Thursday , 2 February 2023
Home Gazeti Habari za Siasa Majina ya wakuu wa wilaya 48 waliohamishwa vituo vya kazi haya hapa
Habari za Siasa

Majina ya wakuu wa wilaya 48 waliohamishwa vituo vya kazi haya hapa

Spread the love

RAIS Samia Suluhu Hassan ameteua wakuu wa wilaya wapya 37, kuwahamisha vituo vya kazi wakuu wa wilaya 48 na wengine 55 kubakia kwenye vituo vyao. Kati ya Wakuu wa Wilaya hao 140, Wanawake ni 40 na Wanaume ni 100.  Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo tarehe 25 Januari 2023 na Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu, wakuu wa wilaya 48 waliohamishwa vituo vya kazi ni hawa wafuatao;

1.Suleiman Yusufu Mwenda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Monduli.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.

2.Edward Jonas Mpogolo-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Same.

3.Halima Abdallah Bulembo-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza.

4.Hashim Abdallah Komba-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.

5.Mwanahamisi Athumani Mukunda – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaTemeke.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.

6.Saadi Ahmed Mtambule-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.Alikuwa Mkuu wa WVilaya ya Mufindi.

7.Sophia Mfaume Kizigo -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama.

8.Godwin Crydon Gondwe – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bahi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni.

9.Veronica Arbogast Kessy-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.

10.ACP Advera John Bulimba -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaBiharamulo.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega.

11.Majid Hemed Mwanga -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilosa.

12.Salum Hamis Kalli-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma. AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Magu.

Kherry James

13.Kisare Matiku Makori- Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Moshi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Uyui.

14.Mohamed Hassan Moyo-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Iringa.

15.Kherry Denis James-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbulu. AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Ubungo.

16.Dkt.Vicent Naano Anney-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Rungwe.

17.Kanali Denis Filangali Mwila-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbarali.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ukerewe.

18.Sebastian Muungano Waryuba-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaMalinyi. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Sumbawanga.

19.Danstan Dominic Kyobya-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kilombero.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.

20.Dkt.Julius Keneth Ningu-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo.

21.Judith Martin Nguli -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Liwale.

Fatma Nyangasa

22.Hanafi Hassan Msabaha – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mtwara.Alikuwa Mkuu wa Wilaya Uvinza.

23.Lauter John Kanoni-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi. AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe.

24.Matiko Paul Chacha-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Misungwi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kaliua.

25.Ng’wilabuzu Ndatwa Ludigija -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala.

26.Claudia Undalusyege Kitta- Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging’ombe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Masasi.

27.Fatma Almas Nyangasa-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigamboni.

28.Nick Simon John – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kibaha. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe.

29.Halima Habib Okash-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mvomero.

30.Filberto Hassan Sanga -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mlele.

31.Ngollo Ng’waniduhu Malenya – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ulanga.

32.Johari Musa Samizi-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kwimba.

33.Simon Peter Simalenga -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Bariadi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Songwe.

34.Anna Jerome Gidarya-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Busega.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Ileje.

35.Moses Joseph Machali-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mkalama. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bukoba.

36. Thomas Cornel Apson-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Ikungi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Siha.

Said Mtanda

37.Kemilembe Rose Lwota -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Manyoni.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo.

38.Joshua Samwel Nassari-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Iramba.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bunda.

39.Esther Alexander Mahawe-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbozi.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Kigoma.

40.Simon Kemori Chacha -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Sikonge.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Chemba.

41.Dkt.Mohamed Rashid Chuachua -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya yaKaliua. Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Mbeya.

42.Said Mohamed Mtanda- Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Urambo.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Arusha.

43.Louis Peter Bura -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Tabora.AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Urambo.

44.Jokate Urban Mwegelo-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Korogwe.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.

45.Albert Gasper Msando – Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Morogoro.

46.Juma Said Irando-Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Muheza. AlikuwaMkuu wa Wilaya ya Hai.

47.Zainab Abdallah Issa -Amehamishwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Pangani.Alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo.

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yaitaka Serikali ichukue hatua kudhibiti mfumuko wa bei

Spread the love  SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanya tathimini dhidi ya changamoto...

Habari za Siasa

Bunge lataja kinachokwamisha Mradi wa Mchuchuma na Liganga

Spread the love  MRADI wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya...

Habari za Siasa

Chongolo aagiza watendaji wanaoonyesha mianya ya rushwa wakamatwe

Spread the love   KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa...

Habari za Siasa

TRA iweke mfumo wa msamaha wa kodi kutekeleza miradi

Spread the love  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimeitaka Mamlaka ya Mapato...

error: Content is protected !!