Thursday , 2 May 2024

Gazeti

Categorizing posts based on type of post

BiasharaHabari

Benki ya Exim yaja na huduma ya bima ya maisha kwa vikundi

BENKI ya Exim Tanzania imezindua huduma mpya ya bima ya maisha iitwayo ‘Pamoja Hadi Mwisho’ mahususi kwa ajili ya vikundi rasmi na visivyo...

Habari za Siasa

CCM waitaka Serikali itoe ufumbuzi kupanda kwa bei ya mafuta

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeitaka Serikali kutafuta ufumbuzi wa haraka wa namna ya kukabiliana hali ngumu ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Gwajima ashangaa ujenzi wa reli badala ya uchimbaji chuma

  MBUNGE wa Kawe, Askofu Dk. Josephat Gwajima (CCM) leo Jumatatu amesema licha ya kwamba ujenzi wa reli ya kisasa (SGR) lilikuwa wazo...

Habari za SiasaTangulizi

Nchemba, Shigongo wavutana nchi kurudi uchumi wa chini

  MVUTANO umeibuka bungeni baina ya Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mwigulu Nchemba kuhusu nchi kuporomoka kutoka...

Habari za Siasa

Mpina ataka uchunguzi Symbion kabla ya kulipwa

  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, ameishauri Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya Kampuni ya kuzalisha umeme ya Symbion Power, kabla ya kuilipa zaidi...

Habari za Siasa

Mbunge aitaka Serikali iunde kikosi kazi cha uchumi

  MBUNGE wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi, ameitaka Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji kuunda kikosi kazi cha masuala ya uchuimi kama ambayo...

Habari za SiasaTangulizi

Bei ya mafuta: Rais Samia aongoza kikao usiku Ikulu, atoa maagizo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaagiza viongozi akiwemo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo la...

Habari za SiasaTangulizi

Ndugai: Sitagombea ubunge 2025

  MWANASIASA mkongwe na Spika mstaafu nchini Tanzania, Job Ndugai ametangaza kutogombea tena nafasi ya ubunge wa Kongwa mkoani Dodoma katika uchaguzi mkuu...

ElimuHabariTangulizi

Mitihani kidato cha sita, ualimu kuanza kesho

JUMLA ya watahiniwa 95,955 kutoka shule za sekondari 841 na vituo vya watahiniwa wa kujitegemea 250 wanatarajia kuanza mitihani ya kumaliza kidato ya...

HabariHabari Mchanganyiko

Waziri Mkuu awashukia waliotafuna fedha Sengerema

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa miezi miwili kwa watumishi 30 wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza akiwemo aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa...

Habari MchanganyikoTangulizi

RPC Tanga ataja chanzo ajali DC Korogwe

KAIMU Kamanda Polisi Mkoa wa Tanga, David Mwasimbo amesema chanzo cha ajali ya gari aliyopata Mkuu wa Wilaya ya Korogwe, Basila Mwanukuzi jana...

Habari MchanganyikoTangulizi

Majaliwa aagiza Uhamiaji kuzuia Paspoti za wakandarasi MV Mwanza

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza Idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzishikilia paspoti za wafanyakazi wa Kampuni ya Gas Entec Ship-building Engineering ya...

ElimuHabariTangulizi

Wabunge wacharuka kiingereza kitumike kufundishia ‘tutapigwa goli’

MJADALA kuhusu lugha gani itumike kufundishia kati ya kiingereza au Kiswahili umeendelea kutikisa baada ya asilimia kubwa ya wabunge kushauri kuwa kiingereza kitumike...

ElimuHabari za Siasa

CWT yakoshwa na utendaji wa Rais Samia

  CHAMA cha walimu Tanzania(CWT) kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kutokana na namna inavyowajali watumishi nchini wakiwemo walimu. Anaripoti Danson Kaijage, Dodoma …...

Habari za Siasa

Wananchi wapanga kuandamana kumng’oa diwani

  WAKAZI wa Kata ya Nzuguni Jijini Dodoma wamepanga kuandamana hadi kwa Diwani wao, Mzee Aloyce (CCM) ili wamshinikize kujiuzulu kwa kushindwa kutimiza...

HabariMichezo

Inonga akabadhiwa Tuzo na Emirates mchezaji bora Aprili

  Mlinzi wa kati wa klabu ya Simba, Henock Inonga amekabidhiwa tuzo ya mchezaji bora wa mashabiki (Emirate Aluminium Simba ACP Fans Player...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya, wenzake waachiwa huru

MAHAKAMA Kuu ya Kanda ya Arusha imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili waliokuwa wamekata rufaa...

Habari

Serikali yataja hatua inazochukua kudhibiti mfumuko bei

WAZIRI wa Viwanda Biashara na Uwekezaji, Dk. Ashatu Kijaji amesema Serikai imefanya tathimini ya upandaji wa bei za bidhaa nchini na kuchukua hatua...

Habari MchanganyikoTangulizi

Serikali yatangaza nafasi za kazi makarani, wasimamizi sensa

SERIKALI imetangaza nafasi za kazi za muda za makarani na wasimamizi wa Sensa ya mwaka 2022 itakayofanyika Agosti 23 mwaka huu. Anaripoti Mwandishi...

HabariMichezoTangulizi

Kombe la Dunia FIFA kutua Tanzania

Kampuni ya vinjwaji Baridi ya Coca Cola kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Dunia (FIFA), linatarajia kulileta nchini kombe la Dunia...

Habari za Siasa

Sare, mafunzo askari kutafuna Bil. 34.7/-

  WIZARA ya Mambo ya Ndani ya Nchi imeweka kipaumbele kwa mafunzo na ununuzi wa sare za askari ambapo jumla ya Sh 34.7...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge wataka ruzuku iwekwe, tozo ziondolewe kuhimili bei ya mafuta

  WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wameishauri Serikali kuondoa tozo zisizo na athari katika miradi muhimu kwa wananchi pamoja...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Bunge lasimamisha shughuli, lajadili upandaji bei ya mafuta

  MKUTANO wa saba kikao cha 16 cha Bunge la Tanzania leo Alhamisi kumesimamisha shughuli zake za kawaida na kuanza kujadili kupanda kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Kupanda kwa mafuta: Majaliwa aitisha kikao usiku cha mawaziri na….

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali inaendelea kutafuta njia mbadala zitakazopunguza gharama ya maisha kwa Watanzania kutokana na kupanda kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wanaoguswa ripoti ya CAG wanachukuliwa hatua

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Serikali yake inawachukulia hatua watu wanaotajwa kufanya ubadhirifu katika ripoti za ukaguzi za Mdhibiti na...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo chashauri Serikali iondoe tozo za Sh 500 kwenye mafuta

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kimeishauri Serikali iondoe tozo ya Sh. 500 kwa kila lita ya mafuta ya dizeli, petroli na mafuta ya taa,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia akanusha taarifa kwamba alikuwa haelewani na Magufuli

RAIS Samia amesema alinukuliwa vibaya na vyombo vya Habari vilivyosema kwamba alisema hakuwa na maelewano mazuri na Rais John Magufuli kipindi yeye akiwa...

Habari za Siasa

Rais Samia asema kupanda mishahara kutategemea mapato yatakavyoonesha

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaangalia hesabu zake kama zinarhusu kupandishwa kwa kima cha chini na mshahara na kusisitiza kuwa watumishi wataendelea kupandishwa...

Habari za Siasa

ACT-Wazalendo kuiteka Mwanza siku tatu

  CHAMA cha ACT-Wazalendo, kinatarajia kufanya maadhimisho ya kitaifa ya miaka nane ya kuzaliwa kwake, kesho Alhamisi, tarehe 5 Mei 2022, jijini Mwanza....

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata Panya Road: Masauni ampa siku saba IGP Sirro, mwenyewe ajitetea

  WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amempa siku saba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini (IGP), Simon Sirro, adhibiti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aeleza Kamala alivyopata Corona, “mimi mzima”

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefafanua kuwa baada ya kukutana Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, alipokuwa kwenye ziara nchini humo,...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia: Ukinikuna vizuri nitakukuna na kukupapasa

RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka waandishi wa habari nchini kuzingatia sheria na kufanya kazi kwa uungwana kwani wakimkorofisha hatowaacha. Anaripoti Mwandishi Wetu …...

Habari MchanganyikoTangulizi

NAPE: MSINITIE MAJARIBUNI

WAZIRI wa Habari Teknolojia ya Habari na Mawasiliano, Nape Nnauye amewaonya wanahabari wanaokiuka Sheria zilizopo katika utendaji kazi wao. Anaripoti mwandishi Wetu …...

Habari MchanganyikoTangulizi

TEF yaziomba Serikali Afrika kuziondolea karatasi tozo

MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), Deodatus Balile, ameziomba Serikali barani Afrika kuziondolea tozo karatasi za kuchapisha magazeti. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...

Habari MchanganyikoTangulizi

Misa-Tanzania yabainisha changamoto 5

  TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (Misa-Tanzania) limebainisha changamoto tano zinazokwaza tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa salamu za Eid

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatakia kheri ya Eid El Fitri Waislamu na Watanzania wote huku akiwataka kusherekea kwa amani na...

HabariMichezo

Kanoute ‘Out’ dhidi ya Namungo

   KIUNGO mkabaji wa klabu ya Simba Raia wa Mali, Sadio Kanoute  hatokuwa sehemu ya kikosi cha klabu ya Simba kitakachoshuka dimbani kwenye...

HabariMichezo

Simba, Yanga zalimwa faini shilingi Mil. 4

  KAMATI ya uendeshaji na usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu (Kamati ya Saa 72), imezipiga faini klabu za Simba na...

HabariMakala & Uchambuzi

Mambo matano mchezo Simba na Yanga

  LICHA ya kwenda sare ya bila kufungana kwenye mchezo wa watani wa jadi, uliowakutanisha klabu za Simba na Yanga kwenye dimba la...

Habari MchanganyikoTangulizi

TUCTA wapendekeza kima cha chini cha mishahara kuwa Sh milioni 1

SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Nchini (TUCTA) limesema baada ya kufanya tafiti linapendekeza kiwango cha chini cha kumwezesha mfanyakazi kuishi kiwe Sh milioni...

Habari MchanganyikoTangulizi

Rais Samia atoa matumaini nyongeza ya mishahara

RAIS Samia Suluhu Hassan ameendelea kutoa matumaini ya nyongeza ya mishahara kwa wafanyakazi nchini baada ya kuwadhibitishia kuwa atapandisha kima cha chini cha...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: MEI MOSI, Rais Samia kupandisha mishahara?

  LEO ni Mei Mosi, sikuu ya wafanyakazi duniani ambayo kitaifa nchini Tanzania inafanyikia Uwanja wa Jamhuri Dodoma na mgeni rasmi ni Rais...

KimataifaTangulizi

Mbunge adakwa akitazama video za ngono bungeni

CHAMA cha Conservative kutoka nchini Uingereza kimemsimamisha uanachama Mbunge wa Jimbo la Tiverton na Honiton, Neil Parish baada ya kubambwa akitazama video za...

Habari MchanganyikoTangulizi

LATRA yatangaza nauli mpya, daladala, mikoani

MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza viwango vya nauli mpya za daladala na mabasi ya kwenda mikoani. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Viwango...

Habari za Siasa

Polepole aanza safari ya Malawi

  RAIS wa Zanzibar, Dk Hussein Ali Mwinyi amemweleza Balozi wa Tanzania nchini Malawi, Humphrey Polepole umuhimu wa kuifanyia kazi na kuipa kipaumbele...

Habari za Siasa

Biashara madini nchini yaimarika bei ikipaa

  WAZIRI wa Madini, Doto Biteko, amesema biashara ya madini nchini imeendelea kuimarika huku bei ya madini muhimu kama dhahabu na almasi ikizidi...

Habari za SiasaTangulizi

Soko la madini Mererani lawagawa wabunge

  UHAMISHAJI soko la madini ya Tanzanite kutoka Arusha kwenda Mirerani, Wilaya ya Simanjiro mkoani Manyara, limewagawa wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)....

Habari za SiasaTangulizi

CCM yahakiki madeni ya kampeni 2020

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimesema, kinafanyia uhakiki madeni ya wafanyabiashara saba waliosema wanakidai, kutokana na kazi kiliyowapa wakati...

Habari za Siasa

Serikali yakamata madini ya Sh. 501 Mil. yakitoroshwa

  SERIKALI imesema imefanikiwa kukamata madini ya Sh 501.2 milioni katika matukio ya utoroshaji katika kipindi cha kati ya Julai 2021 hadi Machi...

Habari za Siasa

Uzinduzi Royal Tour: Rais Samia atoa shukrani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani kwa wote waliohusika katika maandalizi ya uzinduzi wa Filamu ya The Royal Tour nchini...

error: Content is protected !!