Sunday , 3 December 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Rais Romania atua Zanzibar kwa boti, kutembelea mji Mkongwe
Habari za Siasa

Rais Romania atua Zanzibar kwa boti, kutembelea mji Mkongwe

Spread the love

Rais wa Romania, Klaus Iohannis amewasili Zanzibar kwa boti ya AZAM na kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya Mapinduzi- Zanzibar, Jamal Kassim Ali. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Akiwa Zanzibar, Rais Iohannis atakutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi na baadaye kutembelea Mji Mkongwe ambao ni moja kati ya vivutio vikubwa vya utalii duniani. Rais Iohannis ambaye yupo nchini kwa ziara ya kitaifa ya siku nne ataondoka nchini tarehe 19 Novemba 2023.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Dk. Biteko aagiza wakurugenzi TANESCO kukemea rushwa kwenye maeneo yao

Spread the loveNaibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Uongozi wa Samia kuendelea hadi 2030

Spread the loveKWETU sisi tuliowahi kusoma sekondari, iwe O levo au A...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Bado askari wastaafu wanaonewa

Spread the loveRAIS wangu Samia Suluhu Hassan tunaendelea kumshukuru Mungu kwamba wote...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Tunastawisha ufisadi na kuchukia matunda yake

Spread the loveBUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa...

error: Content is protected !!