HASSAN Ruhwanya, Wakili wa Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR-Mageuzi, Joseph Selasini, amejitoa kumuwakilisha katika kesi aliyofunguliwa na James Mbatia, akimtaka amlipe...
By Regina MkondeJuly 13, 2023MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam, imesimamisha Kwa muda usikilizaji wa kesi iliyofunguliwa na James Mbatia, kupinga kuvuliwa uanachama wa...
By Regina MkondeJuly 13, 2023RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni pamoja na janga la rushwa ambalo linadhoofisha...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023OFISI ya Msajili wa Vyama vya Siasa, imekitaka Chama cha Tanzania Labpour Party (TLP), kuitisha uchaguzi wa kujaza nafasi ya mwenyekiti wake taifa,...
By Regina MkondeJuly 11, 2023USIKILIZWA wa kesi Na. 18/2023 iliyofunguliwa katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar es Salaam na James Mbatia, kupinga kufukuzwa ndani ya chama...
By Regina MkondeJuly 11, 2023WAKILI Rugemeleza Nshala aliyewahi kuwa Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) ameitwa na Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Kanda Maalum Dar es...
By Mwandishi WetuJuly 11, 2023MKUTANO wa Kamati ya Mawaziri wa Asasi ya Ushirikiano katika Masuala ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023MAWAKILI wa wabunge viti maalum 19, wakiongozwa na Halima Mdee, wamendelea kuwahoji maswali hya dodoso wajumbe wa Bodi ya Wadhamini ya Chama cha...
By Mwandishi WetuJuly 10, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Jamhuri ya India zimekubaliana kuanzisha maeneo mapya ya ushirikiano katika sekta za biashara na...
By Mwandishi WetuJuly 9, 2023KAMATI Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), imekutana kujadili hali ya kisiasa nchini, ikiwemo mkataba wa ushirikiano kuhusu uendeshaji bandari, ulioingia...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023BALOZI Ali Karume amedai uamuzi kumvua uanachama uliochukuliwa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni batili hivyo hana haja ya kukata rufaa kuupinga. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kusini Unguja kupitia kamati ya Halmashauri Kuu ya CCM ya mkoa huo imeridhia kumfukuza uanachama Balozi Ali...
By Mwandishi WetuJuly 8, 2023ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemfikisha mahakamani Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Joseph Selasini na wengine sita, akitaka wamlipe...
By Mwandishi WetuJuly 7, 2023MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Shaka Hamdu Shaka amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ni kioo...
By Seleman MsuyaJuly 6, 2023HATIMAYE Rais Samia Suluhu Hassan amemrejesha kwenye baraza lake la mawaziri, Prof. Kitila Mkumbo baada ya kukaa benchi kwa muda wa zaidi ya...
By Mwandishi WetuJuly 5, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameshuhudia utiaji saini wa mikataba mitatu ya msaada wa maendeleo inayofadhiliwa na Umoja wa Ulaya (EU) wenye thamani ya...
By Mwandishi WetuJuly 4, 2023RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo tarehe 02 Julai, 2023 ametengua uteuzi wa wakuu wa wilaya ya Kilindi...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2023MWENYEKITI wa halmashauri ya mji Tunduma, Ayoub Mlimba amesema katika bajeti ya mwaka huu wa fedha 2023/2024 wamejipanga kubuni vyanzo vipya vya mapato...
By Mwandishi WetuJuly 2, 2023MBUNGE wa Jimbo la Mbarali Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya, Fransis Leonard Mtega (CCM) leo Jumamosi alasiri amefariki dunia baada ya kupata ajali...
By Mwandishi WetuJuly 1, 2023MAKAMU wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango amemuagiza Balozi wa Tanzania nchini Uturuki, Balozi Idd Seif Bakari kuhakikisha...
By Mwandishi WetuJune 30, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amemteua aliyekuwa Naibu Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali, Benjamin Magai kuwa Mkaguzi Mkuu wa Ndani wa...
By Mwandishi WetuJune 29, 2023HATIMAYE Bunge la Bajeti limeahirishwa baada ya kutumia siku 85 tangu lilipoanza tarehe 4 Aprili 2023, huku azimio lake la kuridhia makubaliano ya...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023KATIBU Mkuu wa ACT Wazalendo Ndugu Ado Shaibu amesema Chama hicho kimejipanga kuongeza ushiriki wa wanawake kwenye nafasi mbalimbali za uongozi za...
By Mwandishi WetuJune 28, 2023SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, amesema kengele ya hatari iliyofanya mhimili huo usitishe shughuli zake kwa muda, imetokana na marekebisho yaliyokuwa yanafanywa...
By Mwandishi WetuJune 27, 2023KIKAO cha Bunge kilichokuwa kinaendelea leo Jumanne, tarehe 27 Juni 2023, kimeahirishwa ghafla baada ya kutokea dharura. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Kikao hicho...
By Regina MkondeJune 27, 2023MFANYABISHARA wa Kimataifa ambaye pia ni mwanasiasa, Rostam Aziz amejibu Balozi Dk. Wilbrod Slaa ambaye alimtuhumu kwa mambo mbalimbali na kusisitiza kwamba Katibu...
By Gabriel MushiJune 26, 2023MFANYABIASHARA wa kimataifa nchini, Rostam Aziz amesema hahusiki lakini pia kampuni zake hazihusiki wala hazina uhusiano wowote na Kampuni ya DP World kutoka...
By Gabriel MushiJune 26, 2023WABUNGE wa viti maalumu Nusrat Hanje, Salome Makamba ambao ni sehemu ya wabunge 19 waliotimuliwa uanachama na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...
By Gabriel MushiJune 26, 2023WAKATI Serikali ikiendelea kutoa ufafanuzi kuhusu mkataba wake na Kampuni ya DP World, kuhusu ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, Jumuiya...
By Mwandishi WetuJune 26, 2023MKUTANO ulioandaliwa leo na chama cha upinzani cha CHADEMA na kada wake wa zamani, Wilbrod Slaa, kwenye viwanja vya Bulyaga, Temeke, jijini Dar...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023KAMATI YA siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi nane yenye thamani ya Sh 9.3 bilioni katika wilaya ya Ileje...
By Mwandishi WetuJune 23, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Alhamisi imefungua rasmi Ubalozi wake Jijini Jakarta nchini Indonesia. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea). Akizungumza katika...
By Mwandishi WetuJune 22, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewasili Jakarta nchini Indonesia kwa ajili ya ziara ya kikazi,...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023MWENYEKITI wa Chama Cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba ameishauri Serikali iboreshe mkataba wa ushirikiano wa uendeshaji Bandari ya Dar es Salaam, ulioingiwa...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023KAMATI ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Songwe imekagua miradi saba ya maendeleo yenye thamani ya Sh 5.5 bilioni wilayani Songwe...
By Mwandishi WetuJune 21, 2023WALIOKUWA wagombea udiwani wa CHADEMA katika Kata za Rugongwe, Mukabuye na Nyaruyoba kwenye uchaguzi Mkuu 2020 wamejiunga ACT Wazalendo. Anaripoti Mwandishi Wetu …(endelea)....
By Mwandishi WetuJune 20, 2023MBUNGE wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo, amelitaka amelitaka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), liache kuwa wauzaji wa mafuta yanayotoka nje...
By Mwandishi WetuJune 19, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimemtaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), kufanya ukaguzi dhidi ya fedha za tozo za miamala ya...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023SERIKALI ya Tanzania chini ya usimamizi wa Wakala wa barabara nchini (TANROAD) imsaini mitakaba 7 ya ujenzi wa barabara 7 kwa kiwango cha...
By Danson KaijageJune 17, 2023CHAMA Cha ACT-Wazalendo, kimekosoa bajeti ya Serikali kwa mwaka wa fedha wa 2023/24 na kudai kuwa haijaweka vipaumbele vinavyolenga kuboresha maisha ya wananchi...
By Mwandishi WetuJune 17, 2023WANAVIJIJI kutoka kata nne za Wilaya ya Musoma Vijijini, mkoani Mara, wako mbioni kuondokana na adha ya huduma ya maji safi na salama...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza nchini kwa maslahi ya pande zote mbili...
By Mwandishi WetuJune 15, 2023NAIBU Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Italia...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023RAIS wa Jamhuri, Samia Suluhu Hassan, ameeleza kuwa nchi haijauzwa na wala haiziki, na kwamba Tanzania ni moja. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...
By Mwandishi WetuJune 14, 2023BARAZA la madiwani katika halmashauri ya mji Tunduma wilayani Momba mkoani Songwe, wameazimia kutoa adhabu ya kuwafuta kazi watumishi saba huku kati yao...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MBUNGE wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara (CCM) amemtaka Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amuombe radhi Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 10, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema hakuna ukweli wowote juu ya muda wa miaka 100 wa uwekezaji kwenye Bandari ya Dar es...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023ALIYEKUWA mbunge wa Kinondoni, kupitia vyama vya The Civil United Front – Chama cha Wananchi (CUF) na Chama Cha Mapinduzi (CCM), kati ya...
By Mwandishi WetuJune 7, 2023MJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (NEC), Livingston Lusinde amesema CCM haina mpango wakuliachia jimbo la Moshi mjini pamoja halmashauri ya...
By Mwandishi WetuJune 1, 2023