Categorizing posts based on type of post
Naibu Waziri wa Nishati,Judith Kapinga, kwa Niaba ya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema Wizara ya Nishati imetoa mafuta...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2023WAZIRI wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kazi ya kuondoa tope inaendelea na shughuli kubwa inayofanyika kwa sasa ni kufungua mitaa yote ya mji...
By Danson KaijageDecember 6, 2023KATIBU tawala mkoani Songwe, Happines Seneda ametoa siku 21 kwa Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Ileje, Nuru Kindamba kumpatia majina ya...
By Mwandishi WetuDecember 6, 2023BEI ya mafuta kwa mwezi Disemba, imeshuka kutokana na kupungua kwa bei za mafuta ghafi kwenye soko la dunia, pamoja na gharama za...
By Regina MkondeDecember 6, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa wito kwa viongozi mbalimbali Serikalini kuhakikisha kazi walizonazo wanazifanya kwa bidii na...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2023SERIKALI imesema kumeguka kwa sehemu ya Mlima Hanang ambao ilikuwa una miamba dhoofu iliyonyonya maji ndio chanzo cha maporomoko yaliyoleta maafa katika eneo...
By Faki SosiDecember 5, 2023Loy Thomas Sabaya ambaye ni Baba wa aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameshinda nafasi ya Uenyekiti wa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023SERIKALI imeagiza uchunguzi ufanyike ili kubaini chanzo cha maporomoko ya udongo ya Mlima Hanang mkoani Manyara, yaliyosababisha mauji ya watu zaidi ya 50...
By Regina MkondeDecember 4, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amekatisha ziara yake za kikazi jijini Dubai kwa ajili ya kurejea nchini kushughulikia maafa yaliyotokana na...
By Regina MkondeDecember 4, 2023Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Jenista Mhagama amesema kuwa Serikali imepeleka wataalamu wa miamba ambao watatoa taarifa...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika, yuko nchini Marekani katika ziara ya kikazi ya siku nne, itakayoanza tarehe...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeelezza kupokea kwa mshtuko na simanzi kubwa taarifa za vifo vya watu 47 na majeruhi 85 vilivyotokea wilayani Hanang...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2023MVUA za vuli zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali nchini zimeleta madhara katika mkoa wa Manyara baada ya kuripotiwa vifo 20 vilivyosababishwa na mafuriko katika...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya kikao kazi na Wakurugenzi wa Kanda na Mameneja wa Mikoa wa Shirika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023KWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A levo, nani aliwahi kusikia tangazo la wavuta bangi kujumuika pamoja au tangazo la...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023RAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote hatujambo na kwamba Yeye anazidi kutujalia afya ya roho na mwili mpaka dakika...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023JUMATATU ya tarehe 16 Oktoba 2023 itabaki kuwa siku ya kumbukumbu kwa wananchi wa kizazi hiki wakazi wa mkoa wa Singida. Hiyo ndiyo...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amekosoa miswada ya mabadiliko ya sheria za uchaguzi, akidai mapendekezo yake hayalengi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2023MAHAKAMA ya Hakimu Mfawidhi, wilaya ya Igunga, mkoani Tabora imemhukumu kifungo cha miaka mitatu gerezani, Jesca Jones Yegera (60) baada ya kupatikana na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua programu ya nishati safi ya kupikia itakayosaidia wanawake barani Afrika (AWCCSP) kesho Jumamosi katika Umoja...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Eliezer Feleshi, ameagiza Kamati ya Maadili ya Mawakili, kuwachukulia hatua mawakili wanaokiuka maadili yao pamoja na kuipotosha...
By Regina MkondeDecember 1, 2023JAJI Mkuu wa Tanzania, Prof. Ibrahim Juma, amekitaka Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kuwafikisha mbele ya kamati ya maadili wanachama wake watakaobainika...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2023KATIBU Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema changamoto zilizojitokeza katika Uchaguzi Mkuu wa 2020, kama hazitajadiliwa kwa uzito...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023BARAZA la Wanawake la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA), wilayani Ilala, limeitaka Serikali kushughulikia kwa ukamilifu tuhuma za ukatili wa kijinsia, zinazomkabili...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dk. Tulia Ackson, ameielekeza kamati inayoshughulikia masuala ya Mashariki ya Kati ya umoja huo kutembelea eneo...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2023Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimefanya kikao cha Halmashauri Kuu ya CCM ya Taifa leo Jumatano kufanya uteuzi wa mwisho wa wagombea wa nafasi...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023Mwenyekiti wa CCM, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano ameridhia kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Daniel Chongolo kutokana na barua aliyoiandika...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023KATIKA harakati za kuimarisha sekta ya kilimo pamoja na kuhamasisha wananchi kulima mazao yenye tija ili kuondokana na baa la njaa, Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023MKOA wa Dodoma umeshika nafasi ya kwanza kati ya mikoa 31 kwa mwaka 2023 katika miradi iliyokaguliwa na kuzinduliwa na mbio za Mwenge...
By Danson KaijageNovember 29, 2023Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amewataka wananchi kuhakikisha wanalinda na kutunza miundombinu ya umeme nchini ili itumike kwa muda mrefu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali ianzishe mjadala wa kitaifa kwa ajili ya kujadili namna ya kuandaa dira mpya ya...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023SERIKALI imesema itaendelea kujenga na kupanua miundombinu ya viwanja vya ndege ili kujihakikishia utoaji wa huduma ndani ya nchi na nchi jirani. Anaripoti...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023JUMLA ya watu 13 wakiwamo wanawake sita na wanaume saba wamefariki dunia baada ya basi la kampuni ya Ally’s Star Bus kugonga kichwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2023JUMLA ya abiria 30, marubani wawili na mhudumu mmoja wamenusurika kifo katika ajali ya ndege iliyotokea leo saa 3:40 asubuhi katika Hifadhi ya...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega ameagiza kuondolewa katika nafasi yake Kaimu Mkurugenzi wa Uvuvi, Stephen Lukanga baada ya kushindwa kupanga na...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023Askofu Kanisa la Kiinjili, Kilutheri Tanzani (KKKT), Dayosisi ya Morogoro, Jacob Mameo ametoa wito kwa viongozi wenye tabia ya kutumia vibaya madaraka yao...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2023BAADHI ya wananchi mkoani Kigoma wameilalamikia Mamlaka ya Taifa ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kwa madai kuwa baadhi ya maofisa wake mkoani humo...
By Faki SosiNovember 28, 2023BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) leo Alhamisi limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba uliofanyika tarehe 13-14 Septemba mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza nauli mpya ya mabasi ya mijini na masafa marefu ambapo safari ambazo hazizidi kilomita 10 gharama...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema taratibu zitafuata mkondo wake kupitia mamlaka za nidhamu kuhusu tuhuma za udhalilishaji zinazomkabili Mbunge wa Babati mjini, Pauline...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Tume ya Mipango nchini kuweka uratibu wa ushiriki wa makundi mbalimbali ya wananchi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kukata umeme kwa wadaiwa wote wasiolipa gharama...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi ametengua uteuzi wa Naibu Waziri wa Wizara ya Katiba na Sheria, Pauline Philipo Gekul. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023Waziri Mkuu Kasim Majaliwa amesema fedha nyingi za mapato yanayokusanywa katika halmashauri kongwe ya wilaya ya Mbozi mkoani Songwe zinaishia katika mifuko ya...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewataka wafanyakazi wa wizara ya fedha na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuhakikisha...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2023JAMHURI ya Shirikisho la Somalia, imekubaliwa rasmi kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Uamuzi wa EAC...
By Regina MkondeNovember 24, 2023RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametaka watendaji wa serikali za nchi wanachama wa Afrika Mashariki, wafanyie kazi maelekezo ya wakuu wa...
By Regina MkondeNovember 24, 2023RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema ili nchi za Afrika zipate mafanikio zinatakiwa kuungana badala ya kuendelea kutegemea misaada kutoka katika mashirika na...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023BEGI lenye dawa za kulevya aina ya mirungi, linadaiwa kukutwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Amani, Kerege, Bagamoyo mkoani Pwani, Othman Ally,...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023