CHAMA Cha Wananchi (CUF), leo Jumamosi tarehe 7 Januari 2023, kimezindua rasmi mikutano ya hadhara ambapo ufunguzi huo umefanywa na Mwenyekiti wake Taifa,...
By Regina MkondeJanuary 7, 2023SIKU chache baada ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kutengua zuio la kufanya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa nchini, Chama...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023WAKATI vyama vya siasa vya upinzani vikianza kutangaza ratiba ya kuanza mikutano ya hadhara, Chama cha ACT-Wazalendo kimesema Kamati yake Kuu, itakutana...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023WAFUASI wa Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, anayedaiwa kufukuzwa James Mbatia, wamepanga kufanya mikutano ya hadhara Januari 2023. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJanuary 7, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kitazindua rasmi mikutano ya hadhara kitaifa tarehe 21 Januari 2023, ikifuatiwa na uzinduzi wa mikutano hiyo...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimetangaza kuanza mikutano ya hadhara huku kikiagiza matawi yake kuandaa mikutano hiyo. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 6, 2023HUENDA tarehe 5 Januari 2023, ikawa ni siku chungu kwa Kamishna Diwani Athuman, baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutengua uteuzi wake...
By Mwandishi WetuJanuary 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ametengua uteuzi wa Kamishna Diwani Athumani, katika nafasi ya Katibu Mkuu Ikulu, na kumteua Mululi Majula Mahendeka, kushika...
By Regina MkondeJanuary 5, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema Taifa linapumua baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuondoa zuio la mikutano ya hadhara, akisema hatua...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Stephen Wasira amesema mikutano ya hadhara ikianza kufanyika itakiamsha Chama kilichoko madarakani cha CCM, ili kitimize mambo iliyoahidi kwa...
By Gabriel MushiJanuary 5, 2023KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema mtu hatokatika kidole wala kukatwa shingo, endapo atampongeza Rais Dk. Samia Samia Suluhu Hassan kwa...
By Regina MkondeJanuary 5, 2023MAMBO sita yanatarajiwa kutikisa katika vikao vya Kamati za Kudumu za Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania vitakavyoanza Januari 19 hadi 29...
By Jonas MushiJanuary 5, 2023WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), George Simbachawene, amevitaka vyama vya siasa kufanya siasa za kistaarabu ili kuepusha...
By Regina MkondeJanuary 5, 2023RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga kuwa Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa Mjini New York akichukua...
By Mwandishi WetuJanuary 4, 2023KIONGOZI wa ACT Wazalendo, Zitto kabwe amesema wamefarijika sana baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kufuta zuio la mikutano ya hadhara...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe amesema haikuwa kazi nyepesi kufikia makubaliano ambayo yametangazwa na Rais Samia Suluhu Hassan kwamba sasa mkwamo wa...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA) Taifa, Hashim Rungwe amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza kuondoa zuio la...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema licha ya kusemwa kwa mengi hususani kuhusu suala la kukopa sana, hatishiki kwa sababu amedhamiria kuhakikisha...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), Hashim Rungwe, amesema zama alizoziita za kutishana zimeondoka na kwamba vyama vya siasa vitakuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake imedhamiria kuukwamua mchakato wa marekebisho ya katiba na kwamba muda si mrefu kamati ya ushauri...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameondoa zuio la mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, lililowekwa na mtangulizi wake, Hayati John Magufuli, kwa...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimekubali kushiriki mkutano wa pamoja wa vyama vya siasa Tanzania,...
By Mwandishi WetuJanuary 3, 2023MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia kazi mapendekezo yaliyotolewa na Kikosi kazi alichokiunda...
By Regina MkondeJanuary 3, 2023Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amepokea taarifa ya Maendeleo ya mazungumzo ya mchakato wa maridhiano ya kisiasa, Ikulu Jijini Dar es Salaam...
By Gabriel MushiJanuary 1, 2023WAKATI leo tarehe 31 Disemba, 2022 ikiwa ni tamati ya mwaka 2022, Mke wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Mama Maria...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), limewataka viongozi wake wa mikoa ambao ni waoga, wakae pembeni ifikapo 2023 maana mwaka huo...
By Mwandishi WetuDecember 31, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza viongozi na watumishi katika balozi waendelee kufanya tathmini ya fursa za kiuchumi ambazo Tanzania inaweza kupata kutokana na...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022SERIKALI imeridhia kufufua mradi mkubwa wa kilimo cha umwagiliaji ndani ya Bonde la Bugwema, liliko mkoani Mara, ikiwa ni utekelezaji wa ombi...
By Regina MkondeDecember 30, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imesema Kikosi Kazi cha kuratibu maoni ya kuimarisha demokrasia ya vyama vingi cha Rais Samia Suluhu, ilikuwa...
By Mwandishi WetuDecember 30, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeitaka Serikali ifikapo 2023 kuja na mkakati wa kitaifa wa kukuza uchumi, kuongeza ajira na kutoa huduma bora...
By Mwandishi WetuDecember 29, 2022CHAMA cha Wananchi (CUF), kimesema kinaunga mkono marekebisho ya sheria za habari yenye lengo la kuongeza uhuru wa tasnia hiyo, huku ikiiomba...
By Regina MkondeDecember 29, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kumjulia hali Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022IKIWA zimesalia siku tatu kufika tamati ya mwaka 2022, Chama cha ACT-Wazalendo kimeutaja mwaka huo kuwa wa misukosuko, “mchungu kwa wanyonge na...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimetangaza nia ya kukiondoa madarakani Chama Cha Mapinduzi (CCM), ifikapo 2025 kupitia Uchaguzi Mkuu. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 28, 2022WAZIRI wa Ujenzi na Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa, amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza mikataba ya ujenzi wa miundombinu ya barabara iasainiwe hadahrani...
By Mwandishi WetuDecember 27, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mbunge wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson amewataka Wananchi kuacha...
By Mwandishi WetuDecember 24, 2022WABUNGE wa Bunge la Tanzania wamesema Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP) ukikamilika utakuwa fursa ya kiuchumi na kijamii kwa Watanzania....
By Seleman MsuyaDecember 24, 2022FEDHA za mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini, mkoani Tarime, kiasi Cha Sh.75 milioni, zinatarajiwa kujenga maabara ya masomo ya sayansi katika shule...
By Regina MkondeDecember 22, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP)ni ushahidi tosha kuwa Tanzania inaweza kufanya mambo...
By Mwandishi WetuDecember 22, 2022SPIKA wa Bunge, Dk Tulia Ackson amesema kasi ya utekelezaji wa miradi inayofanywa na Serikali ya Awamu ya Sita chini ya uongozi wa...
By Seleman MsuyaDecember 22, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amesema ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Umeme la Julius Nyerere (JNHPP),...
By Seleman MsuyaDecember 22, 2022WAKUU wa mikoa ya Pwani na Morogoro wamesema wamejipanga kuhakikisha umeme utakaozalishwa kupitia Mradi wa Bwawa la Julius Nyerere (JNHPP), unachochea shughuli za...
By Seleman MsuyaDecember 22, 2022MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile (CCM) amekabidhi pikipiki nane kwenye Kata zote nane za Halmashauri ya Mji Kondoa Mkoani...
By Gabriel MushiDecember 22, 2022WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama amesema Serikali haitosita kumchukulia hatua za...
By Mwandishi WetuDecember 20, 2022SERIKALI ya Tanzania imeombwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi, pamoja na Tume ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, ili...
By Regina MkondeDecember 20, 2022WAKATI kukiwa na hofu kuwa kauli ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe kwamba ataendelea na mazungumzo ya maridhiano...
By Gabriel MushiDecember 19, 2022SUSAN Lyimo amechaguliwa kuwa Spika wa Bunge la Wananchi wa Chama cha Chadema, huku Lumola Kahumbi, akichaguliwa kuwa Naibu Spika wake. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema 2023 utakuwa mwaka wa kazi ndani ya chama chake, huku akitangaza kufanya...
By Gabriel MushiDecember 16, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimehitimisha kampeni ya mgombea wake jimbo la Amani leo kwa kuonya kuwa kitazuia hujuma yoyote ya kuvuruga uchaguzi mdogo...
By Mwandishi WetuDecember 16, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 14 Disemba, 2022 ameteua makatibu wakuu wa wizara ya uwekezaji, biashara na viwanda pamoja na wizara ya...
By Gabriel MushiDecember 14, 2022