Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi,...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali iboreshe mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, ulioingiwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya Sh 5.5 bilioni wilayani Songwe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023WALIOKUWA wagombea udiwani wa CHADEMA katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 20, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amelitaka amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), liache kuwa wauzaji wa mafuta yanayotoka nje...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi dhidi ya fedha za tozo za miamala ya...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7 kwa kiwango cha...
By Danson KaijageJune 17, 2023CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimekosoa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/24 na kudai kuwa haijaweka vipaumbele vinavyolenga kuboresha maisha ya wananchi...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023WANAVIJIJI kutoka kata nne za Wilaya ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na adha ya huduma ya maji safi na salama...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa nchi haijauzwa na wala haiziki, na kwamba Tanzania ni moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BARAZA la madiwani katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wameazimia kutoa adhabu ya kuwafuta kazi watumishi saba huku kati yao...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amuombe radhi Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hakuna ukweli wowote juu ya muda wa miaka 100 wa uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023ALIYEKUWA mbunge wa Kinondoni, kupitia vyama vya The Civil United Front – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati ya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Livingston Lusinde amesema CCM haina mpango wakuliachia jimbo la Moshi mjini pamoja halmashauri ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023IKULU Visiwani Zanzibar, imeeleza kuwa eneo la kiwanda cha sukari cha Bagamoyo, siyo sehemu ya shamba linalomilikiwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar...
By Saed KubeneaJune 1, 2023SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), imetangaza rasmi kwamba shamba la Razaba lilipo eneo la Bagamoyo, mkoani Pwani, ni mali halali ya serikali...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Dk. Hussein Ally Mwinyi, amezindua Kamati ya Maridhiano Visiwani, yenye lengo la kuendeleza dhamira ya...
By Mwandishi WetuMay 31, 2023SERIKALI iko mbioni, kuwasilisha bungeni muswaada wa marekebisho ya sheria ya Idara ya Usalama wa taifa (TISS), uliosheheni utata, ikiwamo kuweka kinga...
By Mwandishi WetuMay 30, 2023MAHAKAMA ya Afrika ya Haki za Binadamu (ACHPR), imepanga kutoa uamuzi wa shauri la madai lililofunguliwa na Bob Chacha Wangwe, dhidi ya...
By Mwandishi WetuMay 26, 2023JIMBO la Musoma Vijijini, mkoani Mara, limeomba Serikali kuhakikisha ujenzi wa Barabara ya Musoma-Makojo-Busekera, unaanza baraka baada ya mwaka mpya wa fedha (2023/24),...
By Mwandishi WetuMay 23, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeeleza wasiwasi juu ya uelekeo wa Serikali na mjadala unaondelea Bunge kuhusu ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye ujenzi wa...
By Faki SosiMay 23, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa kampuni za simu kubuni teknolojia ya gharama nafuu itakayowezesha kila Mtanzania kupata huduma ya mawasiliano...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Musoma, mkoani Mara, kutumia mapato yake ya ndani kukamilisha miradi...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemteua Mussa Mohamed Makame, Mkurugenzi Mtendaji, Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuwa Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuMay 13, 2023DAKTARI wa aliyewahi kuwa Waziri wa Mambo ya Nje nchini Bernard Membe, ameondoa utata kuhusu ya kifo cha mwanasiasa huyo mkongwe na...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023WANAKIJIJI zaidi ya 4,000 wa Kinyang’erere, Musoma Vijijini mkoani Mara, wameepukana na adha ya usafiri baada ya Serikali kujenga barabara inayowaunganisha katika...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023JAJI Mustapha Ismail Kambona, msemaji wa familia ya marehemu Bernard Kamilius Membe, aliyeaga dunia mapema leo asubuhi, ametangaza kuwa mazishi ya mwanasiasa...
By Kelvin MwaipunguMay 12, 2023TANZANIA imeeleza dhamira yake ya kuendelea kuimarisha ushirikiano wake na Serikali ya Uingereza katika sekta za biashara pamoja na uwekezaji. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuMay 12, 2023ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa, katika utawala wa Rais Jakaya Kikwete, Bernard Kamilius Membe, amefariki dunia, asubuhi...
By Saed KubeneaMay 12, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemlilia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Bernard Membe, aliyefariki Dunia ghafla jijini Dar es Salaam. Anaripoti...
By Masalu ErastoMay 12, 2023KATIBU Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo amekutana na kuzungumza na mabalozi wa China,...
By Mwandishi WetuMay 12, 2023HATIMAYE Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha) leo Alhamisi wamekusanyika kwenye viwanja vya posta ya zamani jijini Dar es salaam na kuandamana...
By Mwandishi WetuMay 11, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu ameliomba jeshi la polisi nchini kuendelea kumsaka aliyehusika na shambulio dhidi...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) leo Jumanne ameangua tena kilio bungeni na kutoka nje ya ukumbi wa mhimili huo kwa...
By Mwandishi WetuMay 9, 2023WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Uratibu na Bunge, Jenister Mhagama amesema kabla ya mwaka huu 2023 kumalizika, Serikali itakuwa imepeleka...
By Gabriel MushiMay 8, 2023CHAMA Cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) kimeiomba Serikali ianze kutekeleza dhana ya maridhiano mapema kabla ya kubandika kwenye matangazo kuwa wameridhiana kumbe si...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023CHAMA cha ACT Wazalendo kimeunga mkono na kuikaribisha kwa mikono miwili hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan kumuagiza Msajili wa Vyama vya Siasa...
By Mwandishi WetuMay 8, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amemuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini, Jaji Francis Mutungi kuitisha kikao maalum cha Baraza la vyama hivyo...
By Faki SosiMay 7, 2023UKUAJI wa biashara kati ya Tanzania na Ufaransa umeongezeka kutoka kiasi cha Sh. 27.8 bilioni kwa mwaka 2015 hadi Sh. 94.5 bilioni kwa...
By Mwandishi WetuMay 5, 2023LEO tarehe 5 Mei, ni ACT Dei. Ni siku ambayo Chama cha ACT Wazalendo kilipata usajili wa kudumu. Tunaadhimisha siku hii kwa...
By Mwandishi MaalumMay 5, 2023ALIYEKUWA Spika wa Bunge, Job Ndugai, amedai kuwa aliwahi kumshauri Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, kukutana na...
By Saed KubeneaMay 4, 2023Spika wa Bunge, Tulia Ackson leo Alhamisi amesema licha ya kuwepo kwa chokochoko kwamba aliyekuwa Mbunge wa jimbo hilo kupitia Chadema, Joseph Mbilinyi...
By Mwandishi WetuMay 4, 2023KESI ya kikatiba iliyofunguliwa na raia wa Tanzania waishio nje ya nchi (Diaspora), kupinga Sheria inayokataza uraia wa nchi mbili, maarufu kama...
By Mwandishi WetuMay 2, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amesema suala la posho ya kufundishia (teaching allowance) kwa walimu ni mzigo mkubwa kwenye kapu la serikali hivyo...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza kurejesha mpango wa nyongeza ya mishahara kila bila kutaja viwango ili kudhibiti mfumuko wa bei. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuMay 1, 2023RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amewaunganisha watanzania katika sekta zote nchini ili kuhakikisha wananufaika na rasilimali mbalimbali zilizopo pamoja na...
By Mwandishi WetuApril 29, 2023