RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema hana lengo na hapendi kubadilisha viongozi mara kwa mara kwa kuwa anafahamu madhara yake, ikiwemo kuchukua...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka mawaziri kueleza mafanikio ya Serikali mara kwa mara, ili kudhibiti baadhi ya watu wanaofanya upotoshaji. Anaripoti...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023KATIBU Mkuu Kiongozi, Dk. Moses Kusikulika, amesema mada tano zitajadiliwa katika mkutano wa faragha wa siku tatu wa mawaziri na makatibu wa...
By Mwandishi WetuMarch 2, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesema tangu kimechukua madaraka baada ya Tanzania kupata uhuru, kimefanya mageuzi mengi katika sekta ya elimu, kwa kujenga vyuo...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Kaskazini, Godbless Lema, amewasili nchini akitokea Canada, alikokuwa akiishi tangu 2020 baada...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kupingana na mwanasiasa mkongwe nchini, Stephen Wassira, kuhusu Serikali za Majimbo, baada ya chama hicho...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeahidi kumjibu hadharani Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, kufuatia kauli yake aliyotoa kuhusu sakata la Uwanja wa Ndege...
By Mwandishi WetuMarch 1, 2023BAADA ya kuibua mjadala kufuatia hatua yake ya kuhutubia mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Arusha, Balozi Dk. Wilbroad...
By Mwandishi WetuFebruary 28, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amesema kutoelewana miongoni mwa viongozi wa Serikali na wasaidizi wao ndiyo sababu kubwa ya kupangua safu ya...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimewaomba Watanzania wakipe ridhaa ya kuiongoza nchi kupitia sanduku la kura, kwani kitawaondoa katika umasikini ndani ya...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amelipongeza Jeshi la Polisi kwa kuendelea kulinda mikutano ya hadhara ya vyama...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023BAADHI ya Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), mkoani Njombe, wamempa zawadi Mwenyekiti wao Taifa, Freeman Mbowe, kwa kutambua mchango wake...
By Mwandishi WetuFebruary 27, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimebuni utaratibu mpya wa kujisogeza kwa umma mapema hata kuliko kawaida ya uendeshaji siasa nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Jabir IdrissaFebruary 26, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametengua uteuzi wa Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Omary Mgumba katika...
By Masalu ErastoFebruary 26, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu ameshiriki Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Busokelo wilayani Rungwe sambamba na kukagua miradi mbalimbali ya...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, kimeomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, itekeleze kikamilifu sera...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimekana kuwatambua wanachama 374 waliotangaza kujivua uanachama, kikidai katika kundi hilo wanachama wake hawazidi 60 na kwamba wengi...
By Mwandishi WetuFebruary 24, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Profesa Sospeter Muhongo, amewataka wazazi watimize wajibu wao wa malezi mazuri kwa wanafunzi wa shule za sekondari, yatakayowawezesha...
By Mwandishi WetuFebruary 21, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimezindua ahadi yake kwa Watanzania, ya kujenga Taifa la wote kwa maslahi ya wote kufikia 2035 endapo kitapewa ridhaa ya...
By Regina MkondeFebruary 19, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimewaomba Watanzania wakiunge mkono ili kiweze kutimiza malengo yake ya kuwakomboa kiuchumi, kijamii na kisiasa. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeFebruary 18, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimesema ndoto yake kuu si kushika dola bali kuwakomboa wananchi kiuchumi na kijamii. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...
By Regina MkondeFebruary 18, 2023WAZIRI mpya wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerewa amesema kuwa kwa kushirikiana na viongozi wenzake walioteuliwa hivi karibuni atahakikisha wanafanya mabadiliko na...
By Mwandishi WetuFebruary 18, 2023KUTOKANA na kupungua kwa kero zilizokuwa zikiwakumba wananchi wa Jimbo la Songwe mkoani hapa, Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewataka wananchi kuendelea kumuunga...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2023KIONGOZI wa Chama Cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kinaendelea kumuenzi aliyekuwa Mwenyekiti wake Taifa, Maalim Seif Shariff Hamad, aliyefariki Dunia...
By Mwandishi WetuFebruary 17, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba na wenzake watano, wamenusurika kifo baada ya kupata ajali maeneo ya Kilwa mkoani...
By Regina MkondeFebruary 16, 2023WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa ameeleza kuridhishwa na kasi ya ukusanyaji mapato uliopo katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe huku...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2023WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika...
By Mwandishi WetuFebruary 16, 2023MAKAMU wa Rais, Daktari Phillip Mpango, amewataka mawaziri kuepuka mivutano kati yao na watendaji wizarani, badala yake washirikiane kuwaletea maendeleo wananchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2023KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Sophia Mjema, amesema hakuna chama cha siasa cha upinzani kitakachosumbua chama chake...
By Mwandishi WetuFebruary 15, 2023CHAMA cha Wakulima nchini (AAFP), kimesema kinamkumbuka aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, kutokana na kazi kubwa aliyofanya kulinda demokrasia...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2023CHAMA cha Wakulima nchini (AAFP), kimetangaza mpango wa kuanza kufanya mikutano ya hadhara kuanzia Februari 2023, baada ya kufanya mkutano wake mkuu kesho...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2023MBUNGE Viti Maalum, Esther Matiko, amemuomba Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, aagize Kamati ya Kudumu ya mhimili huo ya Ardhi, Maliasili na...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2023NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo, Mkoa wa Dar es Salaam, kimeiomba Serikali kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto za uhaba wa...
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, ametinga katika Ofisi ya Jeshi la Polisi mkoani Dodoma, kufuata gari...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza mkandarasi anayejenga Kituo cha Taifa cha Maafa katika mtaa wa Nzuguni Jijini Dodoma kumaliza ujenzi kwa wakati...
By Danson KaijageFebruary 9, 2023SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson amesema shahada za udaktari wa falsafa ‘degree za heshima’ zinazotolewa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023MBUNGE wa Moshi Mjini, Priscus Tarimo, ameitaka Serikali kupandisha hadhi ya utawala miji iliyokidhi vigezo, pamoja na kugawa mikoa yenye ukubwa wa...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023KAULI ya Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba aliyoitoa bungeni kuwa “wabunge wajadili mambo mengine yanayohusu uganga” imeendelea kuutibua muhimili...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2023MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amehoji bungeni jijini Dodoma, sababu za mchakato wa marekebisho ya katiba, kukwama licha ya Rais Samia Suluhu Hassan,...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023MBUNGE wa Simanjiro, Christopher Olesendeka, amelitaka Bunge liache kulalamika kwa maamuzi yake iliyokwisha fanya, badala yake litoe maazimio ya kuwachukulia hatua watu wanaoshindwa...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, aingilie kati ili Muswada wa Marekebisho ya Sheria ya Huduma za Habari...
By Regina MkondeFebruary 8, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria, imetoa mapendekezo manne kwa Serikali, juu ya namna ya kutatua changamoto za ukosefu...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemtaka aliyekuwa Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP), Biswalo Mganga, ajiuzulu cheo chake cha ujaji wa Mahakama Kuu, ili...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), imedai kuwa, kuna changamoto ya uvujaji wa mapato ya Serikali...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023MKUU wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua vyumba sita vya madarasa katika shule ya Msingi Kinyangwa iliyopo Kijiji Cha Katunduru kata...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023MBUNGE wa Igunga, Nicholas Ngassa ameishukuru Serikali kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo, chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hasssan kwani...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC), imeishauri Serikali ianzishe Mfuko Maalum wa Uwekezaji kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC),limeishauri Serikali kuchukua hatua za kumaliza changamoto za msongamano wa shehena...
By Masalu ErastoFebruary 7, 2023MKUU wa Mkoa wa Songwe, Waziri Kindamba, amempongeza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya mji Tunduma, Philimon Magessa kwa jitihada za ukusanyaji mapato...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba, kujiuzulu wadhifa wake ili kupisha uchunguzi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2023