Sunday , 5 February 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Majina wakuu wa wilaya 55 waliobaki kwenye vituo vya kazi haya hapa
Habari za Siasa

Majina wakuu wa wilaya 55 waliobaki kwenye vituo vya kazi haya hapa

Spread the love

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 25 Januari 2023 na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, wakuu wa wilaya 55 waliobaki kwenye vituo vya kazi ni hawa wafuatao;

1.Dadi Horace Kolimba-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Karatu

2.Raymond Stephen Mangwala – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya yaNgorongoro.

Hassan Ngoma

3.Dkt.Khamis Athumani Mkanachi-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kondoa.

4.Remedius Mwema Emmanuel -Anaendelea kuwa Mkuu wa WVilaya ya Kongwa.

5.Jabir Mussa Shekimweri-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Dodoma.

6.Gift Isaya Msuya -Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chamwino.

7.Said Juma Nkumba-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukombe.

8.Peres Boniphace Magiri-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilolo.

9.Kanali Wilson Christian Sakullo- Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misenyi.

10.Kanali Mathias Julius Kahabi – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ngara.

11.Jamila Yusuph Kimaro-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpanda

12.Onesmo Mpuya Buswelu-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika.

13. Kanali Michael Masala Ngayalina-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya yaBuhigwe.

14.Kanali Evance M. Mallasa-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kakonko.

15.Kanali Aggrey John Magwaza-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibondo.

16.Kanali Issac Anthony Mwakisu-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kasulu.

17.Kanali Hamis Mayamba Maiga-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rombo.

18.Abdallah Musa Mwaipaya-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mwanga.

Mariam Khatib Chaurembo

19.Shaibu Issa Ndemanga-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lindi.

20.Hassan Nassor Ngoma -Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa.

21 Janeth Peter Mayanja – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hanang.

22.Lazaro Jacob Twange-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Babati.

23.Mbaraka Alhaji Batenga-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kiteto

24.Dkt. Suleiman Hassan Serera-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Simanjiro.

25. Dkt.Halfan Boniface Haule-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Musoma.

26.Mwl.Moses Ludovick Kaegele-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Butiama.

27.Dkt.Vincent Biyegela Mashinji-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti.

28.Juma Issa Chikoka-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rorya.

29.Lt.Kanali Michael Mangwela Mtenjele -Anaendelea kuwa Mkuu wa WilayaTarime.

30.Mayeka Simon Mayeka-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Chunya.

31.Jabir Omari Makame-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Gairo.

32.Lt. Kanali Patrick Kenan Sawala – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya yaTandahimba.

33.Mwangi Rajab Kundya-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Newala

34.Mariam Khatib Chaurembo-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu.

35 Amina Nassoro Makilagi-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyamagana.

36.Hassan Elias Massala-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilemela

37.Senyi Simon Ngaga-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sengerema.

38.Juma Samwel Sweda-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Makete.

39.Kissa Gwakisa Kasongwa-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Njombe.

40.Khadija Nassir Ali-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkuranga.

41.Meja Edward Flowin Gowele-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Rufiji.

42.Peter Ambrose Lijualikali-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nkasi.

43.Julius Sunday Mtatiro-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tunduru.

44.Aziza Ally Mangosango-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbinga.

45.Joseph Modest Mkude-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kishapu.

46.Aswege Enock Kaminyonge-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Maswa.

Said Juma Nkumba

47.Faiza Suleiman Salim-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Itilima.

48.Fauzia Hamidu Ngatumbura – Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Meatu.

49.Paskasi Damian Murangili-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Singida.

50.Fakii Raphael Lulandala-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Momba.

51.Sauda Salum Mtondoo-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Igunga.

52.Abel Yeji Busalama -Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilindi.

53.Hashim Shaib Mgandilwa-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tanga.

54.Kalist Lazaro Bukhay-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Lushoto

55.Kanali Maulid Hassan Surumbu-Anaendelea kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkinga.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Prof. Muhongo aungana na wananchi ujenzi maabara za sekondari

Spread the loveMBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, kwa kushirikiana na...

Habari za Siasa

CCM apiga marufuku wazazi kuwatumia watoto wa kike kwenye mambo ya kimila

Spread the loveKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo...

Habari za Siasa

Ofisi za mabalozi wa mashina zitumike kuwale vijana kimaadili – Chongolo

Spread the loveKATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameagiza...

Habari za Siasa

Vijana ACT-Wazalendo Dar wampa tano Rais Samia

Spread the love  NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais...

error: Content is protected !!