Categorizing posts based on type of post
SERIKALI imeshauriwa kufanya tathimini ya kina kabla ya kuomba ahirisho la kulipa madeni ya Serikali. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Serikali...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MBUNGE wa Mbogwe, Nicodemas Maganga (CCM) leo Jumanne amemtaka Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba kutumia mamlaka aliyonayo kuzifutia leseni benki...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022WIZARA ya Fedha na Mipango, imeliomba Bunge lipitishe bajeti ya Sh. 14.94 trilioni, kwa ajili ya matumizi yake katika mwaka wa fedha...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Antonio Guterres aliwahi kusema; “Ushirikiano wa kimataifa na diplomasia vimethibitisha kuwa na faida na huduma...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022SERIKALI imeshauriwa kuanzisha “mara moja” akaunti jumuifu kwaajili ya ukusanyaji wa mapato ya muungano ili kuondokana na kero za Muungano katika suala...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022SERIKALI ya Tanzania, imesema hadi kufikia Aprili 2022, imetumia kiasi cha Sh. 8.0 trilioni, kati ya Sh. 10.6 trilioni, ilizopanga kugharamia deni...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022WAZIRI mkuu wa Uingereza, Boris Johnson aponea chupu chupu kuondoka madarakani, kufuatia kura ya kutokuwa na imani naye kushindwa kufaulu. Anaandika Mwandishi...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, imeishauri Serikali kuiongezea fedha fungu maalumu Ofisi ya Msajili wa Hazina ili iweze kulipa madeni...
By Mwandishi WetuJune 7, 2022MKUU wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania, Jenerali Venance Mabeyo, anatarajia kumaliza utumishi wake ndani ya jeshi hilo, mwishoni mwa Juni, 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Gabriel MushiJune 6, 2022TAASISI ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) inatarajia kukusanya mirabaha yenye thamani ya Sh.1.3 bilioni na kuigawa kwa wabunifu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeikabidhi miradi ya maji ya miji 28, kwa viongozi wa dini, ikitaka iwaombee watu watakaohusika katika utekelezaji wake...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro, amesema wizara yake inakwenda kuufumua mfumo wa jinai, ili kuangalia namna ya kupunguza msongamano wa...
By Gabriel MushiJune 6, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameipongeza Timu ya Taifa hilo ya soka la Wanawake chini ya miaka 17 ‘Serengeti Girls’ kwa...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022WABUNGE wameikumbusha Serikali kuhusu utekelezaji wa ahadi za aliyekuwa Rais wa Awamu ya Tano, Hayati John Magufuli, ya kutoa fedha kwa ajili ya...
By Gabriel MushiJune 6, 2022WIKI moja baada ya mwanasiasa nguli nchini, Benard Membe kurejea rasmi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) tangu alipofukuzwa mwaka 2020, hatimaye ameeleza...
By Mwandishi WetuJune 6, 2022TIMU ya Taifa ya Wasichana chini ya umri wa miaka 17, (Serengeti Gilrs), imefanikiwa kutinga kwa mara ya kwanza kwenye fainali za...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekemea tabia ya utiririshaji wa maji machafu na majitaka kutoka viwandani na kwenye migodi kwani inachangia...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022KATIKA hali ya kushangaza na kusikitisha, mkazi wa kitongoji cha Lubela, mtaa wa Nyashimbi kata ya Mhongolo wilayani Kahama, Mkoa wa Shinyanga,...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022NGOME ya Vijana ya Chama cha ACT Wazalendo nchini Tanzania imebuka na hoja sita dhidi ya Bodi ya Mikopo ya Elimu ya...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022KANISA la Kiinjili la Kulutheli Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Konde imetangaza kumwondolea wakfu wa Uaskofu, Dk. Edward Mwaikali aliyekuwa askofu wa Dayosisi...
By Mwandishi WetuJune 5, 2022KOCHA mkuu wa klabu ya AFC Leopards inayoshiriki Ligi Kuu nchini Kenya, Patrick Aussems maarufu kama ‘Uchebe’ ameondoka nchini humo kabla ya msimu...
By Gabriel MushiJune 4, 2022MSHAMBULIAJI matata wa Arsenal, Alexandre Lacazette amewaachia ujumbe mzito mashabiki wa timu hiyo ya Ligi Kuu England baada ya klabu hiyo kutangaza kuwa...
By Gabriel MushiJune 4, 2022BEKI matata kutoka Ujerumani, Antonio Rudiger amekamilisha uhamisho wake kutoka Chelsea kuelekea Real Madrid. Tarehe 2 Juni, 2022 The Blues walimuaga Rudiger baada...
By Gabriel MushiJune 4, 2022MWENYEKITI wa Umoja wa Afrika (AU), Macky Sall ambaye pia ni Rais wa Senegal amemtaka Rais wa Urusi, Vladimir Putin kuchukua hatua kutoka...
By Gabriel MushiJune 4, 2022CHUO Kikuu Ardhi (ARU), kupitia Taasisi yake ya Utafiti ya Nyumba wamebuni teknolojia ya ujenzi wa gharama nafuu kwa kutumia matofali ambayo ni rafiki...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Daniel Chongolo amekemea tabia ya baadhi ya watendaji wa serikali kupanga watumishi wa...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022FIKIRIA unarudi nyumbani kwako, unakutana na kisanga cha vijana wawili wameraruriwa na mbwa wako, na wako taabani. Unauliza unaambiwa ni vibaka wameruka...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022HOFU imetanda kwa wanafunzi wa Shule ya Msingi Mtongani, kata ya Kunduchi, Kinondoni, Dar es Salaam nchini Tanzania baada ya wanafunzi wake...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022MAHAKAMA Kuu ya Tanzania Kanda ya Mbeya leo Ijumaa tarehe 3 Juni 2022, inatarajia kutoa uamuzi wa kupinga Askofu mteule, Geofrey Mwakihaba...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022WAZIRI wa Mali Asili na Utalii, Dk. Pindi Chana amesema katika kupanua wigo wa utalii na mapato, Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022SHIRIKA la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) linatarajia kuimarisha ulinzi na usimamizi wa hifadhi kwa kuboresha matumizi ya sayansi na teknolojia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameziagiza mamlaka husika kuhakikisha mradi wa maji...
By Mwandishi WetuJune 3, 2022MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma (CCM), Mariam Ditopile amemtaka Waziri wa Nishati, January Makamba kuwa makini na Mardi wa Gesi...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022MBUNGE wa jimbo la Uyui nchini Tanzania, Almasi Maige, amehoji sababu ya Tanzania kushindwa kupata nishati ya mafuta licha ya kuwa na...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amemtaka Mbunge wa Itilima, Njelu Silanga kuwawezesha wakulima wa jimbo hilo kuhakikisha kila...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022WIZARA ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania imepewa mwezi mmoja (siku 30) ihakikishe watendaji wake wa wanaohusika na wanyamapori wawe wamefika Meatu...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022WANANCHI wa Wilayani Ngara Mkoa wa Kagera nchini Tanzania wametakiwa kuacha kuuza ardhi kiholela na kuepuka kulima kwenye vyanzo vya maji. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022MBUNGE wa Kigamboni jijini Dar es Salaam kupitia chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk Faustine Ndugulile amesema, kilio cha...
By Mwandishi WetuJune 2, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya amebubujikwa machozi mahakamani wakati akimwomba Rais Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanne wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KUTOKANA na ukubwa wa gharama za miundombinu ya usambazaji wa gesi asilia, Kampuni ya Mandeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) na Wakala wa...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022WAKATI msimu wa mashindano wa Ligi Kuu Tanzania Bara na michuano ya kombe la Shirikisho ukienda ukingoni, vigogo wa soka nchini klabu...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2022SERIKALI ipo mbioni kuanza matumizi ya teknolojia ya kisasa katika shughuli za upakuaji mafuta kutoka kwenye meli ili kuepuka udanganyifu na upotevu...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KLABU ya Manchester United imeachana rasmi na kiungo wake Paul Pogba, mara baada ya kumaliza mkataba wake ndani ya klabu hiyo ambayo...
By Kelvin MwaipunguJune 1, 2022SERIKALI imetenga Sh 1.44 trilioni katika mwaka wa fedha 2022/23 kwaajili ya kutekeleza kazi mbalimbali kwenye mradiMradi wa Kuzalisha Umeme kwa Kutumia Maji...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Chadema, Freeman Mboiwe, amesema hatua ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuzindua kitabu cha msanii mkongwe wa muziki wa...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022RAIS Samia ameuagiza Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) kushirikiana na TAMISEMI kuhakikisha magari 123 yaliyogawiwa kwa mfuko huo na Halmashauri, hayatumiki...
By Masalu ErastoJune 1, 2022WAZIRI wa Nishati, Januari Makamba amekuja na vipaumbele 12 katika utekelezaji wa bajeti ya mwkaa 2022/23. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea)...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022KATIKA kuimarisha usimamizi wa miradi ya kupeleka umeme vijini, Serikali imesema inakwenda kuajiri waratibu wa miradi ya umeme vijijini kwa kila jimbo....
By Mwandishi WetuJune 1, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya leo Jumatano tarehe 1 Juni 2022, amepandishwa katika...
By Mwandishi WetuJune 1, 2022