KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, imetoa mapendekezo manne kwa Serikali, juu ya namna ya kutatua changamoto za ukosefu...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ajiuzulu cheo chake cha ujaji wa Mahakama Kuu, ili...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imedai kuwa, kuna changamoto ya uvujaji wa mapato ya Serikali...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua vyumba sita vya madarasa katika shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji Cha Katunduru kata...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023MBUNGE wa Igunga, Nicholas Ngassa ameishukuru Serikali kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hasssan kwani...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imeishauri Serikali ianzishe Mfuko Maalum wa Uwekezaji kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),limeishauri Serikali kuchukua hatua za kumaliza changamoto za msongamano wa shehena...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Tunduma, Philimon Magessa kwa jitihada za ukusanyaji mapato...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu wadhifa wake ili kupisha uchunguzi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imetoa uamuzi wa kuwatambua wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha NCCR-Mageuzi,...
By Regina MkondeFebruary 7, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameongoza zoezi la Upandaji miti katika Kijiji cha Ijoka, Kata ya Mpombo Halmashauri ya Busokelo ikiwa...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2023WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema hakuna Mtanzania atakayekufa kwa njaa na Serikali haitafunga mipaka ya nchi kwa kuzuia mfumuko wa bei ya...
By Christina HauleFebruary 6, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson ameongeza kamati za kudumu za kisekta mhimili huo kutoka tisa hadi 11. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Akisoma...
By Mwandishi WetuFebruary 6, 2023KATIBU mkuu wa chama cha mapinduzi Daniel Chongolo ameiagiza bodi ya maji bonde la wami Ruvu kuongeza kasi katika usimamizi wa rasilimali...
By Christina HauleFebruary 5, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, kwa kushirikiana na wananchi wa kata ya Nyamrandirira, mkoani Mara, wamechangia fedha na vifaa mbalimbali kwa...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amepiga marufuku tabia za wazazi na walezi nchini kuwatumia watoto wakike katika shughuli...
By Christina HauleFebruary 4, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo ameagiza ofisi zote za mabalozi wa mashina nchini zitumike kuwalea na kuwajenga watoto katika...
By Christina HauleFebruary 4, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan, kwa kuunda tume ya kuangalia namna ya kuboresha mfumo wa...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeitaka Serikali kuchukua hatua za haraka kuwasaidia wananchi wa wilaya za Liwale na Nachingwea mkoani Lindi, wanaokabiliwa na baa...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2023NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Zungu, watu wanaokwamisha utekelezaji wa mradi wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma,...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba, amesema Serikali ina mpango wa kufumua gridi ya taifa, ili kuboresha miundombinu yake chakavu inayosababisha changamoto ya...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, imeitaka Serikali kudhibiti uuzaji holela wa dawa za asili zisizopimwa ubora,...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023MWENYEKITI wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha NCCR-Mageuzi, Jovine Clinton, aliyepotea tangu tarehe 24 Januari 2023, amepatikana akiwa hajitambui katika pori...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Jaji wa Mkuu wa Tanzania, Profesa Ibrahim Juma na aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), ambaye kwa sasa...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Ado Shaibu, amesema vyama vya upinzani vilifanya makosa kuwapokea baadhi ya makada waliotoka katika chama tawala...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023SERIKALI imewaagiza maafisa elimu wa mikoa na wilaya kuratibu usimamizi wa adhabu ya viboko shuleni, ili kuepusha vitendo vya walimu kutoa adhabu...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2023HATIMAYE Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Godbless Lema, ametangaza kurejea nchini tarehe 3 Machi 2023. Anaripoti...
By Faki SosiFebruary 2, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimesema wakazi wa mijini na vijijini nchini wanapaswa kuwa na subira katika mambo ya maendeleo kwa sababu Serikali...
By Christina HauleFebruary 2, 2023SERIKALI ya Tanzania imetakiwa kufanya tathimini dhidi ya changamoto ya kupanda kwa bei ya mahitaji muhimu ikiwemo vyakula, ili iweze kuchukua hatua...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023MRADI wa uchimbaji chuma cha Liganga na Makaa ya Mawe ya Mchuchuma, ulioko wilayani Ludewa, Mkoa wa Njombe, umetajwa kukwama kutokana na...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo ameiagiza kamati ya ulinzi na usalama Wilayani Malinyi mkoani Morogoro kuwasweka ndani...
By Christina HauleFebruary 1, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Taifa kimeitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuweka mfumo utakaotumika na kufanya msamaha wa Kodi kutokuwa kikwazo na...
By Christina HauleFebruary 1, 2023KATIBU Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema vigingi vilivyowekwa kwenye misamaha ya kodi ndio kikwazo kikubwa kinachosababisha kuchelewa kukamilika...
By Christina HauleFebruary 1, 2023HUENDA Serikali nchini Tanzania ikaja na utaratibu mpya wa kupanga shule bora na zile za nafasi za mwisho baada ya kufutilia mbali...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema ni vyema utaratibu wa usuluhushi upewe kipaumbele katika utatuzi wa migogoro...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2023WAZIRI wa Habari,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye, ameiagiza Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuzichukuliwa hatua kampuni za mawasiliano ya simu...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MBUNGE wa Kisesa kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Luhaga Mpina, ameliomba Bunge kuitisha mchakato wote wa manunuzi wa mkataba wa mkandarasi wa...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, kuwasilisha bungeni taarifa ya watu wanaodaiwa kuwapa ujauzito wanafunzi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema muitikio mkubwa wa wanachama wa chama hicho katika mikutano ya hadhara,...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka tume aliyoiunda kuangalia jinsi ya kuboresha taasisi za haki jinai nchini, kukamilisha kazi hiyo ndani ya miezi...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023MBUNGE wa kuteuliwa na Rais, Dk. Bashiru Ally, ameitaka Serikali kuja na mikakati ya kutatua changamoto ya mfumuko wa bei za vyakula huku...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imeutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), iwachukulie hatua za kisheria wapangaji wake wanaodaiwa malimbikizo ya...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imelitaka Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), kuajiri watangazaji au wasanii wenye vipaji badala ya kuajiri wenye...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Daktari Hussein Mwinyi, amewataka wafanyabiashara visiwani humo, kupunguza bei za bidhaa hususan vyakula, ili kuwasaidia wananchi wasiokuwa...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023KATIBU mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo ameisisitiza Wakala wa barabara Tanzania (TANROADS) kumsimamia kikamilifu mkandarasi anaye jenga kwa kiwango cha...
By Christina HauleJanuary 31, 2023MBUNGE wa Arusha Mjini (CCM), Mrisho Gambo, amekataa kupokea taarifa ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, iliyoeleza kwamba mfumuko...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, ameitaka Tume ya kuangalia namna ya kuboresha taasisi za haki jinai, ikapitie mchakato kisheria wa makubaliano ya kukiri...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema hapo awali alikuwa anaogopa kuingia katika majengo ya mahakama na polisi, akieleza kuwa alihisi huenda akageuziwa kibao...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2023KATIBU mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Chama hicho hakiko tayari kuacha kuhoji na kufuatilia kwa Ukaribu Miradi mbalimbali...
By Christina HauleJanuary 30, 2023KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Daniel Chongolo amempa siku 7 Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kufika katika Kijiji Cha Mvumi...
By Christina HauleJanuary 30, 2023