MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
PETER Kibatala, Kiongozi wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu,...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu, tarehe 14 Februari 2022, Spika wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson anazungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022LEO Jumatatu tarehe 14 Februari 2022 ni siku ya wapendao ‘Valentine Day’ na ndani ya chumba cha Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa...
By Mwandishi WetuFebruary 14, 2022WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza wahandisi wa Wakala wa Barabara Vijijini (TARURA) kusimamia miradi kwa weledi, uadilifu na uaminifu huku wakizingatia ubunifu...
By Mwandishi WetuFebruary 12, 2022MAKAMU wa Rais Dk. Philip Mpango amewaagiza mawaziri watano kuelekea katika Bonde la Ihefu na kufanya tathmini ya uharibifu wa mazingira katika...
By Kelvin MwaipunguFebruary 12, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amewaomba radhi watu aliowakwaza katika mgogoro wake na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama...
By Regina MkondeFebruary 12, 2022NAIBU Spika wa Bunge, Mussa Azan Zungu, amewaeleza wabunge kuwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, uko mbioni hivyo washirikiane kutekeleza miradi ya Serikali....
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, kuanzia sasa Serikali itagharamia matibabu yote anayopata aliyekuwa Mbunge wa Mikumi (Chadema), Joseph Haule maarufu...
By Danson KaijageFebruary 11, 2022SPIKA wa Bunge la Tanzania, Dk. Tulia Ackson amewakumbusha wabunge kuzingatia uvaaji wa mavazi yanayoruhusiwa kikanuni na kuwa tayari kwa jambo lolote...
By Kelvin MwaipunguFebruary 11, 2022RAIS wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Daktari Akinwumi Adesina, amezuru katika kaburi la aliyekuwa Rais wa Tanzania wa Awamu ya Tano,...
By Mwandishi WetuFebruary 11, 2022SERIKALI ya Tanzania imeyafungulia magazeti manne yaliyofungiwa ya MwanaHALISI, Mseto, Tanzania Daima na Mawio. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajia kuondoka nchini kuelekea Ufaransa na baadaye Ubelgiji kwa ajili ya ziara ya kikazi katika nchi hizo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022BEKI wa kati wa klabu ya Simba, Raia wa Ivory Coast Pascal Wawa, amefunguka kotocheza kwa presha kwenye mchezo wa michuano ya...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022WAZIRI wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Angelina Mabula ameapishwa kushika wadhifa huo ambao awali ulikuwa chini ya Wiliam Lukuvi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuFebruary 9, 2022TUMAIN Swila, Shahidi wa 13 wa Jamhuri katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu amedai wakati...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai uhamisho wake wa muda kutoka Ofisi ya Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kinondoni leo Jumanne tarehe 8 Februari 2022, imetoa amri ya kutangazwa gazetini, nyumba aliyoishi Masaki na au kijijini...
By Mwandishi WetuFebruary 8, 2022MKAGUZI wa Jeshi la Polisi Tanzania, Tumaini Swila, amedai Justine Kaaya, aliyekuwa msaidizi wa Lengai Ole Sabaya, akiwa Mkuu wa Wilaya ya...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan leo tarehe 7 Februari 2022 amezuru kaburi la Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere nyumbani kwake Butiama mkoani...
By Mwandishi WetuFebruary 7, 2022WABUNGE wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM) wameanza kujitosa kuchukua fomu kuomba kuteuliwa na chama hicho kugombea nafasi ya...
By Mwandishi WetuFebruary 5, 2022ALIYEKUWA Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana ya Chama cha Wananchi (JUVICUF), Hamidu Bobali, amejiunga na ACT-Wazalendo na kupokelewa na Katibu Mkuu wa...
By Regina MkondeFebruary 5, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba, amewaita wanachama wa chama hicho waliokimbilia ACT-Wazalendo, warejee ili waweze kuchukua nafasi za...
By Regina MkondeFebruary 5, 2022MKAGUZI wa Polisi, Tumaini Swila (46), amedai aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Ramadhani Kingai, alimuagiza...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022WAKILI maarufu Alute Mughwai Lissu, kaka wa kiongozi wa chama cha siasa cha upinzani Tanzania cha Chadema, Tundu Lissu ametambulishwa mahakamani kama...
By Mwandishi WetuFebruary 4, 2022BAADHI ya vigogo na wanachama wa Chama cha ACT-Wazalendo, wanaodaiwa kutoridhika na mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa chama hicho, wako mbioni...
By Regina MkondeFebruary 4, 2022MWANAHABARI mkongwe nchini Tanzania, Saed Kubenea, anakusudia kuiomba Mahakama ya Kinondoni, itoe wito mpya kwa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
By Mwandishi WetuFebruary 3, 2022WIZARA ya Nishati imesema baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuagiza mgawo wa umeme usiwe mkali, wizara ilikaa na watalaam wake na kupata...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2022SERIKALI imepanga kuanza kupita kila kijiji, mtaa, wilaya, halmashauri na mkoa kusaka vijana wenye vipaji vya sanaa mbalimbali ili kuwasaidia. Anaripoti Kelvin...
By Kelvin MwaipunguFebruary 2, 2022CHAMA cha Wanasheria wa Tanganyika (TLS), kimeishauri Serikali ya Tanzania iwatumie mawakili wazawa, ili kuwaongezea ujuzi na kupunguza gharama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)....
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2022LEO Jumatano tarehe 2 Februari 2022 ni kilele cha maadhimisho ya Siku ya Sheria nchini Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mgeni rasmi kwenye...
By Mwandishi WetuFebruary 2, 2022KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa Chama Cha Mapinduzi( CCM), Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka ameiagiza Wizara ya Maliasili...
By Masalu ErastoFebruary 1, 2022MAKAMU Mwenyekiti wa Chadema-Bara nchini Tanzania, Tundu Lissu na Mwenyekiti wa chama hicho Mkoa wa Arusha, Goodbless Lema, wanadaiwa kwenda kuishi uhamishoni...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2022MBUNGE wa Mbeya Mjini, Dk. Tulia Ackson (CCM) ameibuka kidedea katika nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2022SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio amemtaka...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2022LEO Jumanne, tarehe 1 Februari 2022, Bunge la Tanzania linafanya uchaguzi wa Spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2022DAKTARI Tulia Ackson, ametangaza kujiuzulu nafasi ya naibu spika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea). Taarifa ya kujiuzulu...
By Mwandishi WetuFebruary 1, 2022FEDHA kiasi cha Sh. 699,000, zinazodaiwa kutolewa na Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe mwaka 2020 kwa ajili ya kufadhili vitendo vya kigaidi,...
By Regina MkondeJanuary 31, 2022JESHI la Polisi limetoa ufafanuzi kuhusu utata wa tukio la kujinyonga hadi kufa kwa Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Polisi, Grayson Mahembe...
By Kelvin MwaipunguJanuary 31, 2022ASKARI wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Luteni Denis Urio, amedai hakuamini kama Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, anaweza kufanya vitendo...
By Mwandishi WetuJanuary 31, 2022MWENYEKITI mpya wa chama cha upinzani nchini Tanzania-ACT Wazalendo, Juma Duni Haji maarufu Babu Duni amewashukuru wote waliomchagua kushika wadhifa huo. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 30, 2022KIONGOZI wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe, amesema chama chake kimeteua watu wa kufuatilia utendaji wa wizara na taasisi za Serikali. Anaripoti...
By Regina MkondeJanuary 29, 2022CHAMA cha ACT Wazalendo kimezindua mfumo wa usajili wa kisasa wa wanachama wa chama hicho uliopewa jina la ‘ACT Kiganjani’ wenye lengo...
By Mwandishi WetuJanuary 29, 2022KIONGOZI wa Jopo la Mawakili wa Utetezi, Wakili Peter Kibatala, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na...
By Regina MkondeJanuary 28, 2022SHAHIDI wa Jamhuri, katika kesi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Luteni Denis Urio, amedai mwanasiasa...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, Luteni Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakutaka kuzungumzia ugaidi kwenye mawasiliano ya simu, bali...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imewaamuru watu waliofika mahakamani hapo kusikiliza kesi ya uhujumu...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022WATU wawili wamefariki dunia na wengine nane kujeruhiwa vibaya baada ya lori aina ya Scania kugonga watu waliokuwa wanavuka barabara ya Morogoro...
By Mwandishi WetuJanuary 28, 2022MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imemuamuru Luteni Denis Urio, shahidi wa 12 Jamhuri, ajibu maswali...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022