Thursday , 2 May 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Lissu arejea, kufungua ukurasa mpya wa kisiasa nchini

BAADA ya takribani miaka mitano nje ya nchi, hatimaye mwanasiasa wa upinzani, mbunge wa zamani wa Singida Mashariki na mwanasheria nguli, Makamu Mwenyekiti...

Habari za Siasa

Wakuu wa wilaya wapya walioteuliwa hawa hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Majina ya wakuu wa wilaya 48 waliohamishwa vituo vya kazi haya hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Majina wakuu wa wilaya 55 waliobaki kwenye vituo vya kazi haya hapa

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye...

Habari za Siasa

Kina Mbatia waendelea kupambana mahakamani kupinga uongozi mpya NCCR-Mageuzi

  WAJUMBE wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi, wameendelea kupambana mahakamani kupinga uteuzi wa wajumbe wapya, wakidai ulifanyika kinyume...

Habari za Siasa

Chongolo awatahadharisha wana-CCM waliopewa dhamana na wananchi

  KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Danieli Chongolo, amewatahadharisha wanachama wa chama hicho ambao walipata dhamana ya uongozi wa Serikali za...

Habari za Siasa

Chadema wajipanga kumpokea Lissu, kuunguruma Temeke

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tundu Lissu, anatarajia kurejea nchini kesho tarehe 25 Januari, 2023 saa saba na...

Habari za SiasaTangulizi

Mgogoro wa NCCR-Mageuzi: Wajumbe Bodi ya Wadhamini wavutana mahakamani

  UPANDE wa wajibu maombi katika kesi Na. 570/2023, iliyofunguliwa na wajumbe wa zamani wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR- Mageuzi,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe aomba radhi wanawake kwa kuwaita ‘mademu’

  MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amewaomba radhi wanawake kwa kuwaita mademu wakati anahutubia mkutano wa hadhara uliofanyika...

Habari za Siasa

Chadema yaikaba Serikali mapato ya madini, yataka ripoti ya miaka 20

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali itoe ripoti ya mapato na matumizi ya fedha zilizotokana na madini yaliyochimbwa katika kipindi...

Habari za Siasa

Heche: Polisi wameona madhara ya kukosa wapinzani bungeni

  ALIYEKUWA Mbunge wa Tarime Mjini kupitia Chama cha Chadema, John Heche, amesema Askari Polisi wameona madhara ya kukosekana wabunge wa upinzani bungeni...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mbatia, Selasini kuanza kusikilizwa kesho

MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, kesho Jumanne, tarehe 24 Januari 2023, itaanza kusikiliza kesi Na. 570/2022, iliyofunguliwa na...

Habari za Siasa

Mbunge kutumia milioni 480 kujenga ofisi za CCM

  MBUNGE wa Igunga mkoani Tabora, Nicholas Ngassa (CCM), anatarajia kutumia kiasi cha Sh milioni 480 kwa ajili ujenzi wa ofisi za kata...

Habari za Siasa

Chadema: CCM wanatuogopa kufa, dhambi lazima waibebe

MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema uamuzi wa kuzuia mikutano ya hadhara kwa kipindi cha miaka saba cha uongozi wa Rais Dk. John...

Habari za Siasa

Sugu ataka Rais asiwe msimamizi ardhi yote “raia wamiliki ardhi”

ALIYEWAHI kuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, amesema umefika wakati kila raia amiliki ardhi yake badala ya Rais kupewa mamlaka...

Habari za Siasa

ACT Wazalendo yahoji lini mchakato Katiba Mpya, Tume huru utaanza

KAMATI Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imeitaka Seriakali kutoa ratiba ya mchakato wa upatikanaji wa Katiba Mpya na ule wa kupata Tume...

Habari za Siasa

Mbowe: Najivika mabomu kumpongeza Samia “angeendeleza kiburi cha mtangulizi wake”

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema anatambua kuwa ni vigumu kuwaeleza Watanzania na dunia kwamba anampongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kukubali...

Habari za SiasaTangulizi

Kashfa ya kununuliwa CCM yamtesa Mbowe, ‘mwenye ushahidi ajitokeze’,

  MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe leo Jumamosi amesema kashfa ya kutuhumiwa kuwa amekula rushwa au amelamba asali ili kushiriki maridhiano ya kitaifa...

AfyaHabari za Siasa

Heche amvaa Ummy Mwalimu kisa bima ya afya

  MJUMBE wa Kamati Kuu ya Chadema, John Heche amemtaka Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu kuacha kulazimisha watu kujiunga na mpango wa bima...

Habari za SiasaTangulizi

Sugu: Nampongeza Samia kwa ujasiri, hoja tunazo

  ALIYEKUWA kuwa Mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ amempongeza Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Mwenezi mpya CCM aanza na vishikwambi kwa walimu

  KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Sophia Mjema, ametoa wiki moja kwa Wizara ya Elimu, Sayansi na...

Habari za SiasaTangulizi

Mamilioni yakusanywa kugharamia mapokezi ya Lissu

  MWITIKIO wa wanachama na Watanzania wanaojitokeza kuchangia gharama za mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, umezidi kuongezeka ambapo hadi...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Dk. Mpango aweka jiwe la msingi mradi wa maji Ziwa Victoria

  MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amezitaka Mamlaka za Maji pamoja na wadau wengine wa sekta hiyo kuongeza weledi katika usimamizi wa...

Habari za Siasa

Simbachawene acharuka ufanyaji kazi wa mazoea

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene amewataka watumishi wa ofisi yake kufanya kazi zenye ufanisi...

Habari za Siasa

CUF: Hakutakuwa na ACT-Wazalendo Zanzibar uchaguzi 2025

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeeleza kuwa kimejipanga kurejesha heshima yake visiwani Zanzibar, ifikapo 2025 kwa kuunda Serikali au kushiriki Serikali ya Umoja...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema:Tutakuwa wajinga kukataa ruzuku kwa mazingira ya sasa

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kiko tayari kuchukua fedha za ruzuku kutoka Serikalini, kutokana na maridhiano yanayofanywa na Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ampa kibarua Rais Samia, aanika atakachoanza nacho akiwasili

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amesema usalama wake pindi atakaporejea Tanzania akitokea nchini Ubelgiji, utakuwa...

Habari za Siasa

Chadema wamvaa Waziri Mkuu Majaliwa, Waziri Bashe

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimedai kuwa uhaba wa mbolea nchini umesababishwa na Serikali kushindwa kulipa deni la Sh. 325 bililioni,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Wizara ya Fedha yaeleza hali ya uchumi na mwarobaini wake

SERIKALI ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imejipanga kuchukua hatua stahiki katika kuhakikisha uchumi unaendelea kukukua kwa kusimamia urekebishwaji wa baadhi...

HabariHabari za SiasaTangulizi

ACT Wazalendo: CUF imekwisha

  CHAMA cha ACT Wazalendo kimesema Chama cha Wananchi – CUF sio kwamba ushawishi wake kwa Watanzania umeshuka bali sasa umekwisha baada ya...

HabariHabari za Siasa

Chadema yaahidi kupigania marekebisho sheria ya habari

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitapigania marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari ya 2016 ili vifungu vinavyodhoofisha uhuru wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuanza kuunguruma Mwanza, Mara

MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe anatarajiwa kuongozi jopo la viongozi wa chama hicho katika uzinduzi rasmi wa mikutano ya hadhara itakayofanyika jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamvaa Nape, “asiturudishe zama za giza”

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemtaka Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Habari, Nape Nnauye aviache vyombo vya habari vitimize wajibu...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yapangua sekretarieti, Sophia Mjema amrithi Shaka

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza safu mpya уа Wajumbe Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa (CC) na Wajumbe wa Sekretarieti ya...

Habari za Siasa

Zitto ajitosa sakata la DCI, DPP kufikishwa kortini kwa kushindwa kuchunguza wasiojulikana

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameahidi kutoa ushirikiano katika kesi ya jinai iliyofunguliwa na Mwandishi wa Habari Luqman Maloto, dhidi...

Habari za Siasa

Serikali yafunguka madai ya wanyamapori kutoroshwa kwa ndege

  SERIKALI ya Tanzania, imesema hakuna ndege zinazoingia katika hifadhi za taifa kwa ajili ya kutorosha wanyamapori, bali ndege zinazoingia hifadhini humo hutumiwa...

Habari za Siasa

Tanzania kupata watalii mil. 5 ifikapo 2025

  SERIKALI imesema ina malengo ya kuongeza idadi ya watalii hadi kufikia 5,000,000 ifikapo 2025, ambao wataingiza fedha Dola za Marekani 6 bilioni....

Habari za Siasa

DCI, DPP kortini kwa kushindwa kuchunguza matukio ya wasiojulikana ikiwemo la Lissu

  MWANAHABARI Luqman Maloto, amefungua kesi ya jinai dhidi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini...

Habari za Siasa

Lissu atoa angalizo “siku zijazo hazitakuwa rahisi”

  MAKAMU Mweneykiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu amesema siku zijazo hazitakuwa rahisi licha ya ahadi ya Rais Samia Suluhu Hassan na utayari...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kurejea rasmi nchini Januari 25 baada ya miaka mitano uhamishoni

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu ametangaza kurejea nchi rasmi tarehe 25, Januari, 2023 ikiwa ni zaidi ya miaka mitano ya...

Habari za Siasa

Kwanini CUF imeshindwa kesi ya kugombania majengo na ACT-Wazalendo

  MAHAKAMA Kuu Zanzibar Masjala ya Tunguu imesema kuwa Chama cha Wananchi CUF hakina ushahidi wa kutosha wa kuithibitishia mahakama hiyo kuwa majengo...

Habari za SiasaTangulizi

Miaka 59 ya mapinduzi Z’bar: ACT-Wazalendo yampa kibarua Rais Mwinyi

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, atimize ahadi yake ya kuondoa siasa za uhasama visiwani humo, kwa kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Walipa kodi wafikia milioni 4.4 nchini Tanzania

  SERIKALI imesema kwa kipindi cha miaka saba kumekuwepo na ongezeko kubwa la walipa kodi kutoka milioni 2.2 mwaka 2015/16 hadi milioni 4.4...

Habari za Siasa

Rais Samia awataka CCM wajiandae kujibu wapinzani katika mikutano ya hadhara

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka viongozi na wanachama wa chama hicho hususan vijana kukwepa siasa...

Habari za Siasa

UVCCM: Vijana wafupi wasibaguliwe ajira Jeshi la Polisi

  MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Mohamed Ali Mohamedi, maarufu kama Kaiwada, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aondoe...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awatolea uvivu vijana kuhusu ajira

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amewataka vijana watumie mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji yaliyopo nchini kujiajiri kwa kuwa Serikali kazi yake siyo...

Habari za Siasa

CCM yamtoa wasiwasi Rais Samia kuhusu mikutano ya hadhara

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimetoa wasiwasi Rais Samia Suluhu Hassan, kuhusu mikutano ya hadhara kwa kusema kuwa itatumia fursa hiyo kuwaeleza wananchi...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yajitabiria ushindi wa kishindo 2025

  CHAMA cha Mapinduzi (CCM), kimejitabiria kupata ushindi wa kishindo katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea)....

Habari za Siasa

Kishimba ampa tano Rais Samia kutoa tani 1000 Kaham Mjini

  MBUNGE wa Kahama Mjini, Jumanne Kishimba (CCM) amesema wameaza kupokea tani 100 mahindi kwa ajili ya chakula na wataendelea kupokea tani zingine...

Habari za Siasa

Diwani wa CCM avunja rekodi

  DIWANI wa Kata ya Mzimu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Manfred Lyoto amepongezwa kwa kazi kubwa anayoifanya kwa ajili ya kuwaletea maendeleo...

error: Content is protected !!