MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemteua Dadi Horace Kolimba kuwa Mkuu wa Wilaya (DC) ya Karatu mkoani Arusha. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Uteuzi...
By Kelvin MwaipunguDecember 4, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa rai kwa wafanya biashara wadogo wadogo ‘machinga’ kuwa wavumilivu katika kipindi hiki kwa kuwa kazi ya kuwaondoa barabarani...
By Masalu ErastoDecember 4, 2021RAIS Samia amesema kuna makundi yaliyopo ndani ya serikali ambayo yanaendekeza ubadhirifu na kugeuka kusema kwamba ufisadi na mambo ya hovyo yamerudi...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MOTO umewaka ndani ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) pamoja na Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC), baada ya Rais Samia...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni, Dar es Salaam, nchini Tanzania, imekubali ombi la mwandishi mwandamizi wa habari nchiniwanahabari mkongwe, Saed Kubenea, kuondoa...
By Kelvin MwaipunguDecember 3, 2021ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kutinga mahakamani, kesho Ijumaa, tarehe 3 Desemba 2021, ili kujibu...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi maadhimisho ya sherehe za uhuru wa miaka 60 Tanzania Bara na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema ili nchi iondokane na upungufu wa sukari, inahitajika uongozi madhubuti katika kusimamia uzalishaji wake....
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga...
By Regina MkondeDecember 1, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameitumia salamu za pongeza timu ya taifa ya soka la wenye ulemavu ‘Tembo Warriors’ kwa kufuzu...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021MSHAMBULIAJI wa Psg na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi, ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or ya mchezaji bora...
By Kelvin MwaipunguNovember 30, 2021BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi karibuni Bungeni ya...
By Mwandishi WetuNovember 30, 2021HATUA ya kufunguliwa kesi mahakamani, kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda na mtu binafsi, kumeelezwa...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea barua ya utetezi katika kesi ndogo...
By Regina MkondeNovember 29, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasili Uwanja wa Ndege wa Chato mkoani Geita. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Amewasili saa 3 asubuhi ya leo...
By Mwandishi WetuNovember 29, 2021TIMU ya Simba ya Tanzania imeibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Red Arrows ya Zambia katikap Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini...
By Mwandishi WetuNovember 28, 2021SERIKALI za Tanzania na Uganda zimekubaliana mambo saba katika nyanja mbalimbali kwa lengo la kuimarisha uhusiano pamoja na ushirikiano wa nchi hizo...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MKUU wa Majeshi ya Ulinzi nchini, Jenerali Venance Mabeyo, amewaomba wananchi watoe ushirikiano kwa vyombo vya ulinzi na usalama katika kukabiliana na...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021HATIMAYE Paulo Christian Makonda, ameburuzwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kinondoni, jijini Dar es Salaam, kujibu mashitaka ya jinai yanayomkabili. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuNovember 27, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ba wenzake, wameiomba Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...
By Regina MkondeNovember 26, 2021VIONGOZI wawili wa madhehebu ya Kikristo, Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Fredrick Shoo na Mkuu wa...
By Mwandishi WetuNovember 26, 2021MAWAKILI wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umemaliza kuwasilisha hoja zao za kupinga...
By Regina MkondeNovember 26, 2021MOHAMED Abdillah Ling’wenya, ambaye ni mshtakiwa wa tatu katika kesi ya ugaidi inayomkabili yeye na wenzake watatu akiwemo, Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umeweka pingamizi dhidi ya kupokelewa kwa...
By Regina MkondeNovember 25, 2021UPANDE wa Jamhuri katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umefunga ushahidi...
By Regina MkondeNovember 25, 2021Dar es Salaam. Joto la mashindano ya kimataifa ya urembo ya Miss East Africa 2021 limeanza kupanda ambapo washiriki wa mashindano hayo...
By Mwandishi WetuNovember 25, 2021JUMLA ya wanafunzi 907,802 waliofaulu mtihani wa darasa la saba mwaka huu wamechaguliwa kujiunga na kidato cha mwaka mwaka 2022. Anaripoti Mwandishi...
By Masalu ErastoNovember 24, 2021MAWAKILI wa utetezi, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...
By Regina MkondeNovember 24, 2021INSPEKTA Rugawa Issa Maulid (42), Kaimu Mkuu wa Kituo cha Polisi Tazara, amekata kufikishwa kituoni hapo kwa watuhumiwa wa kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeNovember 24, 2021SERIKALI imesema imeamua kuondoa vikwazo vya elimu hususani kwa wasichana ambao wamekatisha masomo yao kwa kukumbwa na matatizo mbalimbali ikiwamo kupata ujauzito....
By Danson KaijageNovember 24, 2021BONDIA mstaafu raia wa Marekani, Mike Tyson ameteuliwa na Serikali ya Malawi kuwa balozi wa bangi nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu …...
By Mwandishi WetuNovember 23, 2021KAMPUNI ya Gsm imeingia mkataba wa miaka miwili wa udhamini mweza wa Ligi Kuu Tanzania Bara na Shirikisho la Mpira wa Miguu...
By Kelvin MwaipunguNovember 23, 2021KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, inaendelea leo Jumanne, tarehe 23 Novemba 2021. Anaripoti Regina Mkonde…(endelea)....
By Regina MkondeNovember 23, 2021KITABUcha kumbukumbu ya mahabusu (DR) cha Kituo Kikuu cha Polisi, Dar es Salaam, kimeibua maswali baina ya shahidi wa Jamhuri na mawakili...
By Regina MkondeNovember 22, 2021KITABU cha kumbukumbu za mahabusu (DR), cha Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam, kimeendelea kuibua mkanganyiko katika kesi ya uhujumu uchumi,...
By Regina MkondeNovember 22, 2021MAHAKAMA ya kimataifa ya usuluhishi wa michezo ‘CAS’ imetupilia mbali Rufaa ya klabu ya Yanga, dhidi ya mchezaji Bernad Morrison Raia wa Ghana...
By Kelvin MwaipunguNovember 22, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, imekubali kupokea kitabu cha kumbukumbu za...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MACHUNGU ya mgawo wa maji kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam nchini Tanzania yaliyodumu kwa takribani wiki tatu, yanaanza kupungua...
By Mwandishi WetuNovember 22, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu tarehe 22 Novemba 2021, itatoa uamuzi mdogo katika...
By Regina MkondeNovember 22, 2021WAKATI hali ya upatikanaji maji ikizidi kuwa tete katika baadhi ya maeneo nchini Tanzania, chama tawala nchini humo- Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021ALIYEKUWA Mbunge wa Kilwa Kusini mkoani Lindi, Said Bungara ‘Bwege’, amelazwa katika wodi ya Sewahaji, Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), akiugua kwa...
By Mwandishi WetuNovember 21, 2021UONGOZI wa klabu ya Simba, umevitaka vyombo vya ulinzi na usalama kuchunguza tukio la penalti lilitokea kwenye mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,...
By Kelvin MwaipunguNovember 21, 2021SIKU chache baada ya Msanii wa Bongofleva, Rajab Abdul maarufu Harmonize au Konde Boy kutema cheche kuhusu mapito na changamoto alizokumbana nazo...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa wanawake wote nchini kujitokeza kwa wingi katika zoezi la sensa linalotarajiwa kufanyika mwaka 2022 pamoja...
By Mwandishi WetuNovember 20, 2021MABINGWA watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba ya jijini Dar es Salaam, imejipatia ushindi mnono wa 3-1 dhidi ya Ruvu Shooting....
By Mwandishi WetuNovember 19, 2021MJADALA juu ya mgawo wa umeme na uhaba wa maji, umeiweka Serikali ya Tanzania njia panda, baada ya baadhi ya viongozi wake...
By Gabriel MushiNovember 19, 2021JOACHIM Tiganga, Jaji anayesikiliza kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, ameiahirisha hadi Jumatatu, tarehe 22 Novemba...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021MAWAKILI wa pande mbili katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanachuana katika pingamizi la utetezi...
By Mwandishi WetuNovember 18, 2021UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, umepewa ‘diary’ aliyokutwa nayo kizimbani shahidi...
By Mwandishi WetuNovember 17, 2021