Categorizing posts based on type of post
WIZARA ya Madini imepokea Sh 1.5 bilioni pekee kwaajili ya miradi ya maendeleo hadi kufikia Machi 2022 sawa na asilimia 10 ya...
By Mwandishi WetuApril 29, 2022MBUNGE Viti Maalumu (CCM), Neema Lugangira, ameshauri Sheria ya Vyama vya Siasa irekebishwe ili kumpa meno Msajili wa Vyama vya Siasa katika...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Madaba, Joseph Mhagama, amesema kivutio namba moja cha wawekezaji na biashara nchini ni utawala wa sheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Sengerema, Hamis Tabasamu ameibua “mambo mazito” bungeni kuhusu kuchezewa kwa tenda ya uagizaji wa mafuta ya Tarehe 18 Aprili 2022. Anaripoti...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina ameliomba Bunge kuunda kamati ya kiuchunguzi ili kujua sababu ya Kamati ya Majadiliano ya Kesi ya Makinikia kukubali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan, amesema ziara yake ya kikazi nchini Marekani, imesaidia kuitangaza Tanzania kwa watu ambao walikuwa hawafahamu rasilimali na fursa...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Mkoa wa Dodoma, Mariam Ditopile amejumuika na viongozi wa Dini, Serikali, Chama Cha Mapinduzi na wananchi mbalimbali...
By Mwandishi WetuApril 28, 2022CHANGAMOTO ya upungufu wa fedha inayokikumba Chama cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), imeteka mdahalo wa wagombea urais wa chama hicho, uliofanyika leo...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MHADHIRI Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Profesa Issa Shivji, amewahoji wagombea urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa chama tawala Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana ameishauri Serikali inayoongozwa na chama hicho kuchukua hatua za kinidhamu...
By Mwandishi WetuApril 27, 2022MAKAMU Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana amewataka wanachama na viongozi wa CCM kuwa tayari kwa maridhiano ya kisiasa aliyoyaanzisha Rais Samia Suluhu Hassan....
By Gabriel MushiApril 27, 2022MWENYEKITI wa Kamati ya Bunge ya Viwanda, Biashara na Mazingira, David Kihenzile amesema siku moja kabla ya Mbunge Irene Ndyamkama kufikwa na umauti,...
By Gabriel MushiApril 27, 2022WAZIRI Mkuu mstaafu, Jaji Joseph Warioba ameishauri Serikali ya Tanzania kufuata nyayo za Serikali ya Zanzibar, kukuza uchumi kwa kutumia rasilimali za bahari,...
By Gabriel MushiApril 26, 2022MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Mzee Pius Msekwa, amesema muungano wa Tanganyika na Zanzibar, ulitokana na chimbuko la masuala matano, ikiwemo la kuimarisha ulinzi...
By Gabriel MushiApril 26, 2022SPIKA wa Bunge mstaafu, Pius Msekwa, amesema Hayati Mwalimu Julius Nyerere na Hayati Abeid Amani Karume, waliendesha makubaliano ya Muungano wa Tanganyika na...
By Gabriel MushiApril 26, 2022KAMPUNI saba za uchapishaji kutoka Kariakoo, jijini Dar es Salaam, zimekiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM), kilipe kiasi cha Sh. bilioni moja fedha...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MWENYEKITI wa Kamati Kuu ya Sensa ya Watu na Makazi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema maandalizi ya zoezi hilo hadi kufikia jana...
By Regina MkondeApril 26, 2022MAKAMU wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano wa Tanganyika...
By Mwandishi WetuApril 26, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana amewataka madiwani na wabunge kukataa kupitisha miswada ya sheria yenye kukandamiza...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka, amesema lengo la Chama kuendelea kushika Dola...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema anaelewa sababu ya chama kimoja ambacho hajakitaja, kimekataa kushiriki mchakato wa majadiliano ya kutafuata muafaka mazingira ya ufanyaji...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022FRED ambaye Mkazi wa Ruvuma amejishindia Sh 50Mil kutoka Kampuni ya Michezo ya Kubashiri ya BetPawa baada ya kupatia idadi ya mipira...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022UONGOZI wa Wanawake Tanzania (UWT) wametoa pongezi kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu Hassan kwa ubunifu wake wa kuzindua filamu ya...
By Gabriel MushiApril 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka wizara ya maliasili na utalii kuendelea kusimamia kwa ukaribu na kuhakikisha shughuli za ujenzi katika...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MWILI wa aliyekuwa Mbunge Viti Maalumu (CCM), Mkoa wa Rukwa nchini Tanzania, Irene Ndyamkama, utazikwa mkoani Rukwa, Ijumaa ya tarehe 29 Aprili...
By Mwandishi WetuApril 25, 2022MBUNGE wa Nkasi Kaskazini, Aida Khenan (Chadema) amesema iwapo serikali haitachukua hatua za kumuonya mkuu wa wilaya ya Nkasi dhidi ya matumizi...
By Danson KaijageApril 24, 2022SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Tulia Ackson ametangaza kifo cha Mbunge wa Viti Maalum,CCM, Irene Alex Ndyamkama ambaye...
By Danson KaijageApril 24, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi-Bara nchini Tanzania, Abdulrahman Kinana amesema wanachama wanaotafuta uongozi ndani ya chama hicho kwa kutumia fedha, hawana nafasi...
By Gabriel MushiApril 24, 2022KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amewaahidi vijana 26 wa shina la namba tano la kata Kilimani mkoani Dodoma...
By Danson KaijageApril 23, 2022JAJI Mstaafu Joseph Warioba ametaja mambo saba yaliyompa heshima Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na kusisitiza kuwa kiongozi huyo alikataa kuitwa...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022WEKUNDU wa Msimbazi, Timu ya Simba kesho inacheza mchezo wa marudiano wa hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho barani...
By Gabriel MushiApril 23, 2022MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini (LHRC), wamefungua kesi ya kuomba...
By Gabriel MushiApril 23, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema hakuna wa kupinga kluwa Tanzania chini ya uongozi wa Hayati Mwl. Julius Nyerere, ilikuwa kinara wa ukombozi wa...
By Gabriel MushiApril 23, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman Kinana amewataka Watanzania wajiulize kwa nini Tanzania inaendelea kumuenzi Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius...
By Gabriel MushiApril 23, 2022KANISA la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Konde, limemtaka Msajili wa Jumuiya za Kiraia nchini, kuacha “kuingilia mambo ya ndani...
By Mwandishi WetuApril 23, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu, amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan, awaondoe madarakani viongozi wa umma hasa wa vyombo vya ulinzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022KLABU ya Simba imewasili salama nchini Afrika Kusini kwenye mchezo wa kombe la Shirikisho dhidi ya Orlando Pirates, huku wakilalamika kuwa wenyeji...
By Kelvin MwaipunguApril 22, 2022HATIMA ya Halima Mdee na wenzake 18 kuendelea kuwa wabunge wa viti maalumu itajulikana tarehe 11 Mei 2022, wajumbe wa Baraza Kuu...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022VIONGOZI mbalimbali wa Benki ya NMB nchini Tanzania wakiongozwa na Afisa Mkuu wa wateja binafsi na Biashara wa benki ya NMB, Filbert Mponzi...
By Mwandishi WetuApril 22, 2022KATI ya matamko 425 ya mali na madeni ya viongozi wa umma yaliohakikiwa, asilimia 11 (sawa na matamko 46) yalibainika kuwa na...
By Mwandishi WetuApril 21, 2022MAHAKAMA nchini Rwanda imemhukumu kifungo cha miaka 20 jela raia wa China kwa mashtaka ya mateso aliyowafanyia wanaume wanne aliokuwa akiwachapa huku wakiwa...
By Gabriel MushiApril 21, 2022ASKOFU Mkuu Yuda Thaddeus Ruwa’ichi, wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, amesema uchunguzi dhidi ya chanzo cha kifo cha aliyekuwa Mkuu...
By Gabriel MushiApril 21, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa amemuelekeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Gabriel MushiApril 21, 2022MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) nchini Tanzania katika ukaguzi wake kwa mwaka 2020/21 amebaini udhaifu wa usimamizi, ufuatiliaji na ukiukwaji...
By Masalu ErastoApril 20, 2022WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Innocent Bashungwa, amemsimamisha kazi Mkurugenzi wa Halmashauri ya...
By Masalu ErastoApril 20, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda, ameshauriwa kuwaomba radhi hadharani viongozi wa Serikali, vyama vya siasa,...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022SERIKALI ya Tanzania imeziagiza halmashauri zote nchini humo ambazo zimepokea kiasi cha sh.50 milioni kwa ajili ya umaliziaji wa ujenzi wa vituo...
By Danson KaijageApril 20, 2022MBUNGE wa viti maalum kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania, Josephine Ngezabuke (CCM) ameihoji Serikali na kutaka kujua ni lini itamaliza...
By Mwandishi WetuApril 20, 2022TIMU ya Taifa ya Tanzania imepangwa kundi F, sambamba na timu za Taifa za Uganda na Algeria katika kuwania tiketi ya kufuzu...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022KLABU ya Soka ya Simba imeziomba mamlaka husika kuwapatia ulinzi wa kutosha wakati wa safari yao kuelekea nchini Afrika Kusini kwenye mchezo...
By Kelvin MwaipunguApril 20, 2022