

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameagiza Serikali kuweka kanzi data maalum (data base), yenye taarifa za watumishi wanaojitolea ili wapewe kipaumbele...

Habari za Siasa

Ripoti ya CAG yatinga bungeni

  RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kwa mwaka wa fedha wa 2021/22, imewasilishwa bungeni jijini Dodoma, kwa...

Habari za Siasa

Lissu arudi tena, “Si mlisema nimekimbia!”

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) leo Jumatano amerudi jijini Dar es Salaam kutokea nchini Ubelgiji ambako alidai kwenda...

Habari za Siasa

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai,  Lengai Ole Sabaya, ambaye alikuwa akikabiliana na  mashtaka saba ikiwemo uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na...

Tangulizi

Prof. Muhongo agawa msaada kwa wananchi waliokumbwa na mafuriko

  MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ametoa msaada wa dharura ikiwemo vyakula, kwa wananchi walioathirika na mafuriko ya mvua jimboni humo....

Habari za Siasa

Wabunge wapania kuwanyoosha bungeni waliotajwa ripoti ya CAG

  BUNGE la Tanzania, limeombwa kutenga muda wa kutosha kwa ajili ya kuwashughulikia baadhi ya watumishi wa umma waliotuhuma kwa makosa ya ubadhirifu...

Habari za Siasa

Mbunge Chadema watolea uvivu wabunge wa CCM bungeni

  MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, (Chadema), Aida Khenani, amewataka baadhi ya wabunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM), “waache unafiki” ili wamsaidie Rais Samia...

AfyaHabari za Siasa

Wabunge walia na serikali uchakavu vituo vya afya

  BAADHI ya wabunge wameihoji Serikali ina mpango gani wa kuboresha vituo vya afya chakavu, ili viweze kutoa huduma bora za afya kwa...

Habari za Siasa

Zitto atia neno maandalizi Dira ya Taifa 2050

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameshauri mchakato wa maandalizi ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050, uwe wa wazi pamoja...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ataka mambo sita yazingatiwe uandaaji Dira ya Taifa 2050

  MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, ametaka mambo sita yazingatiwe katika uandaaji wa Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za Siasa

Simbachawene, Jenista wala kiapo Ikulu

RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Jenista Mhagama kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) kwenye...

Habari za Siasa

Rais Samia apangua mawaziri

RAIS Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, Kwa kuwahamisha mawaziri wawili. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

RC mstaafu afariki dunia, CCM yamlilia

ALIYEWAHI kuwa mkuu wa mikoa ya Dodoma, Mara, Mtwara na Arusha kwa nyakati tofauti, Isdory Shirima amefariki dunia leo tarehe 31 Machi 2023....

error: Content is protected !!