Sunday , 5 May 2024

Kimataifa

Kimataifa

Kimataifa

Trump asitisha msaada Palestina

DONALD Trump, Rais wa Marekani amesitisha utoaji msaada wa zaidi ya dola 200 milioni kwa Palestina. Anaripoti Regina Kelvin … (endelea). Marekani ilipanga...

Kimataifa

Wanaompinga Rais Mnangagwa watoswa Zimbabwe

MAHAKAMA ya Kikatiba nchini Zimbabwe imetupilia mbali maombi yaliyowasilishwa mahakamani hapo na chama kikuu cha upinzani nchini humo MDC, ya kukata rufaa dhidi...

Kimataifa

Kiongozi wa Upinzani Uganda akamatwa tena na Polisi

KIZZA Besigye, Kiongozi Mkuu wa Upinzani nchini Uganda amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini humo wakati akijaribu kuondoka nyumbani kwake mjini Kasangati. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Bobi Wine aachiwa huru, akamatwa tena

SERIKALI ya Uganda imemuondolea mashtaka Mbunge wa Kyadondo, Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine, lakini alikamatwa tena muda mfupi baada ya kuachiwa huru....

Kimataifa

Uganda kwazidi kuchafuka

MTU mmoja amepoteza maisha na zaidi ya watu 100 wamekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda, katika maandamano yaliyozuka kwa ajili ya kupinga...

Kimataifa

 BREAKING NEWS: Kofi Annan afariki dunia

KATIBU Mkuu wa zamani wa Umoja wa Mataifa (UN) Kofi Annan (80), amefariki dunia asubuhi leo. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa zilizopatikana...

KimataifaTangulizi

Dereva wa mbunge auwawa na polisi

DEREVA wa Mbunge wa Jimbo la Kyaddondo Mashariki  nchini Uganda,  Robert Kyagulanyi  Bobi Wine, Yasin Kawuma amefariki baada ya kupigwa risasi na watu...

Kimataifa

Urais wa Mnangagwa wapingwa mahakamani

CHAMA kikuu cha upinzani nchini Zimbabwe ‘Movement for Democratic’ (MDC) kimeenda mahakamani kwa lengo la kukata rufaa, ili kupinga matokeo ya uchaguzi wa...

Kimataifa

Rais Kabila akaa pembeni Urais DR Congo

VYAMA vinavyounda Muungano wa Common Front for Congo (FCC) umemteua aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani nchini humo, Emannuel Shadari kuwa mrithi wa...

Kimataifa

Museveni kufanya ziara nchini

YOWERI Museveni, Rais wa Jamhuri ya Uganda, anatarajiwa kufanya ziara ya kikazi ya siku moja hapa nchini ifikapo tarehe 9 Agosti 2018. Anaripoti...

KimataifaTangulizi

Mnangagwa ashinda uchaguzi Zimbabwe

RAIS wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa ameshinda uchaguzi wa urais nchini Zimbabwe kwa kwa asilimia 50.8 ya kura dhidi ya mpinzani wake wa karibu kutoka...

Kimataifa

Zimbabwe kwatifuka, watatu wauawa

WAFUASI wa chama cha upinzani nchini Zimbabwe (MDC) wameingia barabarani kwa maandamano baada ya kukishtumu chama tawala Zanu- PF kuingilia uchaguzi huo kwa...

Kimataifa

Rais Mnangawa achekelea Uchaguzi Zimbabwe

WAKATI kura zikiendelea kuhesabiwa katika uchaguzi mkuu nchini Zimbabwe baada ya zoezi la kupiga kura kukamilika, Rais wa nchi hiyo Emmerson Mnangawa ambaye...

Kimataifa

Iran yajibu mapigo ya Marekani

NCHI ya Irani imejibu tishio la Rais wa Marekani, Donald Trump kwa kumuonya kwamba atapoteza kila anachomiliki iwapo ataruhusu nchi yake kulishambulia Taifa...

Kimataifa

Tukio kubwa kuikumba dunia kesho (Julai 27)

KARNE ya 21 inatarajiwa kushuhudia tukio kubwa na la muda mrefu la kupatwa kwa mwezi Ijumaa ya Julai 27, 2018. Anaripoti Mwandishi Wetu...

KimataifaTangulizi

Admin wa WhatsApp afungwa miezi mitano jela

MWANAFUNZI mmoja anayefahamika kwa jina la Junaid Khan (21) ametumikia kifungo cha miezi mitano gerezani nchini India kwa kuwa msimamizi wa kundi la...

Kimataifa

Vichanga vyafariki baada mama zao kumeza viagra

WATOTO wachanga takribani 11 wamefariki dunia nchini Uholanzi kutokana na mama zao kupewa dawa ya kuongeza nguvu za kiume inayofahamika kama Viagra. Anaripoti...

Kimataifa

Marekani: China ni tishio

MAREKANI inapiga yowe kwamba, China inanyemelea nafasi yake ya kuwa taifa kubwa duniani. Inasema China inaendesha ‘vita baridi,’ pia ni tishio. Anaripoti  Yusuph...

KimataifaTangulizi

‘Watu wasiojulikana’ wavamia ofisi za gazeti waua watano

WATU wasiojulikana wamevamia ofisi za gazeti la Capital Gazette na kufyatua risasi na kuua watu watano na kuwajeruhi wengine, katika jiji la Maryland,...

Kimataifa

Biashara za Saudia, Emirates, Bahrain, Misri zazuiwa Qatar

MGOGORO wa Qatar na mataifa jirani unazidi kukua na sasa taifa hilo (Qatar) limezuia kuingizwa biashara kutoka Saudi Arabia, Emirates, Bahrain na Misri....

Kimataifa

Binti achomwa moto hadi kufa

NI binti wa miaka 18 ambaye alikimbia kwa zaidi ya mita 100 ili kujiokoa na shambulizi, hatimaye alianguka chini kwa uchovu, wauaji wakamfikia...

Kimataifa

Marekani yaikomalia Afghanistan, yasitisha misaada

MISAADA  ya kiusalama kwa Pakistan yenye thamani ya takriban dola milioni 900 itasitishwa hadi pale Pakistan itakapochukua hatua madhubuti ya kupambana na kundi...

Kimataifa

Rais Msumbiji amuiga Magufuli

FILIPE Nyusi, Rais wa Msumbiji amewafukuza kazi mawaziri wanne, akiwemo Waziri wa Mambo ya Nje na Waziri wa Nishati, anaandika Mwandishi wetu. Kwa...

Kimataifa

Shambulio la makombora ya Urusi laua 53

RAIA 53 wameuawa katika shambulio la kombora la Urusi katika kijiji kilichopo mashariki mwa Syria Al-Shafah, kundi la uangalizi linasema. Shirika la uangalizi...

Kimataifa

Mahakama Kenya yamkubali Kenyatta

MAHAKAMA ya Juu nchini Kenya imetupilia mbali kesi mbili zilizowasilishwa kupinga uchaguzi wa marudio, imeidhinishwa ushindi wa Kenyatta. Jaji Mkuu David Maraga amesema...

KimataifaTangulizi

ZANU PF yamshinikiza Mugabe ajiuzulu

CHAMA tawala Zimbabwe ZANU PF kimemtaka Rais Robert Mugabe ajiuzulu, kauli hiyo imetolewa na viongozi wa matawi ya chama hicho katika majimbo yote...

Kimataifa

Undani wa kinachoendelea Zimbabwe huu hapa

KUMEKUWA na sintofahamu ya kile kinachoendelea nchini Zimbabwe huku kukiwa na taarifa tofauti ya mapinduzi yaliyofanyika nchini humo dhidi ya Rais Robert Mugabe...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu DR Congo sasa 2018

TUME ya Uchaguzi Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018. Hata hivyo, upinzani...

Kimataifa

Waumini 26 wapigwa risasi kanisani Marekani

WATU 26 wameuawa kwa kupigwa risasi wakiwa kanisani na mtu mwenye silaha katika jimbo la Texas nchini Marekani walipokuwa katika ibada. Shambulio hilo...

Kimataifa

Makamu wa rais mpenda anasa atupwa jela

MAHAKAMA nchini Ufaransa imemhukumu makamu wa rais wa Equatorial Guinea, Teodorin Obiang kifungo cha miaka mitatu jela ambacho kimeahirishwa. Obiang 48, hufahamika sana...

Kimataifa

Rais Nkurunzinza aichomoa Burundi ICC

NCHI ya Burundi imekuwa ya kwanza kwa Afrika Mashariki kujiondoa uanachama katika Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Jinai (ICC). Serikali ya taifa...

Kimataifa

Majaji Kenya wakimbia mahakama ya juu

HAKAMA ya Juu Nchini  Kenya imeshindwa kusikiliza na kutoa maamuzi katika kesi ya kupinga kufanyika uchaguzi wa marudio uliopangwa kufanyika kesho kutokana na...

Kimataifa

Uchaguzi Mkuu Kenya washikiliwa na Mahakama

UCHAGUZI  Mkuu Nchini Kenya upo mashakani kufanyika Oktoba 26 kama ilivyotangazwa na Tume ya Uchaguzi na Mipaka ya nchi hiyo, (IEBC),  baada ya...

Kimataifa

Rais Trump awachefua watangulizi wake

MARAIS wawili wa zamani nchini Marekani wameonyesha wasiwasi wao kuhusu hali ya kisiasa nchini humo bila kumtaja kiongozi wa sasa wa taifa hilo...

Kimataifa

Tume ya Uchaguzi Kenya yazidi kusambaratika.

OFISA Mkuu Mtendaji wa Tume ya Uchaguzi Nchini Kenya, Ezra Chiloba anatarajiwa kuchukuwa likizo ya wiki tatu na hatoshiriki katika uchaguzi wa marudio...

KimataifaTangulizi

Kijana aibuka mshindi nchini Austria

MKUU wa chama cha kihafidhina nchini Austria cha People’s Party, Sebastian Kurz, anaelekea kupata ushindi wa kuliongoza taifa hilo akiwa na umri mdogo, anaandika...

Kimataifa

Mimba, ndoa za utotoni pasua kichwa

MIMBA na ndoa katika umri mdogo bado vinaitesa wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, ingawa serikali haina takwimu sahihi za wasichana wanaokumbwa na matatizo...

Kimataifa

George Weah afanya kweli Liberia, aibuka mshindi urais

ALIYEWAHI kuwa mchezaji bora wa dunia, Georgr Weah ameibuka mshindi wa kiti cha urais nchini Liberia katika uchaguzi uliofanyika juzi. Weah amewahi kuichezea...

Kimataifa

Rais Trump atishia kuangamiza vyombo vya habari

RAIS Donald Trump ametangaza vita na vyombo vya habari nchini mwake kwa madai kwamba vimekuwa vikikiuka taratibu na kuonyessha ama kuandika habari kwa...

Kimataifa

NASA wajiondoa kwenye uchaguzi Kenya

MUUNGANO wa vyama vya Nasa umetangaza kujitoa rasmi katika uchaguzi mkuu wa Kenya uliopangwa kufanyika tarehe 26 Oktoba mwaka huu, anaandika Mwandishi Wetu....

Kimataifa

Nani kuibuka mshindi Liberia leo?

WANANCHI nchini Liberia leo wanapiga kura kumchagua mrithi wa mwanamke wa kwanza kuchaguliwa kuwa rais barani Afrika na mshindi wa tuzo la amani...

Kimataifa

Waziri afariki akisaka hela za zahanati

WAZIRI wa Afya Nchini Tunisia amefariki kutokana na mshutuko wa moyo baada ya kushiriki katika mbio za kuchangisha fedha za kusaidia kupambana na...

Kimataifa

Rais Trump atembeza bakuli

RAIS wa Marekani, Donald Trump ameomba ufadhili kwa ajili ya ujenzi wa ukuta ili kusaidia kuwafukuza wahamiaji kutoka nchini Mexico. Mwezi uliopita alifuta...

Kimataifa

Vurugu zafunga chuo cha Nairobi

CHUO  Kikuu cha Nairobi kimefungwa kwa muda usiojulikana na Wanafunzi chuoni hapo wameamriwa kuondoka chuoni hapo  leo, anaandika Hamis Mguta. Uamuzi huo umefikiwa...

Kimataifa

Eneo la Catalonia latangaza kujitawala

SERIKALI ya eneo la Catalonia nchini Hispania imetangaza kupata ushindi wa kujitawala baada ya wakazi wake kushiriki kwa wingi katika kura ya maoni...

Kimataifa

Waliotekeleza ghasia Cameroon wamtibua rais

RAIS wa Cameroon, Paul Biya amelaani ghasia zilizotekelezwa na wananchi na kusababisha mauaji ya watu nane wakati wa maandamano ya raia wa nchi...

Kimataifa

Marekani yasaka suluhu na Korea Kaskazini

WAZIRI wa Mambo  ya Nje wa Marekani, Rex Tillerson yuko mjini Beijing kufanya mazungumzo na viongozi wa China. Ajenda kuu katika mkutano huo...

Kimataifa

Amnesty International: Burundi si shwari

SHIRIKA la Kimataifa la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limetoa ripoti inayoonyesha hali ya usalama kutokuwa shwari nchini Burundi, anaandika Mwandishi...

Kimataifa

Sauti ya kiongozi wa IS yazusha taharuki

WANAMGAMBO wa Islamic State wametoa kanda ya sauti ya kiongozi wa kundi hilo, Abu Bakr al-Baghdadi, anaandika Mwandishi Wetu. Mzungumzaji aliye na sauti...

Kimataifa

Bunge la Uganda giza kama Tanzania

VYOMBO vya habari nchini Uganda vimezuiwa kuonesha matangazo ya moja kwa moja (Mubashara) vikao vya Bunge vinavyoendelea nchini Uganda, anaandika Hamis Mguta. Mkurugenzi...

error: Content is protected !!