MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
RAMADHAN Kingai, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, ameanza kutoa ushahidi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhunumu...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake wote Tanzania kuweka mipango vizuri ili katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamuweka rais mwanamke madarakani...
By Masalu ErastoSeptember 15, 2021JAJI Mustapha Siyai, anayesikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu ameiahirisha...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021KAMANDA wa Polisi wa Kinondoni (RPC), Ramadhan Kingai ambaye ni shahidi namba 2 upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili kiongozi wa chaa...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chaa kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 15, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimewataka wadau mbalimbali wakiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021MKURUGEZI Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Dk. Albina Chuwa amesema sense ya watu na makazi itakayofanyika Agosti mwaka 2022, ni ya...
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwapambanisha manguli wa Bongofleva nchini, Diamond Platnumz na Alikiba ambao imekuwa nadra kukutana kuperfome katika jukwaa moja....
By Masalu ErastoSeptember 14, 2021CRESCENTIUS Magori, mshauri wa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa timu ya Simba ya jijini Dar es Salaam, Mohamed Dewji amesema, kifo...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini, wawapange wafanyabiashara ndogo ndogo ‘wamachinga’, katika maeneo rasmi. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 13, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri wanne na kuwaweka kando watatu. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 12, 2021MABINGWA wa kihistoria wa soka nchini Tanzania, Yanga ya jijini Dar es Salaam wameanza vibaya safari ya michuano ya klabu bingwa Afrika...
By Kelvin MwaipunguSeptember 12, 2021RIPOTI ya uchunguzi wa ajali ya moto katika Soko la kimataifa la Kariakoo jijini Dar es Salaam, inatarajiwa kuwasilisha kwa Rais wa...
By Gabriel MushiSeptember 12, 2021ZAKARIA Hanspope, Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya mabingwa wa ligi kuu Tanzania Bara 2020/21, Simba ya Dar es Salaam, amefariki dunia....
By Mwandishi WetuSeptember 10, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeridhia ombi la mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...
By Regina MkondeSeptember 10, 2021NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni imetoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021WAFANYABIASHARA wadogo maarufu kama ‘wamachinga’ wameiomba Serikali kupitia upya uamuzi wake wa kutaka kuwaondoa katika maeneo ya pembezoni mwa barabara katika soko...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limetoa orodha ya makocha ambao hawaruhusiwi kukaa kwenye benchi la ufundi katika mechi za mashindano...
By Masalu ErastoSeptember 10, 2021UPANDE wa mashtaka katika kesi ya uhujumu uchumi Na. 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeSeptember 10, 2021ALIYEKUWA Mkuu waWilaya ya Hai, mkoani Kilimanjaro, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, wamesomewa upya mashtaka matano katika Kesi ya Uhujumu Uchumi...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021WATU wawili wamefariki dunia katika ajali iliyohusisha basi la mwendokasi na pikipiki ‘bodaboda’, kwenye barabara ya mwendokasi, maeneo ya Lumumba jijini Dar...
By Masalu ErastoSeptember 9, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imesitisha utaratibu wa kugawa mikoa, wilaya, kata, vijiji vipya hadi hapo sensa itakapofanyika mwaka 2022....
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC), Amos Makalla amepiga marufuku ufanyaji wa biashara maeneo watembea kwa miguu hifadhi ya barabara...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, ameendelea kufanya mabadiliko madogo ya uongozi wa chama hicho, kwa kutengua uteuzi wa...
By Regina MkondeSeptember 9, 2021Zaidi ya waandishi wa habari watano kutoka gazeti maarufu la uchunguzi la Etilaatroz ambalo hutoka kila siku huko Kabul nchini Afghanistan wamekamatwa...
By Mwandishi WetuSeptember 9, 2021WIZARA ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki nchini Tanzania, imeshauri mamlaka kutembelea nchi za kimkakati kwa kuzingatia maslahi ya nchi...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2021KESI ya jinai inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani bchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, sasa itaanza kusikilizwa...
By Regina MkondeSeptember 8, 2021MJADALA wa mtoto wa kike kuolewa chini ya umri wa miaka 18 haujapoa. Ndivyo unaweza kusema baada ya suala hilo kuulizwa bungeni...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2021KUELEKEA mchezo wa awali wa michuano ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika Afrika, uongozi wa klabu ya Yanga umefunguka kuwa huwenda ukawakosa...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2021SIKU chache baada ya kuung’oa madarakani uongozi wa Afghanistan, wanamgambo wa kundi la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini humo. Anaripoti...
By Masalu ErastoSeptember 8, 2021KIUNGO mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Simon Msuva ametoa siri yabushindi kwenye mchezo wa kimataifa wa kufuzu fainali za...
By Kelvin MwaipunguSeptember 8, 2021SIKU moja baada ya msajili wa vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, kuvitaka vyama vya siasa nchini humo kuacha kufanya...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2021MSEMAJI wa Mabingwa wa Kihistoria Tanzania, Yanga ya Dar es Salaam, Haji Manara amesema, wanakwenda kuibuka na ushindi wa kutosha katika mchezo...
By Mwandishi WetuSeptember 7, 2021IKIWA zimebakiwa siku tano kuelekea mchezo wa hatua ya awali wa Ligi ya Mabingwa Afrika, kati ya Yanga dhidi ya Rivers United, hatma...
By Kelvin MwaipunguSeptember 7, 2021MAMADY Doumbouya, Kanali kiboko aliyemmaliza utawala wa Rais wa Guinea, Alpha Conde amepata mafunzo ya kivita katika nchini za Israel, Ufaransa. Anaripoti...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2021SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai, amewataka wabunge wasitunge sheria zinazoongeza changamoto ya mrundikano wa mahabusu. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeibua dosari katika sheria ya kuzuia...
By Regina MkondeSeptember 6, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, ameitisha mkutano wa pamoja kati ya viongozi wakuu wa vyama vya siasa...
By Gabriel MushiSeptember 6, 2021JAJI Elinaza Luvanda, aliyekuwa anasikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 6, 2021MPAMBANO wa soka wa kufuzu kwa kombe la dunia, kati ya timu ya taifa ya Guinea na Morocco, uliokuwa umepangwa kufanyika jana...
By Kelvin MwaipunguSeptember 6, 2021ALPHA Condé, Rais wa Jamhuri ya Guinea, amekamatwa na jeshi linalodai limechukua madaraka ya kuongoza taifa hilo. Inaripoti Mitandao ya Kimataifa …...
By Mwandishi WetuSeptember 6, 2021SERIKALI ya Tanzania imesitisha leseni ya Gazeti la Raia Mwema, kwa muda wa siku 30 kuanzia kesho tarehe 6 Septemba 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema madhumuni makubwa ya mzunguko anaoufanya kwenye vituo vya utalii na rasilimali nyingine za Tanzania, ni kuionesha dunia...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021MBUNGE wa Kawe mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, amewaeleza waumini wake wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, kwamba yeye...
By Mwandishi WetuSeptember 5, 2021ASKOFU wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, amewaomba Watanzania wamuunge mkono Rais Samia Suluhu Hassan, katika mkakati wake wa kutangaza...
By Regina MkondeSeptember 5, 2021Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameshirikiana na wananchi kusafisha eneo ambalo litajengwa kituo cha Afya Katika kata ya Narungombe, Ruangwa mkoani...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021MABINGWA wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara 2020/21, Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imemtoa kwa mkopo wa mwaka mmoja...
By Masalu ErastoSeptember 4, 2021RIPOTI ya awali ya uchunguzi wa tukio la mauaji ya maofisa watatu wa jeshi la Polisi nchini Tanzania, mlinzi mmoja wa kampuni...
By Kelvin MwaipunguSeptember 4, 2021HATMA ya kusikilizwa ama kutosikilizwa kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi iliyoko katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021