Categorizing posts based on type of post
MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema ushindi wa vyama vya upinzani katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, ulitokana na...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2023Mahakama Kuu ya Tanzania Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki Temeke kimetoa uamuzi juu ya urithi wa mali za marehemu Augustino Lyatonga Mrema ambapo...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewataka wafanyabiashara wa Zambia, kuitumia Bandari ya Dar es Salaam, kwa kuwa sasa inafanyiwa maboresho ili...
By Regina MkondeOctober 24, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameungana na Rais wa Zambia, Hakainde Hichilema, kuweka mashada ya maua kwenye Mnara...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imepanga tarehe 14 Disemba 2023 kutoa uamuzi wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti Maalum 19...
By Regina MkondeOctober 24, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka mahakama za nchi za Afrika zijipange kutatua migogoro itakayojitokeza katika eneo la biashara huru barani humo, huku...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023Umoja wa Mataifa (UN) nchini Tanzania unatarajia kuadhimisha miaka 78 tangu ilipoanzishwa mwaka 1945. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea) Akizungumza na waandishi wa Habari...
By Gabriel MushiOctober 23, 2023UTEUZI wa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, katika nafasi ya ukatibu wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM),...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2023MCHUNGAJI kiongozi wa kanisa la Tanzania Assembles of God (TAG) URCC lililopo Aread D Jijini Dodoma, Salum Vangast ametoa wito kwa mamlaka zote...
By Danson KaijageOctober 23, 2023WATANZANIA waishio Zambia, wameandaa utaratibu wa kumpokea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, anayetarajiwa kuwasili nchini humo mchana wa leo tarehe 23 Oktoba 2023,...
By Regina MkondeOctober 23, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema kwa kawaida Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) hukusanya tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Usimamizi Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa leo Jumapili amesema katika mikataba hiyo mitatu, serikali itakuwa inapata ada na tozo...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Mkurugenzi Mkuu Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema katika kutekeleza mkakati wa Serikali wa kuimarisha shughuli za bandari Dar es Salaam,...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023HATIMAYE aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwa Katibu wa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Rais Samia Suluhu Hassan amemteua Sophia Mjema kuwa Mshauri wa Rais masuala ya Wanawake na Makundi Maalum. Kabla ya uteuzi huu Sophia alikuwa...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaasa wachimbaji wadogo kuachana na vitendo vya utoroshaji madini. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 21, 2023Mfanyabishara maarufu nchini, Rostam Aziz, kupitia kampuni yake ya Taifa Group, ameingia nchini Zambia ambako ameanza kuwekeza kwenye sekta ya uzalishaji umeme kwa...
By Gabriel MushiOctober 21, 2023TANGU vita baina ya taifa la Israel na wanamgambo wa Hamas kutoka Ukanda wa Gaza nchini Palestina viibuke tarehe 7 Okotoba 2023, kumeripotiwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023CHANZO cha ajali ya moto ulioteketekeza Soko la Kariako eneo la Mnadani na kusababisha hasara kubwa kwa wafanyabiashara zaidi ya 550, kimetajwa kuwa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), umesema umejipanga kuhakikisha chama hicho kinaendelea kupata ushindi katika chaguzi zijazo, huku wakiwataka wapinzani kujiandaa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2023Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amesema kuwa hali ya utoshelevu wa mafuta nchini kwa kipindi cha mwezi Julai...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Balozi Dkt. Damas Ndumbaro amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Palestina nchini Tanzania, Hamdi Mansour Abuali ...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amewataka wananchi kupuuza taarifa iliyosambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za Afrika na Mawaziri wa nchi za Nordic wamekubaliana kuimarisha biashara na uwekezaji, kubadilishana ujuzi, teknolojia...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2023ZAIDI ya watu 500 wameripotiwa kuuawa usiku wa leo Jumanne kwenye shambulizi ambalo limetokea hospitalini Ahli Arab katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023BAADHI ya wahubiri na makasisi wamesema hatua ya serikali ya Kaunti ya Kisii nchini Kenya kuanza kutoza ushuru makanisa na wahubiri itarudisha nyuma...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MUME anayedaiwa kumteka nyara mkewe na kumficha katika Kaunti ya Meru nchini Kenya, amefikishwa kortini. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …(endelea). Abdullahi Mohammed Gullei...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023KAMA ulidhani madadapoa hufurika mikoa ya Kanda ya Ziwa pekee pindi wakulima wanapovuna na kuuza pamba, umekosea kwani hali kama hiyo pia imetokea...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amezitaka wizara nchini zibane matumizi katika fedha za miradi ya maendeleo ili zilete matokeo yenye tija. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba viongozi wa dini wasimamie haki kwa kuwa inainua taifa.Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, January Makamba amewasili nchini Algeria kushiriki Mkutano wa 20 wa Mawaziri wa Mambo...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka watanzania wadumishe amani na upendo kuelekea kipindi cha uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, mkoani Mara, Prof. Sospeter Muhongo (CCM) ameitaka Serikali imuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere, kwa kukamilisha ndoto...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimedai Serikali ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), imechoka kwa kuwa imeshindwa kutafuta suluhu ya changamoto ya mgawo wa umeme. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023MKUU wa Mkoa wa Singida, Peter Serukamba, amesema tangu Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan iingie madarakani, bajeti ya mkoa huo imeongezeka...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2023KUFUATIA kuendelea kuzorota kwa hali ya usalama nchini Israel na maeneo mengine ya jirani, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeandaa mpango...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameagiza apewe ripoti ya hatua zilizochukuliwa dhidi ya watumishi wa umma waliohusika katika usimamizi wa miradi saba yenye...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023MAKAMU wa Rais, Dk. Phillip Mpango, amewataka viongozi wa umma wanaotumia nyadhiofa zao kujilimbikizia mali, wajitafakari. Anaripoti Mwandishi Wetu, Manyara…(endelea). Dk. Mpango ametoa...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki misa ya kumuombea Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, aliyefariki dunia tarehe 14 Oktoba 1999. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Viongozi sita wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamefariki dunia na wengine 11 kujeruhiwa katika ajali ya gari ya abiria Toyota Haisi lenye namba...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023MAELFU ya wananchi mkoani Manyara, wamejitokea kumpokea Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, ili kumuunga mkono kwa kazi kubwa anayofanya kuleta maendeleo. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2023Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imewataka wananchi kwa ujumla na kampuni ambazo kwa asili ya majukumu na kazi zao, matumizi ya mtandao binafsi...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023MWENYEKITI wa Jumuiya ya Wazazi CCM Mkoa wa Morogoro, Dk Rose Rwakatare, amehitimisha ziara yake mkoani humo akiwataka viongozi kuhakikisha wanaanzisha miradi ya...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023NAIBU Spika Musa Azzan Zungu amekipongeza Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kwa kutoa mafunzo ambayo yanaendana na soko la ajira na kuwashauri...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kutekeleza ahadi yake ya kuunda baraza la vijana la taifa, ili...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023MAAFISA usafirishaji abiri kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda, wameishukuru Serikali ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kuwaondolea changamoto zilizokuwa zinawakabili ikiwemo...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema viongozi wa umma wanaofanya vibaya katika utekelezaji wa majukumu yao, hawatapewa nafasi nyingine serikalini. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2023JENGO la Dakhalia la Skuli ya Sekondari ya Hasnuu Makame ilioko Kibuteni Wilaya ya Kusini Unguja, limeungua moto sehemu ya juu, imeripotiwa....
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023ALIYEKUWA Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika, Dk. Rugemeleza Nshala leo Alhamisi amehojiwa na katika Kituo cha Polisi Kanda Maalumu Dar Es Salaam...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023WANANCHI wa Mkoa wa Manyara, wameahidi kumchagua kwa kishindo Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, katika uchaguzi mkuu wa 2025, kutokana na kazi kubwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2023