Tuesday , 7 May 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kitabu cha mahabusu chakutwa na kipisi cha pini

  KITABUcha kumbukumbu ya mahabusu (DR) cha Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam, kimeibua maswali baina ya shahidi wa Jamhuri na mawakili...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kitabu cha kumbukumbu mahabusu chaibua mjadala

  KITABU cha kumbukumbu za mahabusu (DR), cha Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, kimeendelea kuibua mkanganyiko katika kesi ya uhujumu uchumi,...

MichezoTangulizi

CAS yatupilia mbali rufaa ya Yanga kwa Morrison

MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana...

Habari za SiasaTangulizi

Mapingamizi ya kina Mbowe yaendelea kutupwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imekubali kupokea kitabu cha kumbukumbu za...

Habari MchanganyikoTangulizi

Matumaini mapya mgawo wa maji Dar

  MACHUNGU ya mgawo wa maji kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania yaliyodumu kwa takribani wiki tatu, yanaanza kupungua...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe kuendelea leo, uamuzi wa pingamizi wasubiriwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu tarehe 22 Novemba 2021, itatoa uamuzi mdogo katika...

Habari za SiasaTangulizi

CCM ‘yalia’ hujuma, yaipa rungu Takukuru

  WAKATI hali ya upatikanaji maji ikizidi kuwa tete katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania, chama tawala nchini humo- Chama Cha Mapinduzi (CCM)...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Bwege alazwa Muhimbili

  ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Said Bungara ‘Bwege’, amelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiugua kwa...

MichezoTangulizi

Penalti ya Fei Toto, Simba wataka uchunguzi ufanyike

UONGOZI wa klabu ya Simba, umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la penalti lilitokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...

Tangulizi

Kumekucha! Harmonize awavuruga WCB

  SIKU chache baada ya Msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize au Konde Boy kutema cheche kuhusu mapito na changamoto alizokumbana nazo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ataka wanawake kujitokeza kuhesabiwa, kushiriki uchaguzi CCM

  RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika mwaka 2022 pamoja...

MichezoTangulizi

Simba yaipiga Ruvu 3-1, aliyeitoboa Yanga, aitoboa Simba

  MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imejipatia ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting....

Habari za SiasaTangulizi

Mgao wa maji, umeme Tanzania: Ni mwendo wa matamko

  MJADALA juu ya mgawo wa umeme na uhaba wa maji, umeiweka Serikali ya Tanzania njia panda, baada ya baadhi ya viongozi wake...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe yaahirishwa hadi J3, Jaji asema…

  JOACHIM Tiganga, Jaji anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, ameiahirisha hadi Jumatatu, tarehe 22 Novemba...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe wanavyochuana kortini

  MAWAKILI wa pande mbili katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanachuana katika pingamizi la utetezi...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wapewa ‘diary’ ya shahidi, kesi yaendelea

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umepewa ‘diary’ aliyokutwa nayo kizimbani shahidi...

Habari za SiasaTangulizi

Pingamizi 7 kina Mbowe latupwa, shahidi aliyekutwa na diary apeta

  PINGAMIZI la utetezi dhidi ya kumkataa shahidi wa Jamhuri katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, limetupiliwa mbali...

HabariTangulizi

TEF yawasilisha serikalini maboresho sheria za habari

  JUKWAA la Wahariri Tanzania (TEF), limekabidhi serikalini mapendekezo ya marekebisho ya sheria mbalimbali zinazogusa tasnia ya habari nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu,...

MichezoTangulizi

Maandalizi mkutano mkuu Simba yakamalika

  KLABU ya soka ya Simba inatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa mwaka wa wanachama, huku sehemu kubwa ya shughuli hiyo ikiwa imeshakamilika....

KimataifaTangulizi

Milipuko miwili yaripotiwa katikati mwa jiji la Kampala – Uganda

  Milipuko miwili imetokea katikati mwa jiji la Kampala nchini Uganda na kujeruhi watu kadhaa ambao idadi yao haijajulikana. Anaripoti Mwandishi Wetu… (endelea)...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe, jamhuri wavutana kuenguliwa shahidi

  MAWAKILI wa utetezi na jamhuri katika kesi ya makosa ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameonesha umwamba wa...

Habari za SiasaTangulizi

Pingamizi jingine la kina Mbowe latupwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali kupokea barua inayomthibitisha Askari Mpelelezi, Ricardo Msemwa, kuwa...

ElimuTangulizi

Kidato cha nne waanza mitihani, Rais Samia awatakia kheri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Hassan amewatakia kheri wanafunzi wa kidato cha nne, walioanza mitihani yao ya Taifa leo Jumatatu tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Makonda kufikishwa kortini

  ALIYEKUWA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam (RC) nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kufikishwa mahakamani, wakati wowote kuanzia sasa. Anaripoti...

Tangulizi

Rais Samia ataka wahitimu vijana Chuo cha Taifa cha Ulinzi

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kuangalia uwezekano wa kuchukua wanafunzi wenye umri mdogo zaidi...

MichezoTangulizi

Wanajeshi Madagascar wavamia kambi ya Taifa Stars, TFF yalaani

  ASKARI wa Jeshi la Madagascar wenye silaha wamevamia kambi ya timu ya soka ya Tanzania ‘Taifa Stars’ wakitaka kuwachukua kwa nguvu wachezaji...

Habari za SiasaTangulizi

LIVE- Rais Samia anazindua Chuo cha Ulinzi

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majenzi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumapili, tarehe 14 Novemba 2021, anazindua Chuo...

Habari za SiasaTangulizi

MIAKA 60 UHURU: Shibuda atema nyongo hali ya kisiasa Tanzania

  ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa Tanzania, John Shibuda amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan aimarishe hali ya kisiasa na kidemokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia aitaka Serikali itoke mafichoni mgawo wa maji, wamachinga

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali itoke hadharani, ili itoe majibu dhidi ya changamoto za mgawo maji na sakata...

Tangulizi

Kisa mbolea, Majaliwa atoa maagizo kwa Ma-RC

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa (RC) hasa ya mipakani kutozuia wananchi kuingiza mbolea kutoka nje ya nchi...

Tangulizi

Polisi Tanzania yazindua rasmi jezi zake

  KLABU ya Polisi Tanzania, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara imezindua rasmi jezi zake ambazo watazitumia kwenye msimu huu mpya ulioanza hivi karibuni...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wamkataa shahidi, waweka pingamizi tena

  MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wamkataa shahidi, waweka pingamizi tena

  MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Askari Msemwa aeleza alivyowapokea Kasekwa, Ling’wenya

  ASKARI Mpelelezi (Detective Constable-DC), Ricardo Msemwa, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed...

Tangulizi

Stars basi tena, yatupwa nje kufuzu kombe la Dunia

  TIMU ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) imetupwa nje rasmi kwenye kinyang’anyiro cha kufuzu kwa fainali za kombe la Dunia mara baada...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaelezwa sababu mwenzake Mbowe kuhamishiwa Kituo cha Polisi Mbweni

  MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Arumeru, Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe washinda pingamizi la pili

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea kitabu cha kumbumbuku za mahabusu,...

Habari za SiasaTangulizi

Kitabu cha mahabusu chaahirisha kesi ya Mbowe

  KITABU cha mahabusu cha Kituo kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, kinachoonesha taarifa za Mohammed Abdillah Ling’wenya, kuwekwa katika mahabusu ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aibana Serikali takwimu za Corona, Dk. Mollel ampa makavu

  MBUNGE wa Viti Maalum, Halima Mdee ameitaka Serikali kutoa takwimu sahihi kuhusu Watanzania waliofariki kutokana na maambukizi ya homa ya mapafu COVID-...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wapinga kitabu cha mahabusu

  MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameweka pingamizi dhidi ya kitabu cha...

Habari za SiasaTangulizi

Waliofukuzwa CUF watema nyongo

  SIKU moja baada ya Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kuwafukuza wanachama wake nane kwa tuhuma mbalimbali, wahusika wamepanga...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ndogo ya Mbowe yaanza, Jamhuri kutumia mashahidi sita na vielelezo 4

  KESI ndogo ndani ya kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeanza kusikilizwa, Mahakama Kuu, Divisheni...

Tangulizi

Kesi ya Mbowe yaahirishwa, kesi ndogo kuunguruma kesho

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano mkoani Dar es Salaam, imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya uhujumu uchumi,...

Tangulizi

Nape ataka utawala wa Rais Magufuli uchunguzwe

  MBUNGE wa Mtama mkoani Lindi nchini Tanzania, Nape Nnauye ametaka uchunguzi maalumu ufanyike katika akaunti ya deni la Taifa katika kipindi cha...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mahakama yatupa pingamizi lingine la kina Mbowe

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...

Tangulizi

Maajabu ya kocha mpya Simba

  KLABU ya Simba inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, imefanikiwa kumpata mrithi wa Didier Gomes, ambaye ni Pablo Franco kocha kutoka nchini Hispania...

Habari za SiasaTangulizi

Hati ya ukamatiji yaibu mvutano kesi ya Mbowe, yaahirishwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imeahirisha usililizwaji wa kesi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyewapekua wenzake Mbowe afunguka mahakamani

  AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ametoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wapinga hati ya ukamataji, Jaji aahirisha kesi

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameipinga hati ya kukamatwa watuhumiwa wawili...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mkuu wa upelelezi Arumeru anaeleza alichoshuhudia

  AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa...

error: Content is protected !!