Saturday , 20 April 2024
Home Habari Mchanganyiko Sabaya apandishwa tena kortini
Habari MchanganyikoTangulizi

Sabaya apandishwa tena kortini

Lengai Ole Sabaya akiwa mahakamani Arusha
Spread the love

 

ALIYEKUWA Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro nchini Tanzania, Lengai Ole Sabaya leo Jumatano tarehe 1 Juni 2022, amepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi mkoani Kilimanjaro na kusomewa mashtaka mengine mapya. Anaripoti Mwandishi Wetu, Kilimanjaro … (endelea).

Sabaya amepandishwa mahakamani hapo ikiwa ni siku moja imepita tangu
Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kuahirisha kusoma hukumu ya kesi nyingine ya uhujumu uchumi inayomkabili na wenzake sita.

Hukumu hiyo ilikuwa isomwe jana Jumanne tarehe 31 Mei 2022, lakini iliahirishwa baada ya Hakimu aliyekuwa anaisikiliza, Dk. Patricia Kisinda kuwa nje ya Arusha hivyo kuahirishwa hadi tarehe 10 Juni 2022.

Endelea kufuatilia MwanaHALISI TV, MwanaHALISI Online na mitandao yetu ya kijamii kujua mashtaka yaliyosomwa

Leave a comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

BiasharaHabari Mchanganyiko

Wauguzi, madaktari 1000 kugawiwa mitungi ya Oryx Gas

Spread the loveKAMPUNI ya Oryx Gas na Taasisi ya Doris Mollel Foundation...

Habari Mchanganyiko

Tanzania yachaguliwa Makamu wa Rais Tume ya Shirika la Hali ya Hewa Duniani

Spread the love  TANZANIA kupitia Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA)...

Habari Mchanganyiko

NEMC yaonya wanaojenga bila tathmini ya mazingira

Spread the loveBARAZA la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC),...

Habari za SiasaTangulizi

Mpina ataka Waziri Majaliwa ajiuzulu, akosoa teuzi za mawaziri

Spread the love  MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim...

error: Content is protected !!