Wednesday , 1 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

Habari za Siasa

Majaliwa: Wanaotorosha mbolea ya ruzuku Malawi ni wauaji…

Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo mawakala feki wa mbole ‘vishoka’ wanaotorosha mbolea ya ruzuku kwenda...

Habari za Siasa

Samia ashiriki mkutano wakuu wa nchi EAC

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ameungana na viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, kufanya mkutano wao wa kawaida nchini...

ElimuHabari za Siasa

‘Mafataki’ wamchefua Majaliwa, 2 kati ya 59 wamefikishwa mahakamani

WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...

Habari za SiasaTangulizi

Mzee Butiku: Kuna shida ya haki katika mfumo wa uchaguzi TZ

MWANASIASA mkongwe Tanzania, Mzee Joseph Butiku, amesema rushwa ndiyo chanzo cha changamoto ya watu kuchagua au kuchaguliwa, katika chaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

ElimuTangulizi

Twibhoki, Graiyaki zafungiwa, Mother of Mercy, St. Marys’ Mbezi Beach zapewa onyo

BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...

ElimuTangulizi

Wasichana, wavulana wakabana koo ufaulu darasa la 7

TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...

Habari za Siasa

Bashungwa awashukia wakandarasi Tanga

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS),  Eng. Mohammed Besta  kukamilisha usanifu wa kina wa Barabara...

Habari za SiasaTangulizi

Ufisadi fedha za bajeti wamuibua Rais Kikwete

RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, ameshauri fedha zinazotengwa katika bajeti za serikali, zitumike vizuri ili zilete tija. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Dk. Kikwete...

BiasharaHabari za Siasa

Dk. Biteko aiagiza TPDC kuandaa mpango wa muda mrefu wa upatikanaji gesi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...

Habari za Siasa

Kisa Mpoki kusimamishwa uwakili: TLS yajitoa kamati ya maadili

CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetangaza kuondoa uwakilishi wake kwa muda katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, hadi pale hatma ya Mpale...

Habari za Siasa

THRDC, LHRC zapinga Mpoki kusimamishwa uwakili

MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’S), yanayotetea haki za binadamu, yamelaani uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, kumsimamisha uwakili, Mpale Mpoke, kwa muda...

Habari za Siasa

Waziri mkuu kufanya ziara ya siku 3 mkoani Songwe

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Songwe kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na...

Habari za SiasaTangulizi

Mchengerewa asimamisha wakurugenzi Kibaha, Ifakara

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha kazi wakurugenzii wawili wa halmashauri kuanzia tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Mkataba bandari wamponza Wakili Mwabukusi, AG amburuza kamati ya maadili

OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imemburuza Wakili Boniface Mwabukusi, mbele ya Kamati ya Maadili ya Mawakili, ikimtuhumu kwa makosa ya ukiukwaji...

Habari za Siasa

Rais Samua amuaga Rais wa Romania

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi...

Habari za Siasa

Wanawake Afrika wampa tuzo ya heshima Balozi Mongela

Wito umetolewa kwa wanawake kujiamini na kujipambanua kitaifa na kimataifa kwenye kusimamia ajenda za maendeleo yenye usawa wa kijinsia na kupinga ukatili wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

Maofisa uhamiaji wanne Kigoma mbaroni mauaji ya Enos

MAOFISA wanne wa Idara ya Uhamiaji wilayani Kakonko mkoani Kigoma wametiwa mbaroni na jeshi Polisi mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Enos...

ElimuHabari za Siasa

Wanafunzi waliofanya mtihani wakiwa na watoto wachanga wamkuna Jokate

KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT), Jokate Mwegelo amesema hatua ya wanafunzi walioruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023...

Habari za Siasa

Samia atunuku kamisheni wahitimu 62 Monduli

AMIRI Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni wahitimu 62 wa Shahada ya kwanza Sayansi ya Kijeshi, pamoja na kuvunja mahafali ya...

Habari za Siasa

Rais Romania atua Zanzibar kwa boti, kutembelea mji Mkongwe

Rais wa Romania, Klaus Iohannis amewasili Zanzibar kwa boti ya AZAM na kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya...

Habari za SiasaKimataifa

Weah rais wa kwanza kushindwa uchaguzi Liberia

KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...

Habari za Siasa

Zitto alia hujuma kambi ya wakimbizi Nduta kufungwa, adai inakwamisha maendeleo

Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa kambi ya wakimbizi Nduta iliyopo Kibondo mkoani Kigoma kufungua kambi hiyo ili wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

Kijana Mtanzania afariki vita ya Israel, Hamas

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kijana Mtanzania Clemence Felix Mtenga amefariki katika mapigano yanayoendelea kati ya majeshi...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama: Sabaya hakufanya ujambazi

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameibwaga tena Serikali mahakamani katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, baada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Kikwete: Bora nimestaafu

ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesema bora amestaafu kuongoza Tanzania katika kipindi ambacho idadi ya watu ilikuwa ndogo, akisema...

Habari za Siasa

Padre Kitima awashukia viongozi dini wanaofumbia macho dhambi za uchaguzi

KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amewataka viongozi wa dini kukemea dhambi zinazojitokeza katika chaguzi, ili kuhakikisha zinakuwa...

Habari MchanganyikoTangulizi

RC Kagera aonya madai chanzo vifo watoto sita kuwa kuku wa wizi

MKUU wa mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa amewaonya wananchi wa Kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo na wilaya jirani kuacha kusambaza taarifa za uongo...

Habari za Siasa

Rais wa Romania awasili rasmi nchini

Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...

KimataifaTangulizi

Wanawake 104 waliodaiwa kubakwa walipwa 624,000 kila mmoja

Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa  fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...

KimataifaTangulizi

Majeshi Israel yatua nyumbani kwa kiongozi wa Hamas

Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...

BiasharaTangulizi

Serikali yafyeka tozo kero za biashara 232

SERIKALI kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) imefuta na kupunguza jumla ya tozo, ada na faini zisizopungua 232 kati ya 380...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Biteko: Marufuku kununua vifaa vya umeme nje ya nchi

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje...

Habari za SiasaTangulizi

Majaliwa aagiza wizara, taasisi kulipa madeni ya vyombo vya habari

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na...

Habari za Siasa

Dk. Biteko akagua visima, mitambo ya kuchakata gesi asilia Songosongo

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi kwa lengo la...

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza watumishi kufanya kazi zenye matokeo chanya

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo kuichambua miswada ya uchaguzi

Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama...

Makala & UchambuziTangulizi

Makonda ametonesha vidonda

JE  wajuwa? Paul Makonda amerejea kwenye ulingo wa siasa. Huyo ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Hamashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...

Makala & UchambuziTangulizi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...

Makala & UchambuziTangulizi

Mzaha, mzaha, kazi iendelee

RIPOTI za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa fedha 2021/ 2022 zimejadiliwa bungeni. Je, umefurahishwa na...

Habari za Siasa

Kikwete amuwakilisha Samia mazishi ya Rais Finland

Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sheikh Ponda mbaroni kwa kuandamana

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda na wenzake  wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa kuandamana kwa...

Habari za Siasa

Muswada sheria ya tume uchaguzi, msajili wa vyama yatinga bungeni

MUSWADA wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, pamoja na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, imesomwa kwa mara...

Habari za Siasa

Wabunge wakomalia mgawo wa majimbo, kata

BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali ikamilishe mchakato wa kugawa majimbo, kata na tarafa zenye maeneo makubwa, ili kusogeza karibu na wananchi huduma za...

BiasharaHabari za Siasa

Upungufu wa umeme wabaki 218 MW kutoka 421 MW

Serikali imesema hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yameelezwa na...

Habari za Siasa

Tanzania, Uganda zasaini mkataba mahsusi ujenzi bomba la gesi

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi...

Habari za Siasa

Wazee 272 waliopigana vita Kagera waendelea kulipwa pensheni

SERIKALI imesema inaendelea kuwalipa pensheni ya ulemavu wazee 272, waliopigana vita ya Kagera 1979. Anaripoti Jemimah Samwel, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo...

Habari za Siasa

Muhongo ataka Serikali ibuni miradi kufuta umaskini

MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameshauri mipango mbalimbali inayowekwa na Serikali, ijielekeze katika utekelezaji miradi ya kufuta umasikini nchini. Anaripoti Regina...

Habari za Siasa

Serikali yadai kumaliza mgogoro wa ardhi Handeni, Kilindi

SERIKALI imemaliza mgogoro wa ardhi kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi, kwenye eneo la Bondo, uliodumu kwa miaka kadhaa. Anaripoti Jemimah Samwel,...

Habari za Siasa

Spika aipa maagizo Serikali sakata la wafugaji Ngorongoro

SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameitaka Serikali kushughulikia sakata la wafugaji wilayani Ngorongoro kuuziwa mifugo yao zaidi ya 1,000 kinyume cha sheria,...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waazimia kumchangia fedha, kumfariji Prof J

WABUNGE wamepitisha azimio la kumchangia fedha aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule, ili kumfariji kutokana na matatizo ya kiafya aliyoyapata. Anaripoti Regina...

error: Content is protected !!