Monday , 11 December 2023
Home Kitengo Biashara Hatimaye yametimia, Novatus aingia katika rekodi ya Uefa
BiasharaMichezo

Hatimaye yametimia, Novatus aingia katika rekodi ya Uefa

Spread the love

 

BAADA ya Mbwana Samatta na Sunday Manara kuandika rekodi ya kucheza Uefa Champions League ambapo Samatta alifanikiwa kuifunga Liverpool ya Jurgen Klopp, huenda isiwe mwisho kwa bendera ya Tanzania kupepea barani Ulaya, haswa pale chimbuko la Berlin Conference/ Mkutano wa Berlin uliolenga kulitawala bara la Afrika kwa kuligawa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). 

Hatimaye kijana kutoka Chuga wenyewe wanapaita Geneva of Afica, safari yake ya soka ina stori ndefu sana ambapo alitoka familia ya kimaskini mitaa ya Ngarenaro, Unga Ltd imemkuza. Meridianbet ni sehemu pekee ya kupata odds kubwa na machaguo Zaidi ya 1000 kwenye mechi moja.

Huyo sio mwingine ni Novatus Dismas Miroshi ambaye anakipiga kwenye ardhi ya Ukraine pale FC Shaktar Donetsk ameongeza rekodi yake na baada ya kucheza na FC Porto klabu ya utotoni ya staa wa dunia Cristiano Ronaldo. Pata odds kubwa mechi za UCL zinazoendelea tena leo, ili kufurahia bonasi kibao jisajili na Meridianbet kwa kugusa hapa.

Historia imeandikwa tena kwa kijana mwingine wa kitanzania Novatus Dismas ambaye amefuata nyayo za watangulizi wake kama vile Sunday Manara, Mbwana Samatta kucheza michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya FC Porto na mchezo kumalizika kwa timu yake kupoteza mabao 1-3. Bashiri mechi mbalimbali kupitia Meridiabet odds kubwa.

Historia Fupi ya Novatus

Kutoka mitaa Fulani ya uswahilini mtoto wa mtaa huko Arusha Novatus uzao wake ulikuwa huko, akalazimika kuzikataa harakati za mtaa na kuchagua kupambani ugali wake kwenye njia ya soka.

Novatus Miroshi Dismas alisafiri mpaka Dar Es Salaam pale kwenye viunga vya Bakhresa tajiri wa maokoto kama ilivyo kwa Meridianbet matajiri wa odds kubwa na kasino ya mtandaoni, machaguo kibao na michezo mingi ya sloti.

Alicheza kwa muda wa mwaka akatolewa kwa mkopo kwenda Biashara Utd ya mkoani Mara kabla ya kurudi tena Azam FC, hapo ndipo nyota ya kijana huyu wa kitanzania ilianza kung’aa kwa kuonekana na vilabu vingi vya Ulaya kama vile Maccabi Tel Aviv, Beitar Tel Aviv kisha Zulte Waregem, na sasa FC Shaktar Donetsk.

Novatus Dismas ana msaada mkubwa kwenye timu ya taifa ambapo ni mchezaji tegemezi kwa sasa anayeweza kucheza nafasi tofauti ndani ya uwanja, kama vile beki wa pembeni, beki wa tatu, winga, na kiungo wa kati.

NB: Ili kuweza kubashiri mechi hizi zenye odds kubwa na machaguo rahisi kabisa kutiki jamvi lako, unapswa kujisajili Meridianbet kwa kugusa hapa.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Michezo

Pesa ipo huku Meridianbet, beti sasa

Spread the love  WIKIENDI inaishia leo hii jaman kama bado hujasuka mkeka...

Biashara

Meridianbet yatoa msaada Mwenge

Spread the love  KAMPUNI ya Meridianbet imefika maeneo ya Mwenge jijini Dar-es-salaam...

Biashara

Serengeti yakabidhi mkwanja kwa mshindi wa Maokoto ndani ya Kizibo

Spread the love Mshindi wa Maokoto ndani ya kizibo kutoka Kahama Mjini...

Biashara

Ushindi rahisi unpatikana kila ukicheza kasino ya Hot Joker

Spread the love  HOT Joker Fruits 20 ni mchezo wa sloti ya...

error: Content is protected !!