September 25, 2021

Uhuru hauna Mipaka

Anayetafutwa na FBI apewa uongozi Afghanistan

Spread the love

 

SIKU chache baada ya kuung’oa madarakani uongozi wa Afghanistan, wanamgambo wa kundi la Taliban wametangaza serikali mpya ya mpito nchini humo. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea).

Pia, wamemteua Sirajuddin Haqqani mtuhumiwa wa ugaidi anayesakwa na Shirika la Upelelezi la Marekani (FBI) kuwa waziri wa mambo ya ndani ya nchi.

Serikali hiyo itaongozwa na Mullah Mohammad Hassan Akhund, huku mwanzilishi mwenzawa Taliban, Mullah Abdul Ghani Baradar atakuwa Naibu Waziri Mkuu.

Fuatilia kujua undani wa habari hi

 

error: Content is protected !!