MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kwa muda kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022LUTENI Denis Urio, shahidi wa 12 wa Jamhuri, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, katika nyakati tofauti alimpatia Sh. 699,000, kwa ajili...
By Regina MkondeJanuary 27, 2022SERIKALI ya Tanzania imesema hadi kufikia tarehe 23 Januari, 2022 jumla ya Watanzania 33,000 wamethibitika kuwa na maambukizi na watu 781 wamepoteza...
By Mwandishi WetuJanuary 27, 2022SHAHIDI wa 12 wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, ASKARI wa Jeshi la...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022OFISA wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Denis Urio, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, alimueleza anatafuta kampuni za...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022LUTENI wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Dennis Urio (42), amepanda kizimbani kutoa ushahidi wake, katika kesi ya ugaidi...
By Regina MkondeJanuary 26, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kuyafanyia kazi mapendekezo matano, yaliyotolewa na wafanyabiashara wadogo nchini ‘wamachinga’, ili kuiboresha sekta hiyo. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu wawili, kwa tuhuma za kuhusika katika mauaji ya Barke Pesa Rashid (30),...
By Regina MkondeJanuary 25, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kuendelea kuifungua Tanzania kwa kujenga barabara katika maeneo mbalimbali nchini...
By Mwandishi WetuJanuary 25, 2022KIUNGO mkabaji Raia wa Jamhuri ya Congo, Mukoko Tonombe amekamilisha usajili wake na kijiunga na klabu ya Tp Mazembe ya nchini mwao,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 25, 2022KESI ya uhujumi uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeahirishwa hadi Jumatano, tarehe 26 Januari 2022, kutokana na shahidi...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai, Goodluck Minja, amedai hafahamu kama ripoti ya uchunguzi wa tukio la aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema),...
By Regina MkondeJanuary 24, 2022WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa wiki mbili kwa Bohari ya Dawa (MSD) ihakikishe kuanzia leo Jumapili tarehe 23 hadi 5...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022ALIYEKUWA Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Christian Makonda, sasa ameamriwa kufika mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama...
By Mwandishi WetuJanuary 23, 2022LICHA ya kukaribishwa na wimbo wa simba jike katika uzinduzi wa Tamasha la utamaduni mkoa Kilimanjaro, Rais Samia Suluhu Hassan amesema yeye...
By Mwandishi WetuJanuary 22, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amewaomba wananchi wa mkoa huo kupunguza matayarisho ya kinywaji maarufu mkoani humo cha pombe aina ya mbege, ili...
By Masalu ErastoJanuary 22, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Goodluck Minja, amedai washtakiwa wawili katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi James Mbatia amefungua Shauri namba 2 la Kikatiba la mwaka 2022 kuzuia uchaguzi wa Spika, akidai mchakato...
By Seleman MsuyaJanuary 21, 2022MPELELEZI wa Makosa ya Jinai katika Kituo Kikuu cha Polisi Arusha, Askari Polisi namba H4347 Goodluck, amedai Aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi wa...
By Regina MkondeJanuary 21, 2022Rais Samia Suluhu Hassan ametoa salamu za pole kwa Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango kufuatia kifo cha kaka yake Askofu Mstaafu...
By Mwandishi WetuJanuary 21, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania – Chama Cha Mapinduzi (CCM), imempitisha Dk. Tulia Ackson kuwa mgombea wa kiti cha Spika...
By Mwandishi WetuJanuary 20, 2022MCHUNGUZI wa vifaa vya kidigitali wa Jeshi la Polisi Tanzania, Innocent Ndowo (37), amedai hajawasilisha mahakamani sauti za mawasiliano baina ya Mwenyekiti...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amesema hana ugomvi na shahidi wa Jamhuri, Innocent Mdowo (37), kwani ni...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022SHAHIDI wa Jamhuri, Innocent Ndowo (37) ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania kuwa, uchunguzi alioufanya wa mawasiliano...
By Regina MkondeJanuary 20, 2022CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimesogeza mbele vikao vyake kikiwamo cha kamati kuu kutoka jana Jumanne, tarehe 18 Januari...
By Mwandishi WetuJanuary 19, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wamemhoji Mchunguzi wa Kitengo cha Uchunguzi...
By Regina MkondeJanuary 19, 2022MKAZI wa Nyamanoro, Mkoa wa Tabora nchini Tanzania, Abdul Nassoro (49) amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya mkoani humo kwa tuhuma za...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022KAMATI Kuu ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kitakuwa na jukumu zito la kufyeka wagombea 67 kati ya 70...
By Mwandishi WetuJanuary 18, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku mkoa wa Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya kidato cha nne mwaka 2021 huku wasichana wakiongoza katika kundi la...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha nne 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kidato cha pili 2021. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea)...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta) leo Jumamosi tarehe 15 Januari 2022, limetangaza matokeo ya kujipima ya darasa la nne 2021. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuJanuary 15, 2022UPANDE wa utetezi, katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamemhoji shahidi wa Jamhuri, Gladys Fimbari...
By Regina MkondeJanuary 14, 2022KLABU ya soka ya Simba imetangaza rasmi kumrejesha kiungo wake raia wa Zambia Clatous Chama, mara baada ya kufanikiwa kumsajili tena akitokea...
By Kelvin MwaipunguJanuary 14, 2022KIGOGO mwandamizi nchini Tanzania, kati ya leo Ijumaa na kesho, anatarajiwa kujitosa katika kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Spika wa Bunge. Anaripoti...
By Mwandishi WetuJanuary 14, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema wafunda na kuwaonya mawaziri kutambua kuwa urais ni taasisi na sio mtu, hivyo kama hawampendi Samia aliyepo madarakani...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili akiwemo, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Said Shaibu Mussa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mwingine...
By Mwandishi WetuJanuary 13, 2022WANACHAMA 30 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitosa kumrithi Job Ndugai katika nafasi ya uspika wa Bunge la Tanzania. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJanuary 12, 2022SERIKALI ya Tanzania, imeagiza uchunguzi dhidi ya wimbi la wanahabari kupata ajali, wakiwa katika misafara ya viongozi wa umma. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Kelvin MwaipunguJanuary 12, 2022LEO Jumanne tarehe 12 Januari 2022, Zanzibar inasherekea miaka 58 ya Mapinduzi Matukufu yaliyotokea mwaka 1994. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Rais wa Zanzibar,...
By Mwandishi WetuJanuary 12, 2022MRAKIBU wa Polisi, Jumanne Malangahe, amedai Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, hakukamatwa na Jeshi la Polisi Tanzania kwa sababu ya harakati za...
By Regina MkondeJanuary 11, 2022WATU 14 wamefariki dunia wakiwemo waandishi wa habari sita wa Mkoa wa Mwanza baada ya gari waliokuwa wakisafiri kwenda Ukerewe mkoani humo kugongana...
By Mwandishi WetuJanuary 11, 2022KLABU ya Soka ya Yanga imevuliwa rasmi ubingwa wa kombe la Mapinduzi mara baada ya kuondolewa na Azam Fc katika mchezo wa...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022WANACHAMA tisa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) nchini Tanzania wamejitosa kuchukua fomu kuwania uspika wa Bunge la nchi hiyo. Anaripoti Danson Kaijage,...
By Danson KaijageJanuary 10, 2022MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea mali zinazodaiwa kuwa za mshtakiwa wa...
By Regina MkondeJanuary 10, 2022RAIS Samia Suluhu Hassan amesema Profesa Palamagamba Kabudi na William Lukuvi ambao amewaweka kando katika mabadiliko ya Baraza la Mawaziri, anawapa kazi...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, analiapisha Baraza lake la mawaziri aliloliteua mwishoni mwa wiki iliyopita....
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022IDADI ya wanawake katika baraza jipya la mwaziri nchini Tanzania litakaloapishwa leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, Ikulu ya Chamwino jijini...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022KESI inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, itaendelea leo Jumatatu, tarehe 10...
By Mwandishi WetuJanuary 10, 2022