MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
MBUNGE wa Kisesa, Luhaga Mpina, amemtaka Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ajiuzulu kwa madai kuwa maagizo 12 aliyoyatoa mwaka 2023 kuhusu migogoro ya...
By Regina MkondeApril 19, 2024Rais wa Kenya, William Ruto ametangaza maombezo ya siku tatu kuanzia kesho Ijumaa kutokana na kifo cha Mkuu wa Majeshi nchini hiyo CDF-...
By Gabriel MushiApril 18, 2024SERIKALI za Tanzania na Uturuki zimekubaliana kuendeleza dhamira ya kuimarisha uhusiano wenye manufaa kwa pande zote mbili ili kuendelea kufungua milango ya fursa...
By Gabriel MushiApril 18, 2024CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimesema awamu ya pili ya maandamano ya amani yanayotarajiwa kufanyika tarehe 22 hadi 30 Aprili 2024,...
By Mwandishi WetuApril 18, 2024Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara, ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki linatarajiwa kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,...
By Gabriel MushiApril 17, 2024Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumatano amewasili nchini Uturuki kwa ziara ya kitaifa yenye lengo la kukuza uhusiano wa diplomasia ya siasa, uchumi...
By Gabriel MushiApril 17, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amerejesha utaratibu wa utoaji mikopo inayotokana na asilimia 10 ya mapato ya halmashauri kwa vikundi vya wanawake, vijana...
By Regina MkondeApril 16, 2024UWEZEKANO wa Paul Makonda, kuendelea na wadhifa wake wa mkuu wa mkoa wa Arusha, ni mdogo mno, Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Taarifa...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amevunja ukimya kwa kumtaka aliyekuwa mkuu wa majeshi, Jenerali Venance Mabeyo, kuwataja...
By Mwandishi WetuApril 15, 2024HUZUNI na vilio vimetawala kwa maelfu ya waombolezaji wakiwemo familia waliokusanyika leo Jumapili katika shule ya seokondari ya Sinon jijini Arusha kuaga miili...
By Mwandishi WetuApril 14, 2024KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Emanuel Nchimbi, amesema ndani ya chama chake kuna changamoto ya wagombea kukataa matokeo ya uchaguzi....
By Regina MkondeApril 13, 2024MKUU Mkoa wa Arusha, Paul Makonda amewataka watu wanaowatuma mawakala wao kumtukana mitandaoni Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, waache mara moja kwani wasipofanya...
By Mwandishi WetuApril 12, 2024SERIKALI ya Tanzania imetoa tathmini ya athari ya mafuriko yanayosababishwa na mvua kubwa inayonyesha mfululizo katika baadhi ya mikoa nchini, ikisema yameua...
By Mwandishi WetuApril 12, 2024WAKATI mjadala ukiibuka juu ya hatma ya viongozi wa sasa katika Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), baada ya sheria yake kufanyiwa marekebisho...
By Regina MkondeApril 11, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka Watanzania wote kuendelee kudumisha haki, umoja, amani na mshikamano kwenye Sikukuu ya Eid al -Fitr. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuApril 10, 2024JOTO la chaguzi linapanda kila siku hapa nchini. Upo umuhimu wa wanasiasa na viongozi wa dini kujiepusha na uchonganishi, uchokozi na kufuru. Kusema...
By Mwandishi WetuApril 10, 2024WANAJESHI wanne wakiwamo watatu kutoka Tanzania wamefariki dunia na wengine watatu pia Watanzania wamejeruhiwa katika shambulio la waasi lililotokea karibu na kambi yao...
By Mwandishi WetuApril 8, 2024SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Tulia Ackson ametangaza msiba wa Mbunge wa Kwahani, Ahmed Yahya Abdulwakil (CCM), aliyefariki...
By Gabriel MushiApril 8, 2024JUMLA ya abiria 17 kati ya 27 waliozama na meli ya MV Maman Benita kwenye Ziwa Tanganyika, wameokolewa huku juhudi za kuendelea kuwatafuta...
By Gabriel MushiApril 8, 2024WATU 15 wamefariki dunia kuanzia tarehe 1 hadi 7 Aprili 2024, kwa kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuApril 8, 2024MKUU wa Wilaya ya Rufiji, Meja Edward Gowele ametoa tahadhari kwa wananchi wanaoishi karibu na maeneo yalliyokumbwa na mafuriko ya maji yaliyofunguliwa kutoka...
By Faki SosiApril 7, 2024MKUU wa Mkoa Kusini Pemba, Amour Hamad Salehe, amekanusha taarifa zilizosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa sadaka ya...
By Mwandishi WetuApril 6, 2024RAIS Samia Suluhu Hassan ameipongeza Klabu ya Yanga licha ya kutolewa na Mamelodi Sundowns katika hatua ya robo fainali ya mashindano ya ligi...
By Gabriel MushiApril 6, 2024KATIBU mpya wa itikadi na uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amesema chama hicho kitaendelea kumpa ushirikiano mtangulizi wake, Paul Makonda,...
By Regina MkondeApril 5, 2024RAIS Daktari Samia Suluhu Hassan, amesema aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, alikiamsha chama hicho kutoka...
By Regina MkondeApril 4, 2024BERTHA Mabula Kinungu, mama mjasiriamali mkoani Shinyanga, ameiangukia Serikali akiiomba iingilie kati ili alipwe fedha zake kiasi cha Sh. 295 milioni, anazodai amedhulumiliwa...
By Mwandishi WetuApril 4, 2024Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imefanya mabadiliko madogo ya Sekreterieti ya Halmashauri hiyo Taifa kwa kuwachagua wajumbe akiwemo Amos Gabriel Makalla...
By Mwandishi WetuApril 3, 2024SHERIA ya Bima ya Afya kwa Wote, inatarajiwa kuanza kutumika kabla ya mwisho wa mwezi Aprili 2024, baada ya vifungu muhimu kuwasilishwa katika...
By Regina MkondeApril 3, 2024BEI za mafuta zimeongezeka kwa mwezi Aprili 2024, ikilinganishwa na bei elekezi zilizotangazwa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji...
By Regina MkondeApril 3, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amesaini miswada ya sheria za uchaguzi kwa ajili ya kuwa sheria kamili na kuanza kutumika, licha ya kelele...
By Regina MkondeApril 2, 2024JESHI la Polisi visiwani Zanzibar, limesema halijawakamata watu 12 kwa sababu ya kula hadharani wakati wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, bali...
By Mwandishi WetuApril 2, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, amemtea Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha....
By Mwandishi WetuMarch 31, 2024Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi, utenguzi na uhamisho wa viongozi mbalimbali wakiwamo wakuu wa wilaya, mikoa,...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2024MBUNGE wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, ameelezea namna watu wasiojulikana walivyoshambulia kwa risasi gari lake akiwa njiani kurudi jimboni kwake, akisema kabla...
By Mwandishi WetuMarch 30, 2024JESHI la Polisi nchini, limesema limeanza uchunguzi wa tukio la gari la Mbunge wa Simanjiro (CCM), Christopher Ole Sendeka, kushambuliwa na risasi na...
By Regina MkondeMarch 30, 2024GARI la mbunge wa Simanjiro (CCM) mkoani Manyara, Christopher Ole Sendeka, limeshambuliwa kwa risasi eneo la Ndaleta, wilayani Kiteto wakati akiwa na dereva...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan, ameombwa aunde tume huru kwa ajili ya kuchunguza mauaji ya raia yanayodaiwa kufanywa na baadhi ya askari polisi...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024TUME Huru ya Uchaguzi Afrika Kusini (IEC) imemwondoa rais wa zamani Jacob Zuma kwenye kiny’anganyiro cha uchaguzi uliopangwa Mei mwaka huu na...
By Mwandishi WetuMarch 29, 2024RIPOTI ya ukaguzi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imebaini Mfuko wa Taifa...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2024VIKUNDI hewa vya wajasirimali wadogo 851 kutoka katika halmashauri 19 nchini, vinadaiwa kuingia mitini na fedha za mikopo kiasi cha Sh. 2.6 bilioni....
By Mwandishi WetuMarch 28, 2024MASHIRIKA matano ya Serikali yanayojiendesha kibiashara, yamepata hasara ya mabilioni ya fedha katika mwaka wa fedha ulioisha wa 2022/23. Anaripoti Regina Mkonde, Dar...
By Regina MkondeMarch 28, 2024RIPOTI ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, kwa mwaka wa fedha wa 2022/23, imeibua madudu katika halmashauri...
By Regina MkondeMarch 28, 2024Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka (DART) umewasimamisha kazi watumishi wawili ambao ni Shabani Kajiru – Msimamizi wa Kituo cha Kivukoni na Brown Mlawa...
By Mwandishi WetuMarch 28, 2024DENI la Serikali imeongezeka kwa takribani Sh. 11 trilioni sawa na asilimia 15, kutoka Sh. 71.31 trilioni (2021/22) hadi kufikia Sh. 82.25 trilioni...
By Regina MkondeMarch 28, 2024MAPYA yameibuka kuhusu zoezi la Serikali kuwahamisha kwa hiari wamasai waliokuwa wanaishi ndani ya hifadhi ya Ngorongoro kwenda maeneo ya Msomera mkoani Tanga,...
By Regina MkondeMarch 27, 2024WAKATI Mamlaka nchini Kenya, ikiendelea kukabidhi miili ya watu waliofariki kutokana na njaa baada ya kupokea maelekezo ya mchungaji mwenye utata Paul McKenzie,...
By Mwandishi WetuMarch 27, 2024KATIBU wa Itikadi na Uenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Paul Makonda, amewataka viongozi wa chama hicho na watu wanaojaribu kumtenganisha Rais Dk....
By Regina MkondeMarch 26, 2024NANI aliyetaka kupindisha Katiba, ili aliyekuwa Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan, asiapishwe kurithi kiti cha urais baada ya John Magufuli, kufariki dunia,...
By Saed KubeneaMarch 25, 2024Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema Tanzania imeendelea kuwa katika kundi la nchi zenye uchumi...
By Mwandishi WetuMarch 24, 2024Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ya Chama cha ACT-Wazalendo Abdul Nondo na wenzake wanne huenda wakafikishwa mahakamani tarehe 25 Machi kwa tuhuma za...
By Faki SosiMarch 23, 2024