Sunday , 28 April 2024

Habari za Siasa

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mdee waendelea kuing’ang’ania Chadema mahakamani

  BAADHI ya wabunge viti maalum wameendelea kudai katika Mahakama Kuu, Masjala Kuu jijini Dar es Salaam, kwamba Chama cha Chadema kiliwateua kushika...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyefariki kwenye foleni ya mbolea azua zogo bungeni

  TAARIFA za mwananchi aliyedaiwa kupoteza maisha akiwa kwenye foleni ya mbolea wilayani Songea mkoani Ruvuma, zimeibua mvutano mkali bungeni baada ya Mbunge...

Habari za Siasa

Msilalamike, tunadhibiti uhalifu – Mwinyi

  MALALAMIKO yaliyojaa mitaani yakihusu mfumo wa kukabiliana na kukua kwa kiwango cha uhalifu Zanzibar hayajamsukuma Rais wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi...

Habari za SiasaTangulizi

Shigongo ataka wasio waadilifu wachapwe viboko

  MBUNGE wa Buchosa, Eric Shigongo (CCM) amependekeza watumishi wa umma wasio waadilifu wachapwe viboko ili kukomesha ubadhirifu wa fedha za umma pamoja...

Habari za Siasa

Mwenzake Mdee adai Chadema iliwapa mashtaka mapya

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai Chama Cha Chadema, kiliwafanyia umafia katika mchakato wa kuwavua uanachama. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za SiasaTangulizi

Hanje apasua ‘jipu’ Mahakamani, awataja Mnyika na Mbowe uteuzi wake

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, ameshauri suala lao la kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, lirudishwe ndani ya chama hicho, kwani kuendelea kuwepo...

Habari za SiasaTangulizi

Nusrat Hanje ashangaa Chadema kumteua mbunge kisha kumkataa hadharani

  MBUNGE Viti Maalum, Nusrat Hanje, amedai alikosa nafasi ya kujitetea kwa mdomo katika Baraza Kuu la Chadema, Ili kueleza viongozi wake waliomteua...

Habari za Siasa

Bunge laibana Serikali mkataba wa KADCO

  BUNGE la Tanzania limeitaka Serikali kutoa ufafanuzi wa kwanini mkataba wa Kampuni ya Uendeshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro...

Habari za Siasa

Mongela: Hakuna baba anayetaka mwanamke anayenuka moshi, tukomboke!

  MWANASIASA mkongwe na mwanaharakati wa masuala ya wanawake, Balozi Getrude Mongella ametoa wito kwa wanawake kujikomboa kutoka kwenye matumizi ya nishati chafu...

Habari za SiasaTangulizi

Mvutano waibuka mwenzake Mdee akihojiwa mahakamani, adai Wakili alimpania

  MVUTANO mkali umeibuka kati ya Wakili wa Chadema, Peter Kibatala na mleta maombi namba 11, Hawa Mwaifunga, kuhusu ajenda za kikao Cha...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi kupinga kufukuzwa Chadema: Kina Mdee kuendelea kuhojiwa mahakakani

  HAWA Mwaifunga, aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake la Chama Cha Chadema (BAWACHA), Leo Alhamisi, tarehe 3 Novemba 2022, anaendelea kuhojiwa...

Habari za SiasaTangulizi

Maridhiano ndo chachu ya uchumi Zbar – Mwinyi

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema jukumu muhimu la kuipatia nchi uchumi mzuri, halitafanikiwa iwapo hakuna amani na utulivu katika...

Habari za SiasaTangulizi

Wadau wataka mjadala wa kitaifa matokeo ya sensa

  SERIKALI ya Tanzania, imeshauriwa kuitisha mjadala wa kitaifa kuhusu takwimu za matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, ili kubaini...

Habari za Siasa

Kamati ya Bunge yashauri TIC iwe mamlaka kamili

  KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, imependekeza kuwa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kipewe mamlaka kamili badala ya...

ElimuHabari za Siasa

Bodi ya Mikopo ya wanafunzi kuhojiwa bungeni

  SPIKA wa Bunge, Dk. Tulia Ackson, ameitaka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), ifike mbele ya Kamati ya...

Habari za Siasa

Samia ampa mwaka mmoja Makamba

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa muda wa mwaka mmoja (2023) kwa Waziri wa Nishati, Januari Makamba kuhakikisha taasisi zote kubwa nchini ikiwamo...

Habari za Siasa

CUF yalia na Rais Samia kuhusu tume huru ya uchaguzi, katiba mpya

CHAMA cha Wananchi (CUF), kimemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atembee katika maneno yake kuhusu upatikanaji wa maridhiano ya kitaifa Kwa kuhakikisha Tume Huru...

Habari za SiasaTangulizi

Prof. Lipumba ataka kasi ongezeko la watu ipunguzwe, ataja athari zake

MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, ameishauri Serikali ipunguze kasi ya ongezeko la idadi ya watu, ili kukabiliana na athari...

Habari za SiasaTangulizi

Matokeo ya Sensa 2022: Idadi ya watu Tanzania yafikia Mil. 61.7

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan ametangaza kuwa idadi ya Watanzania imefikia milioni 61.7 kufikia tarehe 31 Oktoba 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

Habari za Siasa

Shaka: Rais Samia aungwe mkono bila kujali itikadi za kisiasa

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema ni jukumu la Watanzania wote kumuunga...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aanika idadi ya majengo, yapo ya shule na afya

  NCHI ya Tanzania, ina majengo 14,348,372 (milioni 14.3), ambapo Bara kuna majengo 13,907,951 na Zanzibar 440,421. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

 Takwimu za sensa zitaondoa masharti magumu ya mikopo

  MKURUGENZI wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Daktari Albina Chuwa, amesema takwimu za sensa ya watu na makazi za 2022, zitasaidia...

Habari za Siasa

Makinda: Matokeo ya sensa yataendelea kutolewa

  KAMISAA wa Sensa ya Watu na Makazi ya 2022, Anna Makinda, amesema matokeo ya zoezi hilo yataendelea kutolewa baada ya Rais Samia...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto: Nilimwombea mama asife hadi aone naapishwa kuwa Rais

  KIONGOZI wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, ameoneshwa shahuku na ndoto aliyonayo ya kuwa Rais wa Tanzania, baada kusimulia alivyokuwa akimfariji mama yake kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wahudhuria uzinduzi makao makuu ya ACT-Wazalendo

CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimehudhuria uzinduzi wa jengo jipya la makao makuu ya Chama cha ACT-Wazalendo lililopewa jina la Maalim Seif...

Habari za Siasa

Haya hapa majina 10 madiwani viti maalumu walioteuliwa na NEC

TUME ya Taifa ya Uchaguzo leo tarehe 30 Oktoba, 2022 imetangaza majina 10 ya madiwani wanawake wa viti maalumu walioteuliwa kujaza nafasi 10...

Habari za Siasa

DP yaja na ‘Mlete Mzalendo Twende Pamoja’

CHAMA cha Democratic (DP) kimekuja na ‘Kampeni ya Mlete Mzalendo Twende Pamoja’ yenye lengo la kujenga chama na kuhakikisha kinafanya vizuri katika uchaguzi...

Habari za Siasa

Majaliwa awafunda Watanzania ughaibuni

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewasihi Watanzania wanaoishi ughaibuni kuwa mabalozi wazuri kwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi wanazoishi ili kujenga taswira...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto aeleza tume huru uchaguzi ilivyogonga mwamba kikosi kazi cha Rais

KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema baadhi ya mapendekezo yaliyotolewa na wanasiasa wa vyama vya upinzani katika Kikosi Kazi cha Rais...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia amburuza Selasini kortini, amdai fidia ya Bil. 3

ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amemfungulia kesi Mwenyekiti wa Baraza la Wadhamini la chama hicho, Joseph Selasini, katika Mahakama Kuu,...

Habari za SiasaTangulizi

Mbunge CCM ashauri kuondoshwa Tozo kwenye Korosho

  MBUNGE wa Ndanda Cecil Mwambe ameishauri Serikali kufuta tozo zilizokuwepo kwenye utaratibu za maozo ya kurosho ghafi ili kunusuru bei ya korosho...

Habari za Siasa

Askofu Gwajima aibua gumzo akifanya uteuzi jimboni kwake

MBUNGE wa Kawe kupitia Chama Cha Mapinduzi, Askofu Josephat Gwajima, ameibua gumzo baada ya kutangaza kufanya uteuzi wa wasaidizi wake wawili katika masuala...

Habari za SiasaTangulizi

Kinana ataja kinachomkwamisha Samia kuleta maridhiano ya kisiasa

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Abdulrahman Kinana, amesema kinachokwamisha dhamira ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuleta maridhiano nchini ni mabishano...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua wenyeviti wa bodi, Mganga Mkuu wa Serikali

RAIS Samia Suluhu Hassan leo Jumamosi amefanya uteuzi wa wenyeviti wa bodi wawili, wajumbe wa bodi hizo pamoja na watendaji watatu wa serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamuangukia Samia aharakishe mikutano ya hadhara

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimemwomba Rais Samia Suluhu Hassan, aruhusu mikutano ya hadhara kabla ya marekebisho ya Sheria ya Vyama...

Habari za Siasa

Wana Musoma waipongeza Serikali kwa kuwapiga ‘jeki’ wavuvi

WAVUVI katika Ziwa Victoria upande wa  Halmashauri ya Wilayani Musoma, mkoani Mara, wamepongeza hatua ya Serikali kutoa mikopo isiyokuwa na riba kwa ajili...

Habari za Siasa

Rais Samia: Mapendekezo ya kikosi kazi si amri kwa Serikali

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema mapendekezo ya kikosi kazi cha kukusanya na kuchakata maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi ...

Habari za Siasa

Ugonjwa wa shahidi wakwamisha kesi ya kina Mdee, Chadema

MAHAKAMA Kuu, Masjala Kuu ya Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwaji wa kesi iliyofunguliwa na wabunge viti maalum 19, kupinga kufukuzwa Chadema, kutokana na...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa siku 15 mkandarasi kukamilisha barabara Ukerewe

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku 15 kuanzia Oktoba 20, 2022 kwa kampuni ya Inter Country Contractors kuhakikisha inakamilisha ujenzi wa miradi...

Habari za Siasa

Wateule wa Rais wapendekezwa kuteua wajumbe Tume ya Taifa ya Uchaguzi

KIKOSI Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania, wamependekeza kuwepo kwa kamati maalumu itakayoteua wajumbe...

Habari za SiasaTangulizi

Kikosi Kazi chapendekeza hatua sita kupata Katiba Mpya

KIKOSI kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania,  kimependekeza hatua sita zitakazosaidia mchakato wa kupata Katiba mpya...

Habari za Siasa

Watanzania wamegawanyika kuhusu Katiba: Kikosi Kazi

TOFAUTI na masuala mengine yaliyofanyiwa kazi na Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi, suala la Katiba limetajwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kikosi Kazi: Mikutano ya hadhara iruhusiwe, matokeo ya urais yahojiwe mahakamani

HATIMAYE Kikosi Kazi cha kukusanya maoni ya wadau wa demokrasia ya vyama vingi nchini Tanzania kilichoundwa na Rais Samia Suluhu Hassan kimeitimisha kazi...

Habari za SiasaTangulizi

Ripoti kikosi kazi kutinga kwa Rais Samia kesho

  RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema kesho Ijumaa, tarehe 21 Oktoba 2022, atapokea ripoti ya kikosi kazi alichokiunda kuratibu maoni ya wadau wa...

Habari za Siasa

Majaliwa: Serikali haitawatupa wakulima wa tumbaku

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita haitawatupa wakulima wa tumbaku na amewataka waongeze uzalishaji kwani soko la uhakika lipo....

Habari za Siasa

Shaka: Rais Samia hana ‘mbambamba’ kwenye maendeleo

  KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema Mwenyekiti wa CCM na Rais Tanzania,...

Habari za Siasa

Rais Samia: Tunataka  Kigoma iwe kitovu cha biashara

  RAIS wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inataka kuurejesha Mkoa wa Kigoma katika hadhi ya kitovu cha biashara kwa kufungua...

Habari za SiasaTangulizi

Samia: Shughuli za kuleta maendeleo ni hatua

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema shughuli za kuleta maendeleo katika nchi ni hatua na kuwahakikishia wale ambao bado hawajafikiwa na huduma mbalimbali kuwa...

Habari za SiasaTangulizi

Nape aihofia Chadema, ataka CCM ijipime kwa mikutano ya hadhara

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema kitendo cha chama cha upinzani Chadema, kuanzisha mfumo wa usajili wanachama...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenge warejesha Bil. 2.2/- za mfuko wa maendeleo ya vijana

MWENGE wa Uhuru wa mwaka 2022 imefanikiwa kurejesha Sh 2.2 bilioni za mfuko wa maendeleo ya vijana ambazo zilikuwa zimekusanywa na Halmashauri na...

error: Content is protected !!