SHAHIDI wa tatu wa Jamhuri, Koplo Hafidhi Abdllah Mohammed, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama...
By Regina MkondeOctober 29, 2021KOPLO Hafidh Abdallah Mohamed, mwenye namba F 5914 D ambaye ni shahidi wa tatu upande wa Jamhuri, ameanza kutoa ushahidi katika kesi...
By Regina MkondeOctober 29, 2021CHAMA kikuu cha siasa nchini Tanzania cha Chadema, kimeendelea kusisitiza umuhimu wa majadiliano baina yao na Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amewaangukia viongozi wa dini, kisiasa na Watanzania kwa ujumla, akiwaomba wapaze sauti zao ili mamlaka zimuache huru...
By Mwandishi WetuOctober 28, 2021SHAHIDI wa pili wa Jamhuri, Justine Elia Kaaya leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2021, ameendelea kutoa shahidi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 28, 2021MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa aliyekuwa Waziri mambo ya nje, Bernard Membe kiasi cha...
By Masalu ErastoOctober 28, 2021HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kuketi tarehe 31 Oktoba mwaka huu huku jambo kubwa likitarajiwa kumsaka mrithi...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021MAWAKILI wa utetezi, Jeremiah Mtobesya na John Mallya wamembana shahidi wa pili wa Jamhuri, Justin Elia Kaaya kuhusu maelezo aliyoyatoa kuhusu kesi...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021JUSTIN Elia Kaaya, shahidi wa pili wa Jamhuri ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam,...
By Regina MkondeOctober 27, 2021JUSTIN Elia Kaaya, aliyekuwa mfanyakazi wa Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...
By Regina MkondeOctober 27, 2021KIONGOZI mwandamizi katika mhimili mmoja wa Dola nchini Tanzania, anaweza kuitwa mahakamani kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Ramadhan Kingai amehitimisha kutoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye...
By Mwandishi WetuOctober 27, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeielekeza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kuendelea kutoa kipaumbele kwa kundi la watoto...
By Mwandishi WetuOctober 26, 2021MAHOJIANO aliyoyafanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kugusia kesi inayomkabili kiongozi wa chama...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Anaripoti Mwandishi...
By Kelvin MwaipunguOctober 26, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumanne tarehe 26 Oktoba 2021, itaendelea kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 25, 2021MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka InspektaJenerali wa Polisi (IGP), Simon...
By Mwandishi WetuOctober 24, 2021MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameuagiza Umoja Wanawake ya chama hicho (UWT), umpatie ripoti inayoonesha maendeleo ya mwanamke...
By Regina MkondeOctober 23, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan, ameagiza watafiti na waandishi katika fani za sayansi ya jamii, kuibua mchango wa Bibi Titi Mohamed, katika ukombozi...
By Regina MkondeOctober 23, 2021UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), umemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili, ikiwemo ukosefu wa mitaji...
By Mwandishi WetuOctober 23, 2021RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala bora. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021NCHI za Tanzania na Burundi, zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika mambo 10 muhimu ili kuimarisha uchumi wa pande zote mbili. Anaripoti Regina Mkonde,...
By Regina MkondeOctober 22, 2021MIAKA ya hivi karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kujiita au hata kuitwa ‘mwanamke wa nguvu’ lakini wengi wamemsahau Bibi Titi Mohammed, ambaye...
By Mwandishi WetuOctober 22, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua hoja zaidi ya kumi, kuhusu kasoro zilizojitokeza kwenye uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu, Divisheni ya...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupata suluhu ya sintofahamu zinazojitokeza nchini kwenye masuala...
By Mwandishi WetuOctober 21, 2021MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amesema hana mpango wa kugombea ubunge wa...
By Mwandishi WetuOctober 20, 2021CHAMA kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakijaridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amegoma kuidhinisha fedha kiasi cha Sh. milioni 47 zilizotakikana kutumiwa na Wakuu wa Idara na...
By Danson KaijageOctober 20, 2021JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani amejitoa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanga njama za ugaidi...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, nchini Tanzania imeyatupa mapingamizi mawili ya upande wa utetezi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...
By Regina MkondeOctober 20, 2021KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kiongozi wa mwisho wa Taifa hilo ni Hayati Baba...
By Regina MkondeOctober 20, 2021ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...
By Regina MkondeOctober 20, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa...
By Regina MkondeOctober 19, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehitimisha ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kurejea Ikulu ya...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021CHAMA cha siasa cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishwa na ofisi ya msajili wa vyama vya siasa na...
By Jonas MushiOctober 18, 2021TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetangaza uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ngorongoro, mkoani Arusha na Kata ya Naumbu mkoani Mtwara, ili...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu, amewaagiza viongozi wa mikoa, wilaya na halmashauri, kutowafumbia macho watumishi wa umma wanaojihusisha na vitendo vya wizi,...
By Regina MkondeOctober 18, 2021KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo, amesema wananchi wa Longido mkoani Arusha, kwa muda mrefu walikuwa wanakabiliwa na changamoto...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021WENYEVITI wa mikoa ya chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema wamesema, kilichomtokea Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai,...
By Jonas MushiOctober 18, 2021WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso, amesema katika kipindi cha miezi sita cha uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Serikali yake imetoa mabilioni...
By Regina MkondeOctober 18, 2021ALIYEKUWA mbunge wa Viti Maalum, kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Vick Kamata Servacius Likwelile, ameibuka na kueleza mambo mazito ambayo yeye na...
By Mwandishi WetuOctober 18, 2021MBUNGE wa Arusha Mjini nchini Tanzania kupitia chama tawala- (CCM), Mrisho Gambo, amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili Mkoa wa...
By Regina MkondeOctober 17, 2021ALIYEWAHI kuwa Diwani wa Sombetini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ally Bananga, ametangaza kurejea katika chama tawala cha Mapinduzi (CCM),...
By Regina MkondeOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imeombwa kuingilia kati changamoto zinazokwamisha huduma zinazotolewa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) na Mamalaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA)....
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021SERIKALI ya Tanzania, imesema haizuii mikutano ya vyama vya siasa bali mikutano inayozuiwa ni ile yenye viashiriavya kuhatarisha usalama wa nchi. Anaripoti...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021WAZIRI wa Viwanda na Biashara nchini Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo amesema, Serikali inaendelea kuzifanyia kazi changamoto kwenye bidhaa za ndani hususan kodi...
By Mwandishi WetuOctober 17, 2021MSEMAJI Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amesema Jeshi la Polisi nchini humo, linaendelea kufanya uchunguzi kuhusu tukio la kupotea kwa...
By Kelvin MwaipunguOctober 17, 2021MKUU wa Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga, Festo Kiswaga amesema siri ya Manispaa ya Kahama kuwa mshindi wa kwanza kitaifa katika kilele...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema hadi kufikia jana tarehe 15 Oktoba, 2021 jumla ya Watanzania 940,507 walikuwa wamekwishachanja chanjo ya Covid –...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan amesema sababu ya kuwapo kwa uhaba wa watumishi wa kada ya afya na elimu ni kutokana na mahesabu...
By Mwandishi WetuOctober 16, 2021