Categorizing posts based on type of post
RAIS wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, ametaka watendaji wa serikali za nchi wanachama wa Afrika Mashariki, wafanyie kazi maelekezo ya wakuu wa...
By Regina MkondeNovember 24, 2023RAIS wa Uganda, Yoweri Museveni amesema ili nchi za Afrika zipate mafanikio zinatakiwa kuungana badala ya kuendelea kutegemea misaada kutoka katika mashirika na...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023BEGI lenye dawa za kulevya aina ya mirungi, linadaiwa kukutwa nyumbani kwa Mwenyekiti wa Kitongoji cha Amani, Kerege, Bagamoyo mkoani Pwani, Othman Ally,...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameipongeza benki ya NMB kwa kuwa wabunifu kwenye utoaji huduma pamoja na kuwekeza...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023Waziri mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kusikitishwa na kitendo cha baadhi ya watu wakiwemo mawakala feki wa mbole ‘vishoka’ wanaotorosha mbolea ya ruzuku kwenda...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa ameungana na viongozi wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki, EAC, kufanya mkutano wao wa kawaida nchini...
By Mwandishi WetuNovember 24, 2023WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kushangazwa na idadi ya kesi mbili pekee kufikishwa mahakamani kati ya kesi 59 zinazohusu wanafunzi waliofanyiwa ukatili na...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023MWANASIASA mkongwe Tanzania, Mzee Joseph Butiku, amesema rushwa ndiyo chanzo cha changamoto ya watu kuchagua au kuchaguliwa, katika chaguzi. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023BARAZA la Mitihani la Tanzania limefungia vituo vya mtihani viwili ambavyo ni Twibhoki (PS0904095) na Graiyaki (PS0904122) vyote vya Halmashauri ya Serengeti mkoa...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023TOFAUTI na miaka iliyopita, katika matokeo ya Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi 2023 (darasa la saba) yaliyotangazwa leo na Baraza la Mitihani...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2023Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Eng. Mohammed Besta kukamilisha usanifu wa kina wa Barabara...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023RAIS mstaafu, Dk. Jakaya Kikwete, ameshauri fedha zinazotengwa katika bajeti za serikali, zitumike vizuri ili zilete tija. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Dk. Kikwete...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ameagiza Bodi na Menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuja...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimetangaza kuondoa uwakilishi wake kwa muda katika Kamati ya Maadili ya Mawakili, hadi pale hatma ya Mpale...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’S), yanayotetea haki za binadamu, yamelaani uamuzi wa Kamati ya Maadili ya Mawakili, kumsimamisha uwakili, Mpale Mpoke, kwa muda...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku tatu mkoani Songwe kwa lengo la kukagua miradi ya maendeleo, kuzungumza na...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha kazi wakurugenzii wawili wa halmashauri kuanzia tarehe...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2023OFISI ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), imemburuza Wakili Boniface Mwabukusi, mbele ya Kamati ya Maadili ya Mawakili, ikimtuhumu kwa makosa ya ukiukwaji...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2023Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemuaga Rais wa Romania, Klaus Iohannis baada ya kuhitimisha ziara yake ya kikazi...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2023Wito umetolewa kwa wanawake kujiamini na kujipambanua kitaifa na kimataifa kwenye kusimamia ajenda za maendeleo yenye usawa wa kijinsia na kupinga ukatili wa...
By Mwandishi WetuNovember 19, 2023MAOFISA wanne wa Idara ya Uhamiaji wilayani Kakonko mkoani Kigoma wametiwa mbaroni na jeshi Polisi mkoani humo kwa tuhuma za mauaji ya Enos...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KATIBU Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake Tanzani (UWT), Jokate Mwegelo amesema hatua ya wanafunzi walioruhusiwa kufanya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2023...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023AMIRI Jeshi Mkuu Rais Samia Suluhu Hassan, amewatunuku kamisheni wahitimu 62 wa Shahada ya kwanza Sayansi ya Kijeshi, pamoja na kuvunja mahafali ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Rais wa Romania, Klaus Iohannis amewasili Zanzibar kwa boti ya AZAM na kupokelewa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais wa Serikali ya...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023KIONGOZI anayeondoka madarakani nchini Liberia, George Weah, anaweka historia nchini humo kwa kuwa rais wa kwanza kushindwa katika kinyang’anyiro cha kuwania muhula wa...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2023Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amemtaka Mkuu wa kambi ya wakimbizi Nduta iliyopo Kibondo mkoani Kigoma kufungua kambi hiyo ili wananchi...
By Faki SosiNovember 18, 2023Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imesema kijana Mtanzania Clemence Felix Mtenga amefariki katika mapigano yanayoendelea kati ya majeshi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya ameibwaga tena Serikali mahakamani katika kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, baada...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023ALIYEKUWA Rais wa Awamu ya Nne, Dk. Jakaya Kikwete, amesema bora amestaafu kuongoza Tanzania katika kipindi ambacho idadi ya watu ilikuwa ndogo, akisema...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023KATIBU Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC), Padre Charles Kitima amewataka viongozi wa dini kukemea dhambi zinazojitokeza katika chaguzi, ili kuhakikisha zinakuwa...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023MKUU wa mkoa wa Kagera, Fatma Mwasa amewaonya wananchi wa Kijiji cha Nyakanazi wilayani Biharamulo na wilaya jirani kuacha kusambaza taarifa za uongo...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2023Rais wa Romania, Klaus Iohannis, amewasili nchini kwa ziara ya kitaifa kuanzia leo tarehe 16 hadi 19 Novemba 2023 kufuatia mwaliko wa Rais...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Shirika la afya duniani WHO limewalipa limewalipa fidia ya Dola 250 (Sh 624.3) wanawake 104 waathiriwa wa dhulma za kingono nchini Jamhuri ya Kidemokrasia...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Jeshi la Israel limesema limeyashambulia makazi ya kiongozi wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh katika Ukanda wa Gaza. Inaripoti Mitandao ya...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023SERIKALI kupitia Mpango wa Kuboresha Mazingira ya Biashara (MKUMBI) imefuta na kupunguza jumla ya tozo, ada na faini zisizopungua 232 kati ya 380...
By Mwandishi WetuNovember 16, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko ametoa katazo kwa kampuni zinazosimamia na kutekeleza miradi ya umeme nchini, kutonunua nje...
By Mwandishi WetuNovember 15, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameiagiza Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ifanye uratibu wa madai ya vyombo vya habari, sambamba na...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amefanya ziara ya kikazi katika Kisiwa cha Songosongo mkoani Lindi kwa lengo la...
By Mwandishi WetuNovember 13, 2023Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewasisitiza Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu kufanya kazi kwa ushirikiano ili kazi...
By Gabriel MushiNovember 13, 2023Chama cha ACT Wazalendo kimeielekeza Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho kuichambua Miswada ya Sheria kuhusu Uchaguzi, Tume ya Uchaguzi na Vyama...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023JE wajuwa? Paul Makonda amerejea kwenye ulingo wa siasa. Huyo ndiye Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Hamashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023BUNGE la Jamhuri linaloendelea mjini Dodoma, kwa wiki nzima limetawaliwa na mjadala juu ya ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023RIPOTI za ukaguzi za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) mwaka wa fedha 2021/ 2022 zimejadiliwa bungeni. Je, umefurahishwa na...
By Mwandishi WetuNovember 12, 2023Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan...
By Mwandishi WetuNovember 11, 2023KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam nchini Tanzania, Sheikh Issa Ponda na wenzake wanashikiliwa na jeshi la Polisi kwa kosa kuandamana kwa...
By Faki SosiNovember 10, 2023MUSWADA wa Sheria ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi, pamoja na Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Vyama vya Siasa, imesomwa kwa mara...
By Mwandishi WetuNovember 10, 2023BAADHI ya wabunge wameitaka Serikali ikamilishe mchakato wa kugawa majimbo, kata na tarafa zenye maeneo makubwa, ili kusogeza karibu na wananchi huduma za...
By Regina MkondeNovember 10, 2023Serikali imesema hali ya upatikani umeme nchini imeimarika na sasa upungufu wa umeme umebakia 218 MW. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Hayo yameelezwa na...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Jamhuri ya Uganda zimetia saini mkataba mahsusi utakaowezesha kuanza kwa kazi ya upembuzi...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023SERIKALI imesema inaendelea kuwalipa pensheni ya ulemavu wazee 272, waliopigana vita ya Kagera 1979. Anaripoti Jemimah Samwel, Dar es Salaam…(endelea). Hayo yamesemwa leo...
By Mwandishi WetuNovember 9, 2023