Categorizing posts based on type of post
KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera katika hali ya kushangaza ameonekana kutofurahishwa na kiwango cha mshambuliaji wake, Heritier Makambo katika mchezo wa Ligi Kuu...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018KUYUMBA kwa uzalishaji na uuzaji wa zao la korosho nchini katika msimu wa korosho wa 2018/2019, kunatajwa kuweza kuporomosha thamani ya Shilingi ya...
By Mwandishi WetuOctober 25, 2018MGOMBEA wa nafasi ya Mwenyekiti kwenye Uchaguzi Mkuu wa klabu ya Simba, Mtemi Ramadhani amejondoa kwenye kinyang’anyiro hicho kwa sababu ya kuwa na...
By Kelvin MwaipunguOctober 25, 2018TAARIFA KWA UMMA Imetolewa 24/October/2018 Kuhusu ufafanuzi wa Mtatiro kufuatia Mazungumzo yake na Wanahabari yaliofanyika Kisiwa cha Unguja . CUF-Chama cha Wananchi kinayachukulia...
By Faki SosiOctober 24, 2018SERIKALI ya Rais John Magufuli imewafuta machozi wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2018RAIS John Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dk. Jakaya Kikwete leo tarehe 23 Oktoba 2018 Ikulu...
By Regina MkondeOctober 23, 2018WATAHINIWA 733,103 kati ya 943,318 wamefaulu mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi wa mwaka 2018. Anaripoti Regina Mkonde … (endelea). Akitangaza matokeo hayo...
By Regina MkondeOctober 23, 2018USAFIRI wa majini kati ya Dar es Salaam na Zanzibar umesitishwa siku ya leo hadi hapo utakapotangazwa tena. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea)....
By Mwandishi WetuOctober 23, 2018MBUNGE wa Arusha Mjini, Godbless Lema ameitikia wito wa Jeshi la Polisi uliomtaka kuwasili katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha bila kukosa. Anaripoti...
By Regina MkondeOctober 22, 2018JESHI la Polisi nchini, jana lilimhoji kwa saa kadhaa, January Makamba, kufuatia madai kuwa alikuwa chanzo kikuu cha taarifa za kutekwa kwa mfanyabiashara...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2018GODBLESS Lema, Mbunge wa Arusha ametakiwa kufika Polisi Arusha leo tarehe 21 Oktoba 2018 kabla hakujakucha. Anaripoti Mariam Seleman … (endelea). Mpaka sasa...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2018WATUMISHI watano wa Wizara ya Kilimo na Chakula, wamefariki dunia katika ajali ya gari iliyotokea Njirii, Manyoni mkoani Singida. Anaripoti Mwandishi Wetu, Singida...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2018MFANYABIASHARA maarufu Mohammed Dewji ‘Mo’ ameombwa kwenda mkoani Singida ili apozwe machungu. Anaandika Mwandishi Maalum … (endelea). Akizungumza na wanahabari kwenye viwanja vya...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018MKURUGENZI wa Jiji la Dodoma, Godwin Kunambi amesema migogoro yote ambayo inatokana na kero za ardhi ndani ya jiji ni lazima itatuliwe kwa mujibu...
By Masalu ErastoOctober 21, 2018WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, anatarajiwa kufungua maonyesho ya wiki la Asasi za kiraia nchini leo ambapo zaidi ya mashirika yasiyo ya kiserikali 400...
By Danson KaijageOctober 21, 2018UBINAFSISHAJI ni sera ya Benki ya dunia, ulioanza kutekelezwa toka awamu ya pili ya utawala wetu ikiwa ni kipindi cha mpito cha kuondokana...
By Mwandishi MaalumOctober 21, 2018SERIKALI mkoani Simiyu imepiga marufuku kufanyika Mkutano wa ndani wa Chama cha Demkrasia na Maendeleo (Chadema) kesho tarehe 21 Oktoba 2018, hata hivyo...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2018MFANYABIASHARA Bilionea nchini akiyetekwa na watu wasiojulikana Mohammed Dewji ‘Mo’ apatikana alfajiri ya leo akiwa hai. Anaripoti Faki Sosi … (endelea). Kupitia mtandao...
By Faki SosiOctober 20, 2018PICHA ya gari iliyoibuliwa na Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Simon Sirro leo tarehe 19 Oktoba 2018 kwamba ndilo lililotumika kumteka...
By Mwandishi WetuOctober 19, 2018MKUU wa Jeshi la Polisi, Simon Sirro amesema polisi wamefanikiwa kumtambua dereva na gari lililohusika katika tukio la kutekwa mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu...
By Regina MkondeOctober 19, 2018MBUNGE wa Ubungo, Saed Kubenea pamoja na wa Moshi Vijijini, Anthony Komu wametoa ufafanuzi wao kuhusu sauti iliyosambaa katika mitandao ya kijamii hivi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018KAMATI Kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimewapa onyo kali wabunge wake Saed Kubenea wa Ubungo na Anthony Komu wa Moshi...
By Regina MkondeOctober 18, 2018WABUNGE Saed Kubenea (Ubungo) na Anthony Komu (Moshi Vijijini) wameanza kuhojiwa na Kamati Kuu ya Chadema katika kikao cha kamati hiyo kinachoendelea leo...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2018SHULE ya Msingi Emaco Vision English Medium ya mjini Geita mkoa wa Mwanza imepata pigo baada ya kuondokewa na wanafunzi wake sita waliofariki...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2018VUTA nikuvute kwenye Uchaguzi wa Naibu Meya wa jiji la Dar es salaam jana imesababisha serikali kuahirisha uchaguzi huo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2018CHAMA cha Chadema kimeitaka serikali kuruhusu wachunguzi wa kimataifa kuchunguza tukio la kutekwa kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ lililofanywa na watu wasiojulikana tarehe...
By Regina MkondeOctober 16, 2018HIVI ninavyojadili haja ya kuiona Zanzibar inarudia asili yake ya kuwa nchi yenye wastaarabu na iliyopiga hatua kubwa ya maendeleo ya kiuchumi, kunatokea...
By Jabir IdrissaOctober 15, 2018FAMILIA ya Mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ aliyetekwa tangu Alhamisi ya Oktoka 11 2018, maeneo ya Osterbay jijini Dar es Salaam, imetangaza zawadi nono...
By Regina MkondeOctober 15, 2018TUME ya Uchaguzi Tanzania (NEC) imetangaza tarehe ya Uchaguzi wa Marudio katika majimbo ya Serengeti na Simanjiro utakaofanyika tarehe 2 Desemba, 2018. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2018FAMILIA ya mfanyabiashara, Mohammed Dewji ‘MO’ na Kampuni za Mohammed Enterprises Tanzania Limited (MeTL) leo wanatarajia kuvunja ukimya juu ya kutekwa kwa bilionea...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2018WAKALA wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umesema madereva wa kampuni ya mtoa huduma, (Udart) waliohusika kufanya hujuma ya kuzuia mabasi yaliyokuwa yameegeshwa katika...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2018KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. Bashiru Ally amesema kuwa, ndani ya chama chake amekuta wezi. Anaandika Faki Sosi…(endelea). Na kwamba,...
By Faki SosiOctober 12, 2018KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji lililotokea jana alfajiri katika hoteli ya Colosseum...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2018WAPIGA kura katika jimbo la Liwale mkoani Lindi pamoja na kata nne za Tanzania Bara wametakiwa kujitokeza kwa wingi kupiga kura katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2018MGOGORO umeibuka Mwanza kati ya serikali ya mkoa na viongozi wa Chama cha Mapinduzi mkoa (CCM) kutokana na kile kinachotajwa kuwa ni kushindwa...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2018CECIL Mwambe, Mbunge Jimbo la Ndanda (Chadema) anayetajwa kwenye orodha ya wabunge wanaotaka kukimbilia CCM amesema, hajashindwa kazi. Anaandika Faki Sosi … (endelea)....
By Faki SosiOctober 11, 2018RAIS John Magufuli amemteua Mhadhiri Mwandamizi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Dk. Lucas Nyaoro kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2018BAADHI ya Wabunge hapa nchini wametoa neno kuhusu tukio la kupotea kwa Mfanyabiashara Mohammed Dewji ‘Mo Dewji’, huku wakitoa wito kwa serikali kufanya...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2018ALIYEKUWA mbunge wa Chadema katika jimbo la Ukerewe, mkoani Mwanza, Joseph Mkundi, hatimaye amemwaga manyanga. Anaripoti Mwandishi Wetu …. (endelea). Katika barua yake...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2018By Masalu ErastoOctober 11, 2018
RAIS John Magufuli ametuma salamu za pole kwa Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta kufuatia vifo vya watu 50 vilivyosababishwa na ajali ya basi...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2018WAKATI wa Rais Jakaya Kikwete alipoingia madarakani mwaka 2005, alianza kwa makeke yaliyomsisimua kila Mtanzania.Anaandika Mhode Mkasimongwa … (endelea). Moja ya makeke hayo...
By Mwandishi MaalumOctober 10, 2018BAADHI ya viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hapa nchini leo tarehe 10 Oktoba 2018 wamekutana katika mkutano maalum unaoendelea kwenye hoteli ya...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2018RAIA wawili wa kigeni, Nada Zaelnoon Ahamed (38) na Mohamed Belal (31), wanashikiliwa na Jeshi la Polisi baada ya kukutwa na kiasi cha...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2018By Masalu ErastoOctober 10, 2018
MIVUTANO ya kibiashara ya kidunia imetajwa kuwa miongoni mwa sababu za kushuka kwa uchumi wa dunia katika kipindi cha mwaka 2018/2019 huku vita...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2018BENKI ya Dunia (WB) imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayofadhili hapa nchini, unaofanmywa na serikali ya Rais John Magufuli. Anaripoti Mwandishi Wetu...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2018WAZIRI wa Katiba na Sheria Prof. Palamagamba Kabudi na Waziri wa Maliasili na Utalii Dk. Hamisi Kigwangala wamekutana na Balozi wa Uingereza Nchini,...
By Masalu ErastoOctober 9, 2018PROFESA Ibrahim Lipumba, Mwenyekiti wa CUF anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, anadai kuna uwepo wa rafu katika uchaguzi...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2018Taarifa kwa umma NIMEONA picha yangu kwenye gazeti la leo Jumanne la MWANANCHI likinihusisha mimi na kutaka kuhama chama changu na kujiunga na...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2018