January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

#LIVE: Rais Samia akiapisha baraza la mawaziri

Spread the love

 

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo Jumatatu, tarehe 10 Januari 2022, analiapisha Baraza lake la mawaziri aliloliteua mwishoni mwa wiki iliyopita. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Pamoja na baraza la mawaziri, pia aliteua makatibu wakuu na naibu katibu wakuu ambao nao wanaapishwa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma.

Fuatilia moja kwa moja kinachoendelea

error: Content is protected !!