January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Rais Samia amwapisha Balozi wa Kuwait, katibu mkuu

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewaapisha viongozi wawili akiwemo, Balozi wa Tanzania nchini Kuwait, Said Shaibu Mussa. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Mwingine ni Aisha S Amour kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi akishughulikia sekta ya Ujenzi.

Viongozi hao wameapishwa leo Alhamisi, tarehe 13 Januari 2022, Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

error: Content is protected !!