Categorizing posts based on type of post
SHIRIKA la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International limeitaka Jeshi la Polisi kumpa dhamana au kumfikisha mahakamani, Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo,...
By Mwandishi WetuNovember 2, 2018WATU tisa wamejeruhiwa katika ajali ya treni iliyotokea asubuhi ya leo tarehe 2 Novemba 2018 maeneo ya Karakata wilayani Ilala jijini Dar es...
By Regina MkondeNovember 2, 2018MWENYEKITI wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kutokana na kuwa nje ya nchi kwa ajili ya...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli amefunga mjadala kuhusu mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya, akisema kuwa hategemei kutenga...
By Regina MkondeNovember 1, 2018BODI ya Wadhamini ya CUF imefungua shauri Na. 343/01/2018 katika Mahakama ya Rufaa, kupinga amri ya zuio la kutolewa ruzuku ya chama hicho...
By Regina MkondeNovember 1, 2018IKIWA imepita siku moja tangu Kiongozi Mkuu wa ACT-Wazalendo , Zitto Kabwe kukamatwa na polisi jijini Dar es Salaam, leo Jeshi la Polisi...
By Regina MkondeNovember 1, 2018SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limethibitisha kutaka kupunguza wafanyakazi 550 kati ya 1,500 walioko nchi nzima, ambao hawana sifa za kitaalamu na kushindwa...
By Regina MkondeNovember 1, 2018KATIBU Mwenezi wa CCM Kata ya Mkolani, Zephilin Michael na Katibu Mwenezi wa chama hicho katika kata ya Buhongwa, Hassan Bushangama wanasakwa na...
By Mwandishi WetuNovember 1, 2018KIONGOZI wa chama cha ACT- Wazalendo, Zitto Zubery Kabwe, amekamatwa na jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam. Anaripoti Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiOctober 31, 2018CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimewatishia wabunge na madiwani wa vyama vya upinzani, kuwa kama wanataka kujiunga na chama hicho, wafanye haraka, vinginevyo wanaweza...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2018MBUNGE wa Muleba Kusini, Profesa Anna Tibaijuka amewataka watanzania kuwa makini kuhusu usalama wao kutokana na uwepo wa makundi ya wahuni na watekaji...
By Mwandishi WetuOctober 30, 2018RAIS John Magufuli amemteua Profesa Humphrey Moshi kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ushindani nchini (FCC). Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Taarifa...
By Regina MkondeOctober 30, 2018RAIS John Magufuli amemteua aliyekuwa Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU) Dkt. Sophia Kongela kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika...
By Regina MkondeOctober 30, 2018KILICHOSABABISHA kifo cha aliyekuwa Mtangazaji wa Idhaa ya Kiswahili ya Deutsche Welle (DW), Isack Gamba, ni tatizo la kuvuja damu kwenye ubongo lililotokana...
By Regina MkondeOctober 29, 2018MAKAMU wa Rais, Samia Suluhu Hassan amekemea vita baina ya wawekezaji hasa wanaozalisha bidhaa zinazofanana. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akizungumza kabla ya...
By Regina MkondeOctober 29, 2018WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Charles Mwijage ametahadharisha kuwa, wasiokuwa na utamaduni wa kulipa kodi yanaweza kuwakuta aliyoyakuta kwenye nchi nyingine, ya kunyimwa...
By Regina MkondeOctober 29, 2018DK. John Pombe Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano, anakaribia kutimiza miaka mitatu kamili madarakani. Aliapishwa tarehe 5 Novemba 2015. Anaandika Sead Kubenea...
By Saed KubeneaOctober 29, 2018Serikali Imevuruga Zao La Korosho, Imeshindwa Kulinda Ustawi na Usalama wa Raia A: Utangulizi Jana, Kamati ya Uongozi ya Chama cha ACT Wazalendo,...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2018ZITTO Kabwe, Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo), amelitaka Jeshi la Polisi Tanzania kutoa taarifa ya kina kuhusu tukio la mapigano kati ya askari...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2018KATIKA kuhakikisha anaunga juhudi za serikali ya viwanda na kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Msanii wa muziki wa kizazi kipya Faustina Mfinanga...
By Moses MsetiOctober 27, 2018MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amesema shamba la baba yake, Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete lililoko kata ya Kibindu wilayani...
By Regina MkondeOctober 26, 2018MWANAFUNZI wa darasa la kwanza katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha, Emanuel Zacharia amenusurika kifo baada ya kutumbukia katika shimo la...
By Regina MkondeOctober 26, 2018ALIYEKUWA Miss Tanzania mwaka 2006, Wema Sepetu amefungiwa kwa muda usiojulikana kujishughulisha na filamu na uigizaji, na Bodi ya Filamu Tanzania. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018WANAFUNZI kadhaa katika Shule ya Msingi Seliani iliyoko wilayani Arusha wanadaiwa kutumbukia katika shimo la choo cha shule hiyo mchana huu. Anaripoti Regina...
By Regina MkondeOctober 26, 2018SERIKALI imekanusha madai ya Kampuni ya Madini ya Acacia, ya kwamba usalama wa watumishi wake uko hatarini kutokana na kuwindwa na vyombo vya...
By Regina MkondeOctober 26, 2018KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera katika hali ya kushangaza ameonekana kutofurahishwa na kiwango cha mshambuliaji wake, Heritier Makambo katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018KUYUMBA kwa uzalishaji na uuzaji wa zao la korosho nchini katika msimu wa korosho wa 2018/2019, kunatajwa kuweza kuporomosha thamani ya Shilingi ya...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2018MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba, Mtemi Ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018TAARIFA KWA UMMA Imetolewa 24/October/2018 Kuhusu ufafanuzi wa Mtatiro kufuatia Mazungumzo yake na Wanahabari yaliofanyika Kisiwa cha Unguja . CUF-Chama cha Wananchi kinayachukulia...
By Faki SosiOctober 24, 2018SERIKALI ya Rais John Magufuli imewafuta machozi wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2018RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete leo tarehe 23 Oktoba 2018 Ikulu...
By Regina MkondeOctober 23, 2018WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...
By Regina MkondeOctober 23, 2018USAFIRI wa majini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar umesitishwa siku ya leo hadi hapo utakapotangazwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 23, 2018MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi uliomtaka kuwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha bila kukosa. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 22, 2018JESHI la Polisi nchini, jana lilimhoji kwa saa kadhaa, January Makamba, kufuatia madai kuwa alikuwa chanzo kikuu cha taarifa za kutekwa kwa mfanyabiashara...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2018GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman … (endelea). Mpaka sasa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2018WATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Njirii, Manyoni mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2018MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema migogoro yote ambayo inatokana na kero za ardhi ndani ya jiji ni lazima itatuliwe kwa mujibu...
By Masalu ErastoOctober 21, 2018WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400...
By Danson KaijageOctober 21, 2018UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018SERIKALI mkoani Simiyu imepiga marufuku kufanyika Mkutano wa ndani wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) kesho tarehe 21 Oktoba 2018, hata hivyo...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2018MFANYABIASHARA Bilionea nchini akiyetekwa na watu wasiojulikana Mohammed Dewji ‘Mo’ apatikana alfajiri ya leo akiwa hai. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kupitia mtandao...
By Faki SosiOctober 20, 2018PICHA ya gari iliyoibuliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo tarehe 19 Oktoba 2018 kwamba ndilo lililotumika kumteka...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2018MKUU wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro amesema polisi wamefanikiwa kumtambua dereva na gari lililohusika katika tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu...
By Regina MkondeOctober 19, 2018MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea pamoja na wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wametoa ufafanuzi wao kuhusu sauti iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hivi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewapa onyo kali wabunge wake Saed Kubenea wa Ubungo na Anthony Komu wa Moshi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018WABUNGE Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini) wameanza kuhojiwa na Kamati Kuu ya Chadema katika kikao cha kamati hiyo kinachoendelea leo...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2018SHULE ya Msingi Emaco Vision English Medium ya mjini Geita mkoa wa Mwanza imepata pigo baada ya kuondokewa na wanafunzi wake sita waliofariki...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2018VUTA nikuvute kwenye Uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam jana imesababisha serikali kuahirisha uchaguzi huo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2018