December 1, 2021

Uhuru hauna Mipaka

LIVE- Rais Samia anazindua Chuo cha Ulinzi

Spread the love

AMIRI Jeshi Mkuu wa Majenzi ya Ulinzi na Usalama nchini Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan leo Jumapili, tarehe 14 Novemba 2021, anazindua Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC). Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam …(endelea).

Chuo hicho kimejengwa Kunduchi jijini Dar es Salaam kwa msaada wa China na Tanzania chenye thamani ya zaidi ya Sh.67 bilioni.

Fuatilia uzinduzi huo:-

error: Content is protected !!