Saturday , 27 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Samia amteua Balozi Kagasheki kumrithi Mrema
Habari za Siasa

Rais Samia amteua Balozi Kagasheki kumrithi Mrema

Spread the love

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Khamis Sued Kagasheki kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole kuanzia tarehe 18 Aprili 2023.

Awali nafasi hiyo ilikuwa inashikiliwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha TLP, Agustine Mrema ambaye alifariki dunia tarehe 16 Agosti 2022.

Mrema alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Parole tangu mwaka 2016 alipoteuliwa na Rais wa awamu ya tano, Dk. John Magufuli.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaKimataifaTangulizi

Tanzania, Somalia kuibua maeneo mapya ya ushirikiano

Spread the love  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Tanzania na Somalia...

Habari za Siasa

ACT: Waongoza watalii wapate maslahi yao inavyostahili

Spread the loveCHAMA cha ACT-Wazalendo kimeitaka serikali kuhakikisha inasimamia maslahi stahiki ya...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ajitosa kuviunganisha vyama vya siasa Burundi

Spread the love  MWENYEKITI wa Kituo Cha Demokrasia Tanzania (TCD), Prof. Ibrahim...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awataka watanzania kudumisha muungano

Spread the loveRais wa Tanzania,Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania kuendeleza Muungano kwa...

error: Content is protected !!