Categorizing posts based on type of post
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Kilimo iweke katika lugha rahisi andiko juu ya upatikanaji wa mitaji na pembejeo kwa wakulima na...
By Gabriel MushiAugust 3, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya siasa nchini, inaendelea na zoezi la uhakiki wa masharti ya usajili wa vyama hivyo, ambapo hadi...
By Regina MkondeAugust 3, 2023MLINZI wa Hoteli ya Twiga, aliyefahamika kwa jina la Cyprian, anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Geita, kwa tuhuma za kuchoma gari...
By Mwandishi WetuAugust 3, 2023Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia...
By Mwandishi WetuAugust 2, 2023BAADHI ya vyama vya siasa vya upinzani nchini vimeitaka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, ivifutie usajili vyama vinavyokiuka sheria katika...
By Regina MkondeAugust 1, 2023RAIS wa Kenya, William Ruto amemtimua Waziri wa Biashara, Moses Kuria na mwenzake wa Usalama wa Ndani Kithuri Kindiki baada ya kuchelewa kwenye...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Watu wa Algeria, Abdelmadjid Tebboune amekutana kwa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameitaka Serikali itoe elimu kwa vyama vya siasa, kuhusu mkataba wa uwekezaji bandari nchini, ili kuondoa...
By Regina MkondeAugust 1, 2023HOSPITALI ya Taifa Muhimbili Mloganzila imesema hadi sasa imetoa huduma ya kupunguza uzito kwa watu 128 wenye uzito uliopitiliza kwa kutumia puto maalum...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023BARAZA la Vyama vya Siasa nchini, limeitisha mkutano wa dharura kwa ajili ya kujadili hali ya siasa nchini. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...
By Regina MkondeAugust 1, 2023MKUU wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amewataka Watanzania kutoibeza na kuikwamisha miradi mikubwa ya maendeleo inayotekelezwa na serikali kwa kushirikiana na baadhi...
By Mwandishi WetuAugust 1, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema maridhiano yanayofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan, hayatazuia kuikosoa Serikali yake katika mikutano ya hadhara. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amewataka wananchi wawe na subira wakati Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linafanya mageuzi ya utendaji kazi wake. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023WAZIRI wa Nishati, January Makamba amewataka watu wasiingize siasa katika utendaji wa wizara yake, kwa kuwa kitendo hicho kinaathiri maendeleo ya nchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023WAUMINI 14 wa Kanisa la KTMK, Kijiji cha Ichigondo, wilayani Bunda, Mkoa wa Mara, wamefariki dunia, huku 14 wakijeruhiwa baada ya mitumbwi waliyokuwa...
By Mwandishi WetuJuly 31, 2023RAIS mstaafu wa Nigeria, Olusegun Obasanjo ataongoza kamati ya watu 10 katika mazungumzo kati ya Rais wa Kenya, William Ruto na kiongozi wa...
By Mwandishi WetuJuly 30, 2023KATIBU Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo leo Jumamosi amesema upotoshaji unaofanywa na wanasiasa wa upinzani kuhusu uwekezaji katika bandari ya Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira ameeleza kushangazwa na hatua ya Makamu Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MWANASIASA mkongwe nchini na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira amesema itakuwa ni aibu kwa Serikali iwapo itashindwa...
By Mwandishi WetuJuly 29, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Chadema, amesema Katiba mpya ndio njia pekee ya kudhibiti ‘wizi’ unaotendeka kila awamu ya...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaalika wawekezaji waliobobea kwenye sekta ya mbolea ili waje kufungua viwanda vya mbolea nchini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Ametoa...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023BUNDI ametua rasmi kwenye huduma ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship jimbo la Dodoma baada ya uongozi wa jimbo kudaiwa kuvamia kanisa...
By Danson KaijageJuly 28, 2023MBUNGE wa Ukonga, Jerry Silaa ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya kudumu ya bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), amesema...
By Mwandishi WetuJuly 28, 2023MKURUGENZI Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga, Khamis Katimba amesema, halmashauri hiyo imepanga kuvuka lengo la makusanyo ya mapato...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023WAFANYABIASHARA pamoja na watuaji wa nguo za mitumba nchini Kenya, wameitaka serikali nchi hiyo kusitisha mpango wake wa kupiga marufuku wa uingizwaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kuipaisha Tanzania kimataifa baada ya kufanikisha ujio jijini Dar es Salaam wa marais wasiopungua sita na Makamu...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amegoma kufika katika Ofisi ya Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023KESI iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekwama kusikilizwa baada ya shahidi kushindwa...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023HOJA sita zinatarajiwa kutikisa katika usikilizwaji kesi ya kikatiba iliyofunguliwa kupinga mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai,...
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amezitaka nchi za Afrika kutumia vijana katika kuleta mageuzi ya kiuchumi barani humo. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea)....
By Mwandishi WetuJuly 26, 2023MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amesema taasisi za kifedha za kikanda na kimataifa zinapaswa kujishughulisha zaidi katika kubuni na kutoa masuluhisho ya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumanne ametoa wito kwa Watanzania kuwaenzi mashujaa kwa kudumisha amani, umoja, mshikamano na utulivu wa nchi na kufanya...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023NAIBU Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dk. Festo Dugange leo Jumanne ameonekana kwa mara ya kwanza hadharani kwenye shughuli ya kiserikali ikiwa...
By Mwandishi WetuJuly 25, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema mpango wa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutafuta mwekezaji binafsi wa kuendesha bandari nchini, ni utekelezaji wa...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2023MBUNGE Viti Maalum, aliyefukuzwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Jesca Kishoa, ameibuka katika mkutano wa hadhara wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuJuly 24, 2023BALOZI Mstaafu Dk. Wilbroad Slaa amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan atokeo hadharani atoke hadharani na kutoa kauli ili kuliokoa Taifa katika janga lililoibuka...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023BALOZI mstaafu Dk. Wilbroad Slaa amewataka Watanzania kuacha unafiki kwani alialika baadhi ya vyama vya siasa kushiriki mkutano unaolenga kujadili mkataba wa uwekezaji...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023ASKOFU wa Kanisa la Baptist Kanda ya Kati, Anthony Mlyashimba ametoa wito kwa Rais Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake kukubali kuufumua mkataba...
By Danson KaijageJuly 23, 2023VIONGOZI machachari wa vyama vya upinzani, Profesa Ibrahim Lipumba (Mwenyekiti CUF) na Zitto Kabwe (Kiongozi Mkuu ACT Wazalendo) wametajwa kuutosa mkutano ulioandaliwa leo...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023ALIYEKUWA Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia leo Jumapili ametoa wito kwa Serikali kuacha kiburi na kukubali kurudi kwenye meza ya mazungumzo ili...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimegoma kutii agizo la Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, la kuahirisha kufanya mkutano uliolenga kuchambua...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Heche amemtaka Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Bandari...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023BAADHI ya viongozi wa dini, wameiangukia Serikali wakiitaka ivunje mkataba iliyoingia na Serikali ya Dubai kupitia kampuni ya DP world kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuJuly 23, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemsimisha uongozi Mwenyekiti wa chama hicho mkoa wa Tabora, Lucas Kiberenge na wenzake kwa kushiriki kumuandalia mkutano...
By Faki SosiJuly 22, 2023RAIS mstaafu wa Kenya, Uhuru Kenyatta, amesema nyumba ya mwanaye wa kiume imevamiwa. Anaripoti Mwandishi Wetu, kwa msaada wa BBC…(endelea). Akizungumza na waandishi...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023WAKATI baadhi ya wanasiasa wa upinzani na wanaharakati wakipinga mpango wa kampuni ya DP World ya Dubai kuwekeza kwenye bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023Jeshi la Polisi mkoa wa Songwe linamshikilia mtumishi mmoja aitwaye Rioba Nyamos (34) ambaye ni Mganga mfawidhi wa Zahanati ya Kijiji Cha Iporoto...
By Mwandishi WetuJuly 22, 2023JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, kinamshikilia mwanafunzi wa Shule ya Sekondari Qiblaten Kawe, Mohamed Jabir, kwa tuhuma za kumuua...
By Regina MkondeJuly 21, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, amedai baadhi ya mahabusu ambao makosa yao yanaruhusu kupewa dhamana, wamekuwa wakikataa nafuu hiyo ya...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2023MAHABUSU zaidi ya 2,240 waliokuwa wanashikiliwa katika vyombo vya kisheria kwa kesi za kubambikizwa, wameachwa huru tangu Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuJuly 20, 2023