SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2023/24 hadi kufikia Septemba, 2023 imelipa jumla ya Sh bilioni moja wastaafu 1,744 wa iliyokuwa Jumuiya ya...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023WAZIRI wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Serikali imechukua hatua ya kubana matumizi ya ndani hasa katika maeneo ya matumizi ya kawaida ili...
By Mwandishi WetuSeptember 8, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia (Chadema) Bara, Tundu Lissu, amedai bila ya wahanga wa vitendo vya watu wasiojulikana kupatiwa haki zao, falsafa...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023WAKATI muswada wa Sheria ya Ununuzi wa Umma ya 23, ikisubiri kupitishwa bungeni jijini Dodoma, baadhi ya wabunge wamedai bila Serikali kuweka mikakati...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali, kwa ajili ya kumsaidia mkulima kupata masoko ya mazao yake...
By Regina MkondeSeptember 7, 2023WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa, amemuagiza Naibu wake, Dotto Biteko, kutafuta muarobaini wa changamoto ya uhaba wa mafuta ndani ya siku saba. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2023WAZIRI wa Kilimo Hussein Bashe amesema mradi wa kuchimba visima 67,500 na wa kumpatia kila mkulima hekari 2.5 za umwagiliaji bure na tenki...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa amewataka wakuu wa mikoa kutekeleza maagizo yaliyotolewa na kamati ya mawaziri nane, kwa...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023NAIBU Waziri Mkuu, Dotto Biteko, amesema Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, amempa jukumu kubwa baada ya kumteua kushika wadhifa huo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2023KATIBU Mkuu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dk. Samwel Shelukindo ameongoza ujumbe wa Tanzania katika Mkutano wa...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023SERIKALI ya Tanzania na Bunge, imepewa muda wa siku 30 kuuvunja mkataba wa ushirikiano wa kiserikali kati yake na Imarati ya Dubai, kuhusu...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2023Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeahidi kuiunga mkono Saudi Arabia kuwa mwenyeji wa Maonesho ya Kimataifa ya Biashara mwaka 2030 (EXPO...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan amelitaka Jeshi la Polisi nchini kujipanga katika kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024 na Uchaguzi Mkuu...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo kimetoa mapendekezo namna ya kuboresha mkataba wa ushirkiano wa kiserikali (IGA), kati ya Serikali ya Tanzania na Imarati ya Dubai,...
By Mwandishi WetuSeptember 4, 2023VIJANA wametakiwa kushirikiana katika kuleta uhuru wa kiuchumi, ili kuondoa changamoto ya ugumu wa maisha. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam…(endelea). Wito...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2023WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa leo tarehe 2 Septemba 2023 amemkaribisha Naibu Waziri Mkuu Dkt. Doto Biteko katika ofisi ndogo ya Waziri Mkuu zilizopo...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2023Rais Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa amemvua hadhi ya Ubalozi Dk. Wilbroad Slaa kuanzia tarehe 01 Septemba, 2023. Dk. Slaa aliteuliwa kuwa Balozi...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kufurahishwa na uchapakazi wa aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohamed Mchengerwa ambaye sasa amehamishiwa katika Wizara ya...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesema mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri aliyoyafanya hivi karibuni, si adhabu bali yanalenga kuimarisha maendeleo ya nchi....
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewataka mawaziri na manaibu mawaziri walioteuliwa hivi karibuni na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kuyafanyia tathmini maeneo ya ilani...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2023JUKWAA la Katiba Tanzania (Jukata) limeeleza kuwa mojawapo ya sababu ya kuhamishwa Dk. Damas Ndumbaro kutoka Wizara ya Katiba na Sheria kuelekea wizara...
By Faki SosiAugust 31, 2023BUNGE la Tanzania, limeridhia Itifaki ya Biashara ya Huduma ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ya 2012, yenye lengo la kufungua...
By Regina MkondeAugust 31, 2023MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema vyama vya siasa vinampongeza Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa namna anavyoongoza...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka wananchi washiriki katika zoezi la kutoa maoni kwa ajili ya maandalizi ya Dira ya Maendeleo ya Taifa...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MAKAMU wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud Othman yeye pamoja na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wako tayari kushirikiana na wawekezaji, Serikali...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023MBUNGE wa Kisesa, ameihoji Serikali sababu za Dola za Marekani kuadimika nchini, wakati ikijinasibu kwamba kuna ongezeko la uwekezaji, utalii na mauzo ya...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho na uteuzi wa viongozi mbalimbali ikiwamo Naibu Waziri David Silinde ambaye amehamishwa kutoka Wizara ya Mifugo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kutumia mbinu za kisayansi kudhibiti uvamizi wa wanyamapori katika maeneo wanaoyoishi wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, limepitisha azimio la kuridhia mapendekezo ya Katiba ya Tume ya Usafiri wa Anga ya Afrika ya...
By Regina MkondeAugust 30, 2023MABADILIKO madogo ya Baraza la Mawaziri, yaliyofanywa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, yamegusa kwa namna tofauti baadhi ya mawaziri, ambapo wapo...
By Regina MkondeAugust 30, 2023RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, kwa kuanzisha nafasi mpya ya Naibu Waziri Mkuu, kuunda wizara...
By Regina MkondeAugust 30, 2023SERIKALI imewaonya watu wanaosambaza mitandaoni picha na video za wahanga wa vitendo vya ukatili wa kijinsia, ikisema itawashtaki kama hawataacha mara moja. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepinga uamuzi wa Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, kuzuia wabunge kujadili bungeni sakata la mkataba wa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023BUNGE limegoma kufanyia kazi muswada uliowasilishwa na Serikali kwa ajili ya kurekebisha sheria zinazosimamia rasilimali na maliasili za nchi, uliolenga kuwezesha uwekezaji bandarini,...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023WABUNGE leo Jumanne wameitaka Serikali kupeleka bungeni muswada wa marekebisho ya Sheria hifadhi ya jamii ya mwaka 2017 ili iruhusu wastaafu kulipwa kwa...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023HATIMAYE Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) Dkt. Festo Dugange leo Jumanne amerejea bungeni na kuendelea...
By Mwandishi WetuAugust 29, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kupangua Idara ya Usalama wa Taifa baada ya leo Jumatatu kumteua Balozi Ali ldi Siwa kuwa Mkurugenzi Mkuu...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeendelea kutumia mikutano yake ya hadhara kuwataka wananchi kutumia Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2024, kung’oa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amekitaka Chama Cha Mapinduzi (CCM), kiikabidhi Chadema Serikali kama kimeshindwa kusimamia rasilimali...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023SERIKALI imevunja ukimya kuhusu utekelezaji mchakato wa marekebisho ya katiba, ikisema kwa sasa imeweka kipaumbele katika kutoa elimu kwa wananchi kuhusu suala hilo,...
By Regina MkondeAugust 28, 2023CHAMA cha ACT-Wazalendo, imeitaka Serikali kutoa ratiba ya utekelezaji wa mageuzi ya kisiasa nchini. Anaripoti Matilda Peter, Dar es Salaam…(endelea). Wito huo umetolewa...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2023Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dk. Stergomena Tax amewapa Wakuu wa Mikoa mbinu mbalimbali za kutekeleza Diplomasia ya...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amemtumbua Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Hanafi Msabaha kutokana na madai ya kusababisha baadhi ya wananchi wa...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023RAIS Samia Suluhu Hassan leo jumapili amewaonya viongozi wa umma kuacha ‘kujidogosha’ kwa kutekeleza majukumu yao kwa kusubiri maelekezo kutoka juu badala yake...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2023Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi leo Alhamisi amekutana kwa mazungumzo na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023NAIBU Spika wa Bunge la Tanzania, Mussa Zungu, anarajiwa kufungua kongamano la kimataifa la kusherekea miaka 10 ya ushirikiano baina ya nchini za...
By Seleman MsuyaAugust 24, 2023RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameteua wajumbe wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) na kuingiza damu changa kutoka Chama cha ADA-...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2023WATU 10 wamefariki dunia leo Jumatano baada ya ndege binafsi iliyokuwa ikitokea katika jiji la Moscow kwenda St. Petersburg kuanguka huko nchini Urusi....
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023HATIMAYE Mbunge wa Ngorongoro, Emmanuel Ole Shangai (CCM) ambaye alidaiwa kushikiliwa na polisi tangu tarehe 21 Agosti 2023 ameachiwa huru leo huku akisisitiza...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023Tanzania na Cuba zimekubaliana kushirikiana na kuimarisha misingi ya kisiasa, ujengaji wa uwezo kwa wanasiasa vijana, sekta za elimu, afya, utalii, biashara na...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2023