MAIN STORY: Minimum – a picture, video, audio and pull-quote. It might also include a picture gallery, a text box (2 paragraphs – linking to a profile), a time line, a fact file (list of bullet points), Q&A, a map and embedded tweet(s).
HATMA ya kusikilizwa ama kutosikilizwa kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi iliyoko katika Mahakama Kuu, Divisheni...
By Regina MkondeSeptember 3, 2021KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, inaendelea kusikilizwa...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021KAMPUNI ya Johnson & Johnson kutoka nchini Marekani imesitisha majaribio ya chanjo ya Virusi Vya Ukimwi (VVU) Barani Afrika baada ya chanjo...
By Gabriel MushiSeptember 3, 2021WABUNGE wa Chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima wa Kawe, Jerry Silaa wa Ukonga na Humphrey Polepole...
By Danson KaijageSeptember 3, 2021WABUNGE watatu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), watawekwa ‘kitimoto’ na Kamati ya Maadili ya chama hicho, juu ya...
By Mwandishi WetuSeptember 3, 2021SARE ya bao 1-1, ilitosha kuifanya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kuondoka na pointi moja kwenye mchezo wa kusaka tiketi...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mkakati mpya kwa wanafunzi waliokatisha masomo kwa kupata ujauzito kuwawezesha kuwaendelea kimasomo. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo … (endelea)....
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021MBUNGE viti maalum (asiye na chama bungeni), Halima Mdee, amehoji mikakati ya ziada ya Serikali katika kukabiliana na Ugonjwa wa Korona (UVIKO-19)....
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021JESHI la Polisi nchini Tanzania limesema, Hamza Mohamed aliyewaua askari polisi watatu na mlinzi mmoja wa kampuni ya SGA kisha kuuawa, alikuwa...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema, tozo zitakazotozwa katika miamala ya simu Septemba na Oktoba 2021, zitakwenda kujenga vyumba vya madarasa...
By Masalu ErastoSeptember 2, 2021Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM) amekwepa kujibu swali la Rais Samia Suluhu Hassan kwamba atachaja au hachanji chajo ya Corona...
By Mwandishi WetuSeptember 2, 2021KAMATI ya maandalizi ya Tuzo za Umahiri wa Uandishi wa Habari Tanzania (EJAT) imesema jumla ya waandishi 59 wameteuliwa kuwania tuzo hizo...
By Masalu ErastoSeptember 1, 2021KESI ya ugaidi, inayomkabili mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, imepangwa kusikiliza Ijumaa wiki hii. Anaripoti...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk. Mwigulu Nchemba amewataka wamiliki nyumbaamewataka wasihamishie mzigo wa kodi ya majengo kwa wapangaji na badala yake...
By Mwandishi WetuSeptember 1, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi la Mwenyekiti wa Chadema, Freeman...
By Regina MkondeSeptember 1, 2021SERIKALI ya Tanzania, imefanya marekebisho ya tozo za miamala ya simu, kwa kupunguza viwango vyake kwa asilimia 30. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah, TUDARCo...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021MAWAKILI wanaomtetea Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika kesi ya kula njama za kufanya ugaidi, wameweka pingamizi kwa Mahakama Kuu...
By Regina MkondeAugust 31, 2021SAA chache baada ya Kamati ya Bunge ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge kutoa azimio la kuwasimamisha mikutano miwili wabunge wa...
By Gabriel MushiAugust 31, 2021WABUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Askofu Josephat Gwajima (Kawe) na Jerry Silaa (Ukonga), wamepewa adhabu ya kutohudhuria mikutano miwili mfululizo ya...
By Masalu ErastoAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, leo tarehe 31 Agosti, 2021, imemtia hatiani Mbunge wa Kawe, Askofu Josephat Gwajima (CCM)...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021KAMATI ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imemkuta na hatia Mbunge wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa, katika tuhuma za kudharau mhimili...
By Regina MkondeAugust 31, 2021MKURUGENZI Mstaafu wa Upelelezi na Makosa ya Jinai (DCI) Robert Manumba, amefariki dunia. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam … (endelea). Mwanaye...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021HATIMA ya gharama za tozo ya miamala ya simu kupungua au kubaki kama zilivyo itafahamika leo Jumanne tarehe 31 Agosti 2021. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 31, 2021WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wameangua kilio wakati mwenyekiti wao, Freeman Mbowe, akirudishwa rumande katika gereza la Ukonga, anakoshikiliwa...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeweka mapingamizi manne katika kesi ya kikatiba, iliyofunguliwa na Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akipinga utaratibu uliotumika kumkamata...
By Regina MkondeAugust 30, 2021VYAMA vya siasa vya upinzani nchini Tanzania, vimevutana katika kushiriki chaguzi ndogo za ubunge zinazotarajiwa kufanyika tarehe 9 Oktoba 2021, katika majimbo...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021SIRI ya Hamza Hassan Mohamed kumudu kutumia silaha na kuwaua askari watatu wa jeshi la polisi na mlinzi mmoja wa kampuni ya...
By Mwandishi WetuAugust 30, 2021ALIYEKUWA mgombea Ubunge wa Mkuranga (ACT-Wazalendo), Mkoa wa Pwani, Mhandisi Mohamed Mtambo, amerejea jimboni kuwashukuru wananchi kwa ushirikiano waliompa wakati wa kampeni za...
By Kelvin MwaipunguAugust 30, 2021YES ni siku kubwa. Kilele cha Wiki ya Wananchi. Hakuna ubishi hii ndiyo Yanga Afrika. Mabingwa wa Kihistoria nchini Tanzania. Anaripoti Wiston Josia,...
By Masalu ErastoAugust 29, 2021MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzania nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia amemwomba Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan kuwa...
By Masalu ErastoAugust 28, 2021JESHI la Polisi Ilala, Kanda Maalum ya Dar es Salaam nchini Tanzania, limezuia kikao cha kamati kuu ya chama cha siasa cha...
By Mwandishi WetuAugust 28, 2021INSPEKTA Jenerali wa Polisi nchini Tanzania (IGP), Simon Sirro amewataka askari polisi nchini humo wasimuamini kila mtu wanapokuwa katika majukumu yao ya...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021VILIO na simanzi vimetawala wakati miili ya askari polisi watatu na mlinzi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA, ikiagwa katika viwanja vya...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi wa marudio wa ubunge katika majimbo ya Konde mkoa wa Kaskazini Pemba na Ushetu...
By Masalu ErastoAugust 27, 2021MBUNGE wa Ukonga (CCM), Jerry Silaa ametaja sababu tatu, ikiwemo kwenda kwenye mazishi jijini Arusha na kutokuwa sawa kiafya, zilizomfanya jana Alhamisi,...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamshikilia Mohamed Jumaa (37), maarufu maarufu Lardh JM, Mkazi wa Kariakoo, kwa tuhuma...
By Mwandishi WetuAugust 27, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Josephat Gwajima, ameendeleza mgomo wake wa kutotumia viti alivyopangiwa kutumia, wakati akihojiwa na Kamati...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021HALI ya takaruki imeibuka eneo la daraja la Salender jijini Dar es Salama nchini Tanzania baada ya milio ya risasi kati ya...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi nchini humo kurekebisha sheria ya kuweka mtu mahabusu pamoja na kufuta kesi ambazo...
By Gabriel MushiAugust 25, 2021MUUNDO wa sasa wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), uko mbioni kufanyiwa marekebisho makubwa ya kisheria, baada ya kuibuka malalamiko kutoka...
By Mwandishi WetuAugust 25, 2021ALIYEKUWA msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ametambulishwa rasmi ndani ya klabu ya Yanga, mara baada ya kuachana na wajiri wake...
By Kelvin MwaipunguAugust 24, 2021MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo, ameziomba mamlaka nchini Tanzania zitende haki katika kesi ya uhujumu...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Arusha, imepanga tarehe 1 Oktoba 2021, kutoa hukumu ya kesi ya unyang’anyi wa kutumia silaha, Na. 105/2021, inayomkabili...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021ASKOFU Josephat Gwajima ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Kawe na Jerry Silaa wa Jimbo la Ukonga mkoani Dar es Salaam kupitia...
By Mwandishi WetuAugust 24, 2021MBUNGE wa Kawe, mkoani Dar es Salaam (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameanza kuhojiwa na Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge,...
By Regina MkondeAugust 23, 2021UPANDE wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kula njama za kufanya ugaidi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu cha...
By Regina MkondeAugust 23, 2021UPANDE wa mashtaka katika kesi inayomkabili Kiongozi wa chama kikuu kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu...
By Regina MkondeAugust 23, 2021WATUMISHI watano Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kikosi kazi cha fast Track wamefariki dunia katika ajali ya gari eneo la Hanseketwa Oldvwawa...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania-Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimepata pigo baada ya meya wake wa Manispaa ya Shinyanga, David Nkulila kufariki dunia. Anaripoti...
By Mwandishi WetuAugust 23, 2021MBUNGE wa Kawe (CCM), Askofu Josephat Gwajima, ameishauri Serikali iitishe mdahalo wa wazi, ili kumaliza utata juu ya chanjo ya Ugonjwa wa...
By Mwandishi WetuAugust 22, 2021