Thursday , 2 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Bodi NCCR Mageuzi yakwaa kisiki mahakamani

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeyaondoa maombi Na. 459/2022 yaliyofunguliwa na wanaodai kuwa wajumbe wapya wa Bodi ya Wadhamini ya...

Habari za SiasaTangulizi

Sabaya aweka pingamizi rufaa ya Jamhuri

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Arusha kesho tarehe 14 Disemba, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi mdogo juu ya mapingamizi mawili yaliyowasilishwa na mawakili wa aliyekuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe: Chadema haitafuti vyeo mazungumzo na Samia

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amesema mazungumzo ambayo chama hicho inafanya na Serikali ni ya wazi na wala...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Miaka 61 ya uhuru: Walilia maendeleo, uhuru na haki

WAKATI Tanzania Bara ikitimiza miaka 61 ya uhuru, Serikali imetakiwa kuhakikisha maendeleo, uhuru na haki za Watanzania zinaimarika. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...

Habari za SiasaTangulizi

Kikwete amtaka Samia kuwa mkali ‘usivumilie upuuzi’

RAIS mstaafu Dk. Jakaya Kikwete ameushauri uongozi mpya wa CCM unaongozwa na Mwenyekiti Dk Samia Suluhu Hassan kuwa wakali na kutovumilia maneno yanayokigawa...

Habari za Siasa

Wasaidizi wa Samia matumbo joto, kupanguliwa wakati wowote

RAIS wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan amesema amekusudia kufanya mabadiliko ya baadhi ya viongozi wa Serikali ili kuachana na viongozi ambao wanashindwa...

Habari za Siasa

Makundi CCM yamchefua Dk. Samia

MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa Rais Samia Suluhu Hassan amewataka wanachama wa chama hicho kuacha kujenga nyufa ndani ya chama baada...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia aomba radhi kauli ya Mzee Makamba ‘wazuri hawafi’

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema Katibu Mkuu mstaafu wa chama hicho, Yusuph...

Habari za Siasa

Mzee Makamba aibua mjadala majibu yake kuhusu mgawo wa maji, umeme

  KATIBU Mkuu mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mzee Yusuph Makamba, ameibua mjadala kufuatia kauli yake iliyowataka watu wanaohoji uhaba wa umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Dk. Samia, Kinana na Dk. Mwinyi wapenya CCM

  MSIMAMIZI wa uchaguzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Ali Mohamed Shein ambaye ni Rais mstaafu wa Zanzibar leo tarehe 7 Disemba,...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaongeza wajumbe NEC kutoka 15-20

  NAFASI za idadi ya wajumbe wa Halmashauri Kuu (NEC), imeongezwa kutoka wajumbe 15 hadi 20 Tanzania Bara vivyo hivyo kwa upande wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mdee, wenzake yapigwa kalenda hadi Machi 2023

  KESI ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Chadema, iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19 katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu, jijini Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama Kuu: Magufuli alivunja katiba kumuondoa ofisini Prof Assad kama CAG

MAHAKAMA Kuu Tanzania leo tarehe 5 Disemba, 2022 imetoa uamuzi kuwa Rais wa Awamu ya Tano, Dk. John Magufuli alivunja Katiba alipomwondoa Prof....

Habari za Siasa

Hali ya kisiasa Tanzania yampeleka Mbowe Marekani

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe, anatarajia kufanya ziara ya kikazi ya siku sita nchini Marekani, ambapo atafanya...

Habari za Siasa

Kigogo ACT-Wazalendo aeleza panda, shuka safari ya mwanamke kwenye uongozi

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha siasa cha ACT-Wazalendo Bara, Dorothy Semu, amewataka wanawake kuwa wavumilivu kuelekea safari yao ya uongozi wa kisiasa...

AfyaHabari za Siasa

Dk. Samia ataka mikakati kutokomeza unyanyapaa kwa WAVIU

  RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Tume ya Kudhibiti Ukimwi (TACAIDS), wizara ya afya pamoja na wadau wengine kuweka mikakati ya kutokomeza...

Habari za Siasa

Wapinzani waibana Serikali mapendekezo kikosi kazi

  WAKATI viongozi wa vyama vya siasa vya upinzani wakiitaka Serikali itoe ratiba ya utekelezaji mapendekezo ya kuboresha mfumo wa demokrasia ya vyama...

Habari za Siasa

NCCR Mageuzi Kahama waitaka Serikali itangaze uchaguzi mdogo wa mtaa

  CHAMA cha NCCR Mageuzi Kata ya Malunga Manispaa ya Kahama mkoani Shinyanga kimeitaka serikali kuitisha uchaguzi wa marudio katika mtaa wa Igomelo...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo yataja mwarobaini ukali gharama za maisha

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iongeze shughuli za kiuchumi ili kukabiliana na changamoto za ongezeko la gharama za maisha, umasikini na ukosefu...

Habari za Siasa

Zitto: Mimi sio msaliti

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amekanusha tuhuma za kwamba yeye ni msaliti wa kisiasa, akisema angekuwa msaliti asingechaguliwa kuwa mbunge...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto Kabwe: Hatujafunga ndoa na CCM

  KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameeleza kuwa chama hicho ni tofauti na Chama Cha Mapinduzi (CCM), pamoja na vyama vingine...

Habari za Siasa

Chadema yasema kikokotoo cha mafao hakina uhalisia wa umri wa kufanya kazi

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimekosoa kikokotoo kipya cha mafao na kueleza kuwa kimekosa uhalisia wa umri wa mtu kuanza kazi...

Habari za Siasa

Samia awagomea UWT kusimama na mtu

  RAIS Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM ameutaka Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kuacha kusimama na mtu badala yake...

Habari za Siasa

CUF yamtaka Rais Samia “atembee kwenye maneno yake kwa vitendo”

  CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atimize ahadi yake ya kujenga maridhiano na kuimarisha demokrasia ya vyama vingi, kwa...

Habari za Siasa

Kinana: Wasio tutakia mema wanatutoa kwenye ajenda muhimu

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana, amesema wasiokitakia mema chama hicho wanawatoa kwenye ajenda muhimu na kujikuta wakijadili mambo...

Habari za SiasaTangulizi

Watunza kumbukumbu za umma sasa kula kiapo

  WATUNZA kumbukumbu na nyaraka za Serikali sasa watalazimika kula kiapo cha maadili ya kazi yao kutokana na kile kilichoelezwa ni unyeti wa...

Habari za Siasa

Rais Samia: Jenista ni jembe, kiraka

  RAIS wa Tanzania, Samia Sulkuhu Hssan amempongeza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Jenister Mhagama kwa kuweza...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu awavaa CCM

  MWENYEKITI wa Kamati ya Kitaifa ya Maaskofu na Mashekhe ya Maadili Amani na Haki za Binadamu kwa Jamii ya Madhehebu ya Dini...

Habari za Siasa

Chadema yataka Serikali za majimbo

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema kitaendelea kupigania upatikanaji wa Serikali ya Majimbo, ili kushusha mamlaka kwa wananchi. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yatinga Ulaya kudai katiba mpya, tume huru 

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kinafanya ziara barani Ulaya kwa ajili ya kutafuta uungwaji mkono na Jumuiya za Kimataifa katika msuala...

Habari za Siasa

Spika Tulia: UVCCM msikae kimya

SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson, ameutaka Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), usikae kimya katika kuwaeleza wananchi maendeleo...

Habari za Siasa

BAVICHA kuongoza vijana wa vyama vya demokrasia Afrika

BARAZA la Vijana la Chama cha Chadema (BAVICHA), litaongoza Umoja wa Vijana wa Afrika kutoka vyama vya kidemokrasia (YDUA), katika kipindi cha mwaka...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi huru na haki ni msingi wa demokrasia: Dk. Jingu

  KATIBU Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dk. John Jingu, amefunga warsha ya siku nne kwa makamishna na maafisa...

Habari za SiasaTangulizi

Waziri Mbarawa atoa ripoti ajali ya ndege hadharani, “mhudumu ndiye aliyefungua mlango”

  SERIKALI ya Tanzania, imetoa taarifa rasmi kuhusu ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Precision Air, ikisema ilitumbukia ziwani...

Habari za Siasa

Zitto atilia shaka utekelezaji ripoti kikosi kazi, ataka Serikali itoe ratiba

  KIONGOZI Mkuu wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameitaka Serikali itoe ratiba ya utekelezaji wa mapendekezo ya Kikosi cha Rais Samia Suluhu...

Habari za Siasa

Rais Samia: TLS ilikuwa chama cha wanaharakati

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema miaka ya nyuma chama cha Sheria Tanganyika (TLS) kilikuwa si chama cha wanasheria bali wanaharakati...

Habari za Siasa

Rais Samia asema mafanikio ya kiuchumi bila haki si endelevu

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema kuwa mafanikio ya kiuchumi yanayotokana na mbinu zinakiuka misingi ya haki na utawala bora hayawezi kuwa endelevu....

Habari za Siasa

Prof. Lipumba amng’oa kigogo CUF

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ametengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Mambo ya Nje, Bunge na Sera wa chama...

Habari za Siasa

Rais Samia aonya wanasiasa wanaotetea wavamizi wa ardhi kisa kura

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewataka wanasiasa kuacha kuchochea migogoro ya ardhi kwa kutetea wavamizi wa ardhi kwa malengo ya kisiasa....

Habari za Siasa

Rais Samia ahimiza wananchi kuendeleza juhudi za kilimo

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewahimiza wananchi kuendeleza juhudi katika kilimo kwani Seerikali imechukua hatua za kukuza kilimo nchini. Anaripoti Mwandishi...

Habari za Siasa

Bashe: Matokeo ya uwekezeji kilimo hayatokei siku moja

  WAZIRI wa Kilimo, Hussein Bashe amewataka Watanzania wasidhani kwamba matokeo ya jitihada za Serikali kuboresha sekta ya kilimo yanatokea siku moja bali...

Habari za Siasa

Samia: Wananchi jipindeni kufanya kazi

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania kujipinda kufanya kazi ili mapato yapatikane kusukuma gurudumu la maendeleo ya Taifa hasa ikizingatiwa...

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Nape apiga ‘stop’ bei za bando kupanda

  KAMPUNI za mawasiliano ya simu nchini zimetakiwa kutobadilisha bei za vifurushi hadi pale matokeo ya tathmini kuhusu gharama za utoaji huduma hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Rushwa yasababisha chaguzi 3 CCM kusimamishwa

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimesimamisha chaguzi tatu kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali ikiwemo za rushwa zilizoibuliwa, ili kuchukua hatua kwa ajili ya...

Habari za Siasa

Dk. Rose Rwakatare Mwenyekiti mpya Jumuiya ya Wazazi Morogoro

Dk. Rose Rwakatare ameibuka na ushindi wa kishindo kwenye nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Mkoa wa Morogoro. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awafunda mabalozi, awapa mwelekeo mpya

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania nje ya nchi kuangalia vipaumbele vya Taifa ikiwemo kufanya mapitio ya sera ya mambo...

Habari za Siasa

Taasisi za sekta ya ujenzi Bara, Zanzibar zabadilishana uzoefu

  Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Prof. Makame Mbarawa, ameishauri Wizara ya Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi na Wizara ya Ardhi, Maendeleo na Makazi...

Habari za Siasa

Miss Tz 2018 achomoza kinyang’anyiro ujumbe NEC-CCM

  MISS Tanzania 2018 – Queenelizabeth Makune ameteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kugombea nafasi ya Ujumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi ateua viongozi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, leo Jumatano, tarehe 16 Novemba 2022, amefanya uteuzi wa viongozi wawili, akiwemo Dk. Sharifa Omar Salim,...

Habari za SiasaTangulizi

ACT hatarini kujiondoa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar

  KAMATI maalum ya Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo upande wa Zanzibar, imeagiza Sekretarieti ya chama hicho kuratibu vikao vya viongozi na wanachama kwa...

error: Content is protected !!