MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha Mapinduzi (CCM),...
By Regina MkondeOctober 17, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema Jeshi la Polisi nchini humo, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu tukio la kupotea kwa...
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021ASKOFU Mkuu wa Kanisa la Kiinjili na Kilutheri Tanzania (KKKT), Dk. Fredrick Shoo amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aendelee kusimama katika yale...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Mkoa wa Kilimanjaro, Lengai...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), mkoani Kilimanjaro, wamefikisha kilio cha changamoto za majimbo yao, kwa Rai Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Ummy Mwalimu amesema kuna vidudu mtu ambao wanaeneza kwamba...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amezindua Barabara ya Sanya Juu- Elerai, iliyopo Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Mwandishi WetuOctober 15, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameagiza mamlaka zifanye uchunguzi taarifa ya ya miradi 49 iliyobainika kuwa na dosari katika Mbio za...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ameweka shada la maua kaburi la aliyekuwa Rais wa Taifa hilo, Hayati John Pombe Magufuli. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 14, 2021ALIYEKUWA Afisa Habari wa Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, klabu ya Simba, Haji Manara amepanga kuifikisha klabu hiyo mahakamani kwa kuwadai...
By Kelvin MwaipunguOctober 14, 2021MCHAMBUZI maarufu wa masuala ya kisiasa na kihistoria katika ukanda wa Afrika Mashariki, Profesa Patrick Lumumba amewataka Watanzania kujihoji kuwa demokrasia ni...
By Mwandishi WetuOctober 13, 2021WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Ummy Mwalimu amewapiga marufuku wakuu wa mikoa, wakuu...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021MWENYEKITI wa Bodi ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Stephen Wasira amemuelezea Baba wa Taifa, Hayati Mwalimu Julius Nyerere alikuwa kiongozi...
By Mwandishi WetuOctober 12, 2021MWANASIASA mkongwe nchini Tanzania, Jaji Joseph Sinde Warioba, amekemea watu wanaotaka kuleta ubaguzi katika ukabila, udini, ukanda na uvyama, akisema wanahatarisha amani...
By Regina MkondeOctober 12, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema hakitashiriki vikao vya majadiliano ya wadau wa vyama vya siasa, vilivyoitishwa na Msajili wa Vyama...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), amempigia chapuo Rais Samia Suluhu Hassan, akitaka aongezewe muda wa kuiongoza Tanzania...
By Regina MkondeOctober 11, 2021BAADA ya chama cha siasa nchini Tanzania cha ACT-Wazalendo kuibuka washindi wa Jimbo la Konde-Pemba visiwani Zanzibar, chama hicho kimetosa sababu kuu...
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021RAIS SAMIA Suluhu Hassan ameonya watumishi aliowateua kuacha kueneza sumu ya ukabila pindi wanapokosea na kutumbuliwa kwa sababu hateui kwa kuzingatia ukabila....
By Mwandishi WetuOctober 11, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Serikali tayari imetumia jumla ya Sh bilioni 596.3 kwa ajili ya ununuzi wa ndege nyingine tano mbali...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amelishuruku Shirika la Fedha Duniani (IMF) kwa kuielewa Serikali ya Tanzania na kuridhia itumie fedha za maendeleo kwa ustawi...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021VYAMA vya ACT – wazalendo na CCM vimegawana majimbo Konde Visiwani Zanziba na Ushetu mkoani Shinyanga katika uchaguzi mdogo uliofanyika jana tarehe 9...
By Masalu ErastoOctober 10, 2021Bondia Tyson Fury kutoka Uingereza leo tarehe 10 Oktoba, 2021 amemtwanga kwa knock out katika raundi ya 11 bondia Deontay Wilder kutoka...
By Mwandishi WetuOctober 10, 2021TIMU ya soka ya Wanawake ya Tanzania ‘Twiga Stars’ imenyakua ubingwa wa michuano ya nchi za ukanda wa kusini mwa Afrika (Cosafa)...
By Mwandishi WetuOctober 9, 2021RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Visiwani humo, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema uamuzi wa mapokezi ya ndege mbili...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021TANZANIA leo Ijumaa, tarehe 8 Oktoba 2021, imepokea dozi 576,558 za chanjo dhidi ya ugonjwa unaoambukizwa na virusi vya korona (UVIKO-19) aina...
By Mwandishi WetuOctober 8, 2021MARA baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Benin kwa bao 1-0, kocha wa kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ Kim...
By Kelvin MwaipunguOctober 7, 2021SHIRIKA la Afya duniani (WHO) limeidhinisha chanjo ya kwanza ya ugonjwa wa Malaria na kusisitiza kuwa inapaswa kutolewa kwa watoto wote Barani...
By Mwandishi WetuOctober 7, 2021SHIRIKISHO la Soka Tanzania (TFF) imeingia mkataba na Benki ya NBC wenye thamani ya Sh.2.5 bilioni bila Kodi ya Ongezeko la Thamani...
By Kelvin MwaipunguOctober 6, 2021PROFESA Mussa Assad, aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali ya Tanzania (CAG) amesema, aliondolewa katika wadhifa wa U...
By Mwandishi WetuOctober 6, 2021ALIYEWAHI kuwa waziri wa mambo ya nje wa Tanzania, Bernard Membe amesema Rais Samia Suluhu Hassan ni kiongozi jasiri na mahiri, anatosha...
By Mwandishi WetuOctober 5, 2021KIUNGO wa klabu ya Simba Jonas Mkude ameondolewa kwenye kambi ya Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ kutokana na matatizo ya...
By Kelvin MwaipunguOctober 5, 2021MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema mabadiliko ya bei za bando iliyofanywa na baadhi ya kampuni za simu za mkononi nchini ni...
By Mwandishi WetuOctober 4, 2021JUMLA ya Mawaziri nane wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wanatarajia kuanza ziara ya siku 15 katika vijiji 975 kwa...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021MAKAMU wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Othman Masoud Othman, amekula kiapo cha kutimiza ndoto ya mrithi wake, Maalim Seif Shariff Hamad ya...
By Mwandishi WetuOctober 3, 2021WAZIRI wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, George Simbachawene, amehitimisha sakata la uraia wa Kibu Denis Prosper kwa kutangaza kumpa uraia mchezaji...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021MWENYEKITI wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD), Zitto Kabwe amemshauri Msajili wa vyama vya siasa nchini humo, Jaji Francis Mutungi kutoingilia ratiba...
By Masalu ErastoOctober 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema katika kipindi chake cha uongozi, atahakikisha anaimarisha chama cha Skauti nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...
By Mwandishi WetuOctober 2, 2021BAO pekee lililofungwa dakika ya 69 na mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagera dhidi ya Dodoma Jiji limerejesha furaha kwa mabingwa hao watetezi wa...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021SAKATA la uraia wa mchezaji mpya wa Simba ya Dar es Salam, Kibu Denis limemuibua Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akimtaka Waziri...
By Masalu ErastoOctober 1, 2021HUKUMU ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili iliyokuwa...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021TAASISI ya Mwalimu Nyerere (MNF) nchini Tanzania, imeombwa kuandaa kikao cha mariadhiano ambacho kitawakutananisha viongozi wakuu wa vyama vya siasa nchini ili...
By Mwandishi WetuOctober 1, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema kifo cha aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji, William Tate Ole Nasha, kilichotokea...
By Regina MkondeSeptember 30, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha nchini Tanzania, kesho Ijumaa tarehe 1 Oktoba 2021, itatoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha,...
By Masalu ErastoSeptember 30, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, kwenye kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwa wa kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021SERIKALI imesema aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji, William Tate Ole Nasha ambaye pia alikuwa ni Mbunge wa Ngorogoro (CCM )...
By Mwandishi WetuSeptember 29, 2021LILIAN Furaha Kibona, mke wa mshtakiwa wa pili, Adam Kasekwa, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumi Uchumi, Dar...
By Regina MkondeSeptember 29, 2021Klabu ya soka ya Yanga leo 29 Septemba 2021, itanza kutupa karata yake ya kwanza katika Ligi Kuu Tanzania Bara ugenini dhidi...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021MOHAMED Dewji, Mkurugenzi wa Bodi ya Klabu ya Simba ya jijini Dar es Salaam nchini Tanzania ametangaza kuachia nafasi hiyo na kumteua...
By Masalu ErastoSeptember 29, 2021