January 17, 2022

Uhuru hauna Mipaka

Tundu Lissu anazungumzia kung’oka kwa Spika Ndugai

Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa Chadema

Spread the love

 

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Kikuu cha Upinzani Tanzania- Chadema, Tundu Lissu anazungumza na umma kwa njia ya mtandao. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea).

Lissu anazungumza ikiwa ni siku moja imepita tangu Job Nduga alipotangaza kujizulu nafasi ya Spika wa Bunge la Tanzania.

Lissu yupo nchini Ubelgiji akisema, “tukio hili ambalo limetokea litukumbushe Katiba Mpya ni muhimu.”

error: Content is protected !!