Kimataifa
KARIBU watu 15 hawajulikani waliko baada ya jumba la ghorofa saba kuporomoka siku ya Jumatatu (jana) usiku, katika kitongoji kimoja cha mji mkuu...
By Hamisi MgutaJune 13, 2017WAZIRI wa mashauri ya nchi za kigeni wa Marekani, Rex Tillerson anasema kuwa nchi za Ghuba ni lazima zilegeze hatua yao dhidi ya...
By Hamisi MgutaJune 10, 2017SERIKALI ya Sudan kusini imesema watoto wapatao 15 wamekufa ikiwa ni matokeo ya makosa yaliyofanyika katika jaribio la kuwakinga na surua, anaandika Hamisi...
By Hamisi MgutaJune 2, 2017WATU 80 wameuawa na wengine zaidi ya mia tatu kujeruhiwa, baada ya bomu lililotegwa kwenye gari kulipuka jirani na ubalozi wa Ujerumani mjini...
By Mwandishi WetuMay 31, 2017KOREA Kaskazini imerusha kombora la masafa mafupi, ambalo ni la tatu kurushwa na taifa hilo katika kipindi cha wiki tatu, anaandika Hamisi Mguta....
By Hamisi MgutaMay 29, 2017ZUIO la wahamiaji kuingia nchini Marekani lililotolewa na Donald Trump, rais wa nchi hiyo limefutwa, anaandika Wolfram Mwalongo. Hatua hiyo imetajwa kuwa kigingi cha kwanza...
By Masalu ErastoFebruary 4, 2017BUNGE la Wawakilishi nchini Marekani limeafiki kupigwa marufuku kwa Wamarekani wenye matatizo ya akili kumiliki silaha ikiwa ni jitahada za kukabiliana na uhalifu...
By Masalu ErastoFebruary 3, 2017KIFO cha Etienne Tshisekedi kiongozi wa chama cha upinzani cha (UDPS) katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, kimeacha simanzi na pigo kwa wapenda...
By Masalu ErastoFebruary 2, 2017JESHI la Muungano wa Kiuchumi wan chi za Magharibi mwa Afrika (ECOWAS) limezinasa silaha mbalimbali za kivita nyumbani kwa Yahya Jammeh Rais aliyelazimishwa...
By Masalu ErastoFebruary 1, 2017WAUMINI sita wa Dini ya Kiislam nchini Canada, wamefariki dunia na wanane kujeruhiwa baada ya kupigwa risasi katika msikiti wa Quebec usiku wa...
By Hamisi MgutaJanuary 30, 2017DONALD Trump, Rais wa Marekani amemwagia sifa James Comey, Mkurugenzi wa Shirika la Upelelezi (FBI) akidai ni mtu mahiri na amejipatia umaarufu kiasi...
By Masalu ErastoJanuary 23, 2017YAYHA Jammeh aliyekuwa rais wa Gambia ameliacha taifa hilo kwenye machungu, baada ya kukomba fedha katika hazina na kwenda uhamishoni nchini Guinea ya...
By Masalu ErastoJanuary 23, 2017HATIMAYE Yahya Jammeh, Rais wa Gambia aliyetaka kubaki Ikulu kwa hila ametangaza kuachia madaraka bila shuruti, anaandika Wolfram Mwalongo. Jammeh ametangazia umma kwa...
By Masalu ErastoJanuary 21, 2017WAKATI muda wa Yahya jammeh rais ‘king’ang’anizi’ wa Gambia ukiwa umeisha na hatua za kumuondoa kwa nguvu zikisubiriwa kuanza, kiongozi huyo amevunja rasmi...
By Masalu ErastoJanuary 20, 2017UAMUZI wa Mexico kumpeleka nchini Marekani Joaquin Guzman ‘El Chapo’ muuza dawa za kulevya mkubwa katika bara la America unaonekana kulenga kummaliza kabisa...
By Masalu ErastoJanuary 20, 2017MUDA wa kubembelezwa kwa Yahya Jammeh Rais wa Gambia aliyegoma kuondoka Ikulu ya nchi hiyo baada ya kuangushwa na mpinzani wake Adama Barrow...
By Masalu ErastoJanuary 20, 2017Edward Anthony Mwanasheria wa Rais Yahya Jammeh nchini Gambia akimbilia uhamishoni katika taifa jirani la Senegal, anaandika Wolfram Mwalongo. Antony ambaye amekuwa bega kwa...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017S. Erdene, kiongozi wa chama cha wafanyakazi wa migodi nchini Mongolia amejichoma moto akishinikiza serikali kuachana na mikataba ya kibiashara na makampuni kutoka...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017RAIS Barrack Obama anayemaliza muda wake wa kukaa Ikulu ya Marekani siku ya kesho amepuuza msimamo wa chama chake cha Democtatic kususia sherehe...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017ISATOU Njie, Makamu wa Rais wa Gambia ametangaza wazi kuachia ngazi hiyo kufuatia sintofahamu ya hali ya kisiasa iliyotanda katika Taifa hilo la...
By Masalu ErastoJanuary 19, 2017RAIS mteule Donald Trump wa Marekani amebakisha muda usiozidi siku mbili kabla ya kuapishwa rasmi kuwa rais wa taifa hilo lenye nguvu kubwa...
By Masalu ErastoJanuary 18, 2017PATRICK Mugadza, Mchungaji na mtetezi wa Haki za Binadamu nchini Zimbabwe ametupwa ruamnde baada ya kutabiri kifo cha Rais Robert Mugabe wan chi hiyo,...
By Masalu ErastoJanuary 17, 2017JEAN Marc Ayrault Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesema Jumuiya ya Umoja wa Nchi za Kujihami za Ulaya (NATO), zishirikiane kumjibu...
By Masalu ErastoJanuary 17, 2017RUHUSA kwa raia wa Cuba kuingia Marekani bila na kibali cha kusafiria na kuishi, yaani ‘viza’ sasa imekwisha. Wale walioingia nchini humo kinyume na...
By Masalu ErastoJanuary 13, 2017KUTOONEKANA kwa Sasha Obama, mtoto wa Rais Barack Obama anayemaliza muda wake wa kuliongoza taifa la Marekani katika mkutano wa kuwaaga raia wa...
By Masalu ErastoJanuary 12, 2017HALI ya taifa la Gambia inazidi kuwa tete. Utawala wa mabavu wa Rais Yahya Jammeh umesababisha sintofahamu kubwa huku raia wakichukua tahadhari ya...
By Masalu ErastoJanuary 11, 2017YOWERI Museveni, Rais wa Uganda amefanya mabadiliko katika jeshi la nchi hiyo kwa kumteua David Muhoozi kushika nafasi ya Mkuu wa Majeshi (CDF),...
By Masalu ErastoJanuary 10, 2017AKIWA na siku tatu ndani ya Ikulu ya Ghana, Rais Nana Akufo Addo anatuhumiwa kuiba sehemu ya hotuba za marais wa Marekani siku...
By Masalu ErastoJanuary 9, 2017RAILA Odinga Kiongozi wa Muungano wa Upinzani wa CORD na miongoni mwa watu mashuhuri kutoka Afrika Mashariki watakaohudhuria kuapishwa kwa Nana Akufo Addo...
By Masalu ErastoJanuary 6, 2017