Tuesday , 7 May 2024

Tangulizi

MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).

MichezoTangulizi

Chama arejea Simba, atangazwa rasmi

  KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...

HabariHabari za SiasaTangulizi

Kigogo kujitosa kumrithi Ndugai

  KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Kama humpendi Samia mheshimu Mungu aliyempa urais

RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wafunda na kuwaonya mawaziri kutambua kuwa urais ni taasisi na sio mtu, hivyo kama hawampendi Samia aliyepo madarakani...

Tangulizi

Rais Samia amwapisha Balozi wa Kuwait, katibu mkuu

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili akiwemo, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Said Shaibu Mussa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwingine...

Habari za SiasaTangulizi

30 wajitosa kumrithi Ndugai, vigogo wapishana

  WANACHAMA 30 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitosa kumrithi Job Ndugai katika nafasi ya uspika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage,...

HabariTangulizi

Serikali ya Tanzania yaagiza uchunguzi ajali za wanahabari

  SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uchunguzi dhidi ya wimbi la wanahabari kupata ajali, wakiwa katika misafara ya viongozi wa umma. Anaripoti Regina Mkonde,...

HabariTangulizi

#LIVE- Miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar

  LEO Jumanne tarehe 12 Januari 2022, Zanzibar inasherekea miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu yaliyotokea mwaka 1994. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais wa Zanzibar,...

HabariTangulizi

Shahidi: Mbowe hakukamatwa sababu ya katiba

  MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakukamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa sababu ya harakati za...

HabariTangulizi

Ajali yaua 14 Mwanza, wamo waandishi 6, Rais Samia awalilia

WATU 14 wamefariki dunia wakiwemo waandishi wa habari sita wa Mkoa wa Mwanza baada ya gari waliokuwa wakisafiri kwenda Ukerewe mkoani humo kugongana...

MichezoTangulizi

Yanga hoi kombe la Mapinduzi wavuliwa ubingwa, Azam FC yatinga fainali

  KLABU ya Soka ya Yanga imevuliwa rasmi ubingwa wa kombe la Mapinduzi mara baada ya kuondolewa na Azam Fc katika mchezo wa...

Habari za SiasaTangulizi

9 wajitosa CCM kumrithi Ndugai

  WANACHAMA tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania wamejitosa kuchukua fomu kuwania uspika wa Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage,...

Tangulizi

Kesi ya Mbowe: Mahakama yagoma kupokea vielelezo vya Jamhuri

  MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea mali zinazodaiwa kuwa za mshtakiwa wa...

Tangulizi

Rais Samia awapa kazi maalumu Prof. Kabudi, Lukuvi

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Profesa Palamagamba Kabudi na William Lukuvi ambao amewaweka kando katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, anawapa kazi...

Habari za SiasaTangulizi

#LIVE: Rais Samia akiapisha baraza la mawaziri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, analiapisha Baraza lake la mawaziri aliloliteua mwishoni mwa wiki iliyopita....

Habari za SiasaTangulizi

Mawaziri wanawake Tanzania wafikia 9

    IDADI ya wanawake katika baraza jipya la mwaziri nchini Tanzania litakaloapishwa leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, Ikulu ya Chamwino jijini...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya kina Mbowe kuendelea leo, Mahakama kutoa uamuzi

  KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, itaendelea leo Jumatatu, tarehe 10...

Habari za SiasaTangulizi

Pwani yazipiga ‘bao’ Dar, Moro baraza la mwaziri

  MKOA wa Pwani nchini Tanzania, ‘umepiga bao’ mikoa mingine nchini humo kwa kutoa mawaziri na naibu mawaziri watano katiba Baraza la Mawaziri....

Habari za SiasaTangulizi

Shaka: CCM hakuna mpasuko, Ndugai sio wa kwanza

WAKATI Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akisema ndani ya CCM kuna ‘homa ya urais’...

Habari za SiasaTangulizi

CCM yaanza kumsaka mrithi wa Ndugai

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza kuanza mchakato wa kumsaka mrithi wa nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia apangua mawaziri 9, manaibu 3

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua Manaibu mawaziri watano, Mavunde arudi, Ridhiwani Kikwete apenya

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mawaziri wapya, Nape, Pindi Chana ndani

  RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8 Januari, 2022 amefanya mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri na nafasi za makatibu wakuu na...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaonya UVCCM “acheni kudhalilishana”

  MWENYEKITI wa chama tawala nchini Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan amewaonya vijana wa chama hicho, kuacha kudhalilishana wakati...

Habari za SiasaTangulizi

Shughuli za Bunge zasimamishwa Tanzania

  KATIBU wa Bunge la Tanzania, Nenelwa Mwihambi ametangaza kusitisha shughuli zote za Bunge ikiwemo kamati za Bunge zilizokuwa zikutane kuanzia tarehe 10...

Habari za SiasaTangulizi

Tundu Lissu anazungumzia kung’oka kwa Spika Ndugai

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, Tundu Lissu anazungumza na umma kwa njia ya mtandao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Bunge la Tanzania ajiuzulu

  JOB Ndugai, Spika wa Bunge la Tanzania, amejizulu nafasi hiyo leo Alhamisi 6 Januari 2022. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Ndugai...

Habari MchanganyikoTangulizi

Tanesco yatanagza bei mpya kuunganisha umeme

  SHIRIKA la Umeme Tanzania (Tanesco), limetangaza bei mpya ya kuunganisha umeme mijini na vijijini kuanzia leo Jumatano tarehe 5 Januari 2022. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia aagiza bei ya kuungiwa umeme ipande, Waziri Makamba asema…

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametoa agizo la kufutwa kwa kiasi cha awali cha Sh.27,000, kilichokuwa kinatozwa na Shirika la Umeme...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu wa kung’oa Spika madarakani

  WAKATI joto la kuachia madaraka kwa Spika wa Bunge, Job Ndugai likiendelea kushika kasi, Kanuni za Kudumu za Bunge, Toleo la Juni...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atangaza kufanya mabadiliko mawaziri, makatibu wakuu…

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameutangazia umma wa Watanzania kuwa hivi karibuni atafanya mabadiliko ya nafasi za viongozi mbalimbali wa Serikali anayoiongoza kuanzia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ‘amlipua’ Spika Ndugai

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewapongeza wenyeviti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kusimama kutetea mkopo wa Sh.1.3 trilioni. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Mabadiliko yaja baraza la mawaziri Tanzania

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaweza muda wowote kuanzia sasa, akafanyika mabadiliko makubwa ndani ya Baraza lake la Mawaziri. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai: Nimekosa mimi, nimekosa sana, nisameheni

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amemwomba radhi, Rais Samia Suluhu Hassan na Watanzania wote waliokwazika kutokana na kauli aliyoitoa kuhusu...

Habari za SiasaTangulizi

Spika Ndugai alipasua Taifa

  MJADALA kuhusu kauli ya Spika wa Bunge, Job Ndugai,  iliyodai  iko siku nchi itapigwa mnada kutokana na kuelemewa na madeni, umezidi kushika kasi,...

HabariTangulizi

Hotuba ya Rais Samia ya kuuaga mwaka 2021, kuukaribisha 2022

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa tarehe 30 Desemba 2021, ametoa hotuba ya kuufunga mwaka 2021 na kuukaribisha mwaka mpya...

Tangulizi

Rais Samia azungumzia janga la UVIKO-19, chanjo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewasihi wananchi kuendelea kuchukua tahadhari ya virusi vya korona (UVIKO-19) na kujitokeza kupata chanjo. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu, Lema kurejea Tanzania Machi 202

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema Bara, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Kanda ya Kaskazini, Gobless Lema, wanatarajia kurudi nchini Tanzania kati...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu amweka mtegoni Rais Samia kuhusu miradi ya JPM

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amemshauri Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, aipige chini miradi ya...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Mwinyi awakabidhi zigo la uchumi wa bluu Diaspora

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Mwinyi, amewaomba Wazanzibar wanaoishi nje ya nchi ‘Diaspora’, washirikiane na Serikali yake katika kuimarisha uchumi wa visiwa...

Habari za SiasaTangulizi

UVCCM yamkaanga Spika Ndugai

  UMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), umehoji kwa nini makelele juu ya Serikali kukopa fedha za utekelezaji miradi ya maendeleo,...

Habari MchanganyikoTangulizi

RPC Dar: Suala la Askofu Mwingira linashughulikiwa makao makuu

  SAKATA la kuhojiwa Askofu wa Kanisa la Efatha, Josephat Mwingira, juu ya madai yake ya kwamba alinusurika kuuawa na watu wa Serikali,...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu ajipanga upya, kurejea Tanzania

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, leo Ijumaa tarehe 31 Desemba 2021, anatarajiwa kuhutubia Taifa,...

Tangulizi

‘Hausiboi’ adaiwa kuua bosi wake

  JESHI la Polisi Mkoani wa Arusha, linamsaka mfanyakazi wa ndani (jina linahifadhiwa), akituhumiwa kuua mwajiri wake, Janerose Dewasi (66) mkazi wa Njiro...

Habari MchanganyikoTangulizi

Watanzania walivyoonja machungu ya 2021

  MWAKA wa 2021, unaofika tamati leo Ijumaa ya tarehe 31 Desemba, umeacha machungu katika maisha ya Watanzania. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es...

Habari MchanganyikoTangulizi

Sakata la Nabii Mwingira pasua kichwa, Polisi yasema…

  SAKATA la Kiongozi wa Kanisa la Efatha nchini Tanzania, Mtume na Nabii Josephat Mwingira limechukua sura mpya baada ya Jeshi la Polisi...

Tangulizi

Charles Hilary ateuliwa Ikulu Z’bar

  RAIS wa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua mtangazaji mkongwe nchini, Charles Hilary kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mawasiliano Ikulu. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

CCM wamkalia ‘kooni’ Spika Ndugai

  SPIKA wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ameendelea kukaliwa ‘koo’ na chama chake baada ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Singida...

Habari za SiasaTangulizi

Lissu kuanika mikakati ya Chadema 2022

  MAKAMU mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu, ataitaja mikakati ya chama hicho kuelekea 2022, kesho tarehe...

MichezoTangulizi

Kagere, Wawa, Banda wavunjiwa mikataba Simba

  KLABU ya soka ya Simba imevunja mikataba ya nyota wake wanne wa kigeni wakiwemo mastaa wao aliokuwa tegemeo katika kikosi hicho kwa...

HabariTangulizi

Polisi yazungumzia sakata la Nabii Mwingira

  JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania limesema, linaendele na uchunguzi dhidi ya tuhuma mbalimbali zilizotolewa na Kiongozi...

error: Content is protected !!