Thursday , 2 May 2024
Home Gazeti Habari za Siasa CCM yatetea jimbo Mbarali
Habari za Siasa

CCM yatetea jimbo Mbarali

Spread the love

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimeendelea kuvigaragaza vyama vya upinzani baada ya kutetea jimbo la Mbarali katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana Jumanne. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endeela)

Msimamizi wa uchaguzi jimbo hilo lililopo Mbeya, Missana Kwangura leo Jumatano amemtangaza Bahati Ndingo (CCM), kuwa mshindi katika uchaguzi mdogo wa jimbo hilo.

Ndingo amepata kura 44, 334 dhidi ya mshindani wake wa karibu, Modestus Kilufi wa ACT – Wazalendo, aliyepata kura 10, 014.

Uchaguzi huo umefanyika baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Francis Mtega kufariki dunia katika ajali ya pikipiki tarehe 1 Julai mwaka huu.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za SiasaTangulizi

Serikali yaanza msako wanaotoa mikopo kausha damu

Spread the loveSERIKALI imeanza kufuatilia watu, vikundi na taasisi zinazotoa kinyume cha...

Habari za Siasa

Spika Tulia aibana Serikali mafao ya wastaafu Jumuiya ya Afrika Mashariki

Spread the loveSPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameitaka Serikali kufanya tathimini...

Habari za Siasa

Serikali yawapa maagizo Ma-RC udhibiti magonjwa yasiyoambukiza

Spread the loveWAKUU wa mikoa nchini wametakiwa kuandaa utaratibu wa kuwawezesha wananchi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mavunde ataja malengo “Vision 2030”

Spread the loveWAZIRI wa Madini amesema dhana ya “Vision 2030” inakusudia kuiendeleza...

error: Content is protected !!