Saturday , 27 April 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Rais Samia ashuhudia mikataba ya msaada wa bilioni 455

RAIS Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu ya msaada wa maendeleo inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) wenye thamani ya...

HabariTangulizi

Majaji wamkalia kooni Rostam, aomba radhi

  MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Aziz, ameomba radhi kufuatia kauli yake iliyodai kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam,...

Habari

Kesi kupinga mkataba DP World kuanza kusikilizwa 20 Julai, mawakili waomba zuio

  MAHAKAMA Kuu, Kanda ya Mbeya, imepanga kuanza kusikiliza mfululizo kesi ya kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania...

HabariKitaifa

Mabasi ya New Force yapigwa kitanzi kisa ajali

MAMLAKA ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), imefuta ratiba za safari kwa mabasi 38 ya Kampuni ya New Force Enterprises kutokana na kile kilichoelezwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Kesi kupinga mkataba wa DP World yaanza kuunguruma

KESI ya kupinga mkataba wa kiserikali wa ushirikiano juu ya uendeshaji bandari nchini, ulioingiwa kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai,...

Makala & Uchambuzi

Haya ndio maeneo 12 ambayo Tanzania itafaidika uwekezaji DP World bandarini

MJADALA kuhusu makubaliano kati ya Serikali ya Tanzania na Serikali ya Dubai ambayo inatarajiwa kuwekeza katika Bandari ya Dar es Salaam umezidi kushika...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atumbua wakuu wa wilaya

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 ametengua uteuzi wa wakuu wa wilaya ya Kilindi...

Habari za Siasa

Tunduma yaanza mikakati kubuni vyanzo vipya vya mapato, yalenga kuipiga teke Ilala

MWENYEKITI wa halmashauri ya mji Tunduma, Ayoub Mlimba amesema katika bajeti ya mwaka huu wa fedha 2023/2024 wamejipanga kubuni vyanzo vipya vya mapato...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM afariki baada ya kugongwa na trekta

MBUNGE wa Jimbo la Mbarali Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Fransis Leonard Mtega (CCM) leo Jumamosi  alasiri amefariki dunia  baada ya kupata ajali...

KimataifaTangulizi

Rais agomea nyongeza ya mshahara wake, “walimu, polisi … wanastahili”

RAIS wa Kenya, William Ruto  amegomea pendekezo la Tume ya mishara ya nchi hiyo (SRC) la nyongeza ya mshahara kutoka TSh 24.8 milioni...

Habari za Siasa

Dk. Mpango ampa maagizo mazito Balozi wa Tanzania-Uturuki

MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amemuagiza Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Balozi Idd Seif Bakari kuhakikisha...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Ponda ajitosa sakata la DP World, atoa msimamo

  KATIBU wa Shura ya Maimamu, Sheikh Ponda Issa Ponda, ameipongeza Serikali kwa kuupeleka bungeni jijini Dodoma, mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kwa...

KimataifaTangulizi

Mshahara wa milioni 28 kwa Rais Ruto wazua gumzo Kenya

RAIS wa Kenya, William Ruto, naibu wake Rigathi Gachagua na Katibu Mkuu Mkuu, Musalia Mudavadi kuwa ni moja ya maafisa wa ngazi ya...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua Makamu NEC, Mkaguzi mkuu wa Serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Benjamin Magai kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

MwanaHALISI kurejea mtaani kesho, Rais Samia atajwa

GAZETI bingwa la habari za uchunguzi nchini Tanzania, MwanaHALISI, linatarajiwa kuanza kurejea mtaani kesho Alhamisi, tarehe 29 Juni 2023, baada ya kuwa kifungoni...

Habari za SiasaTangulizi

Bunge laazimia mambo 4, laahirishwa, Majaliwa atoa hofu mkataba bandari

HATIMAYE Bunge la Bajeti limeahirishwa baada ya kutumia siku 85 tangu lilipoanza tarehe 4 Aprili 2023, huku azimio lake la kuridhia makubaliano ya...

Habari za Siasa

ACT yajipanga kuimarisha ushiriki wa wanawake kwenye uongozi

  KATIBU Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema Chama hicho kimejipanga kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi za...

BiasharaTangulizi

TLS yaishauri Serikali kufuta vifungu tata mkataba DP World, “vinakiuka masilahi ya Taifa”

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeshauri Serikali kuondoa vifungu vinavyominya maslahi ya Taifa katika mkataba wa makubaliano ya kiserikali kati yake na...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Tulia aeleza sababu za kengele ya hatari kulia Bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...

HabariKitaifa

Spika Tulia aeleza sababu za kengele ya hatari kulia Bungeni

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...

GazetiHabari

Kikao cha Bunge chaahirishwa ghafla, larejea

KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Kikao cha Bunge chaahirishwa ghafla

KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...

Habari za SiasaTangulizi

Rostam amlipua Dk. Slaa… “ni kizabizabina”

MFANYABISHARA wa Kimataifa ambaye pia ni mwanasiasa, Rostam Aziz amejibu Balozi Dk. Wilbrod Slaa ambaye alimtuhumu kwa mambo mbalimbali na kusisitiza kwamba Katibu...

Habari za SiasaTangulizi

Rostam Aziz: Sihusiki na uwekezaji wa DP World

MFANYABIASHARA wa kimataifa nchini, Rostam Aziz amesema hahusiki lakini pia kampuni zake hazihusiki wala hazina uhusiano wowote na Kampuni ya DP World kutoka...

Habari za SiasaTangulizi

Hanje, Makamba watikisa Bunge likipitisha bajeti kuu

WABUNGE wa viti maalumu Nusrat Hanje, Salome Makamba ambao ni sehemu ya wabunge 19 waliotimuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

Habari za Siasa

JUVICUF wataka elimu zaidi kuhusu mkataba bandari

WAKATI Serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Kampuni ya DP World, kuhusu ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, Jumuiya...

Habari MchanganyikoTangulizi

Simulizi mwanafunzi aliyedaiwa kuwekwa kinyumba na Baba Jose inasikitisha, RC aonya viboko

TAKRIBANI mwezi mmoja na siku kadhaa tangu Mwanafunzi Ester Noah (18) wa kidato cha tano katika Shule ya Sekondari ya Pandahili mkoani Mbeya...

Habari za Siasa

Mkutano wa CHADEMA Temeke kupinga bandari wasusiwa na viongozi, wananchi

MKUTANO ulioandaliwa leo na chama cha upinzani cha CHADEMA na kada wake wa zamani, Wilbrod Slaa, kwenye viwanja vya Bulyaga, Temeke, jijini Dar...

Habari za Siasa

Kamati ya siasa yakagua miradi ya bilioni 9.3 Ileje, yabaini madudu

KAMATI YA siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe  imekagua miradi nane yenye thamani ya Sh 9.3 bilioni katika wilaya ya Ileje...

Habari za Siasa

Tanzania yafungua rasmi ubalozi wake nchini Indonesia

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza katika...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yaonya waajiri kutopendelea ‘cheap labour’

NAIBU Waziri ,Ofisi ya Waziri Mkuu(Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Patrobas Katambi amewatahadharisha waajiri kutopendelea kuwalipa masilahi duni wafanyakazi wao kwani hali...

Habari MchanganyikoTangulizi

7 wapoteza dunia ajali ya New Force akiwemo dereva

Watu saba wamefariki dunia akiwemo mtoto wa kike  katika ajali ya basi la New force lenye namba za usajili T173 DZU linalofanya safari...

Habari za Siasa

Tanzania kufungua rasmi ofisi za ubalozi Indonesia

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Jaji Mwangesi: Wanao-park STK baa tupeni taarifa tuwashughulikie

KAMISHNA wa Maadili Jaji Sivangilwa Mwangesi ametoa wito kwa Watanzania kutoa taarifa pindi wanapobaini kiongozi wa umma anatumia vibaya mali za umma kwa...

BiasharaTangulizi

Prof. Lipumba:Miradi isiyo na tija imedumaza uchumi Taifa

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameitaka Serikali iachane na miradi ya maendeleo inayochukua muda mrefu bila kuleta tija kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka kamati iundwe kupitia upya mkataba wa DP World

MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali iboreshe mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, ulioingiwa...

Habari za Siasa

Kamati ya siasa Songwe yakagua miradi 7, yatoa maagizo

KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi  (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya Sh 5.5 bilioni wilayani Songwe...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yaipukutisha Chadema Kigoma

WALIOKUWA wagombea udiwani wa CHADEMA katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....

BiasharaTangulizi

Lema, Zitto waishauri Serikali mkataba DP World “hatupingi uwekezaji bandari”

SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kurekebisha baadhi ya vifungu vinavyolalamikiwa na wananchi katika mkataba wa ushirikiano wa kuendesha bandari ya Dar es Salaam, kati...

BiasharaTangulizi

Rostam, Kitila wamvaa Mbowe kwa kauli za ubaguzi

MFANYABIASHARA maarufu nchini Tanzania, Rostam Azizi, na Mbunge wa Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo (CCM), wamemtaka Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, aombe radhi kutokana...

BiasharaTangulizi

Dk. Kitila aanika maeneo yatakayoendeshwa na DP World, Wassira achafukwa na ubaguzi

WAKATI mjadala wa mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, kati ya Serikali ya Tanzania na Kampuni ya Dubai Port World (DP World), ukishika...

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aibana TPDC, TANESCO

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amelitaka amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), liache kuwa wauzaji wa mafuta yanayotoka nje...

AfyaTangulizi

Wananchi Ludewa waiangukia serikali zahanati iliyotelekezwa miaka 7, Filikunjombe atajwa

WANANCHI wa kijiji cha Nsele kata ya Kilondo tarafa ya Mwambao halmashauri ya wilaya ya Ludewa mkoani Njombe, wameiomba serikali kumalizia ujenzi wa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yamtaka CAG akague fedha za tozo, UVIKO-19

CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi dhidi ya fedha za tozo za miamala ya...

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yasaini mikataba saba ya ujenzi wa Barabara ya Sh. 3.7 trilioni

SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7 kwa kiwango cha...

Habari za SiasaTangulizi

ACT-Wazalendo: Bajeti kuu haina vipaumbele vya kuboresha maisha ya Watanzania

CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimekosoa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/24 na kudai kuwa haijaweka vipaumbele vinavyolenga kuboresha maisha ya wananchi...

HabariKitaifaTangulizi

Ni Bajeti ya kulipa madeni, mzigo wa kodi

WAZIRI wa fedha, Mwigulu Nchemba, amewasilisha bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2023/2024, huku sehemu kubwa ya fedha iliyotengwa ikielekezwa kwenye ulipaji...

Habari za Siasa

Kata nne Musoma Vijijini mbioni kupata maji

WANAVIJIJI kutoka kata nne za Wilaya ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na adha ya huduma ya maji safi na salama...

Habari za Siasa

Tanzania yawakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili...

error: Content is protected !!