Friday , 3 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Bajeti 2022/23 ya Tanzania, watendaji wapewa maagizo 6

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa maagizo sita muhimu ambayo yanatakiwa kuzingatiwa kikamilifu na viongozi na watendaji wote wa Serikali wakati...

Habari za Siasa

Tanzania yazitengea benki trilioni 1 zishushe riba

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga Sh.1 trilioni kwa ajili ya mikopo kwa mabenki na taasisi za fedha kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wamkataa shahidi, waweka pingamizi tena

  MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wamkataa shahidi, waweka pingamizi tena

  MAWAKILI wa utetezi katika mashtaka ya ugaidi yanayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa barua inayomthibitisha askari...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Askari Msemwa aeleza alivyowapokea Kasekwa, Ling’wenya

  ASKARI Mpelelezi (Detective Constable-DC), Ricardo Msemwa, shahidi wa Jamhuri, katika kesi ndogo ya kupinga maelezo ya onyo ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed...

Habari za Siasa

Miezi tisa: Watoto 6,168 wafanyiwa ukatili Tanzania

  WIZARA ya Mambo ya Ndani nchini Tanzania, imesema kuanzia Januari hadi Septemba 2021, takwimu ya vitendo vya ukatili kwa watoto vilivyoripotiwa vituo...

Habari za Siasa

Waziri Makamba azungumzia uhaba dizeli, petroli

  WAZIRI wa Nishati nchini Tanzania, January Makamba amesema, mafuta ya dizeli yaliyopo kwenye matenki yanatosheleza kwa siku 24 huku petrol ikiwa ya...

Habari za Siasa

Dk. Nchemba: Tanzania haitoacha kukopa

  WAZIRI wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba  amesema serikali haiwezi kukwepa kukopa fedha kutoka nje ya nchi kwa kuwa bado inaendelea na...

Habari za Siasa

Mbunge ambana Majaliwa mpango kuwainua wanaume kiuchumi

  WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali haijafikiria kuanzisha mifuko ya kuwainua wanaume kiuchumi kwa kuwa wigo wa kupata mikopo upo lakini Serikali...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yaelezwa sababu mwenzake Mbowe kuhamishiwa Kituo cha Polisi Mbweni

  MKUU wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai wilayani Arumeru, Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe washinda pingamizi la pili

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea kitabu cha kumbumbuku za mahabusu,...

Habari za SiasaTangulizi

Kitabu cha mahabusu chaahirisha kesi ya Mbowe

  KITABU cha mahabusu cha Kituo kikuu cha Polisi cha Dar es Salaam, kinachoonesha taarifa za Mohammed Abdillah Ling’wenya, kuwekwa katika mahabusu ya...

Habari za Siasa

Aweso: Fedha, mabadiliko tabianchi kikwazo sekta ya maji

  WAZIRI wa Maji, Jumaa Awesso amesema licha ya kwamba wizara hiyo imepiga hatua kubwa tanguTanganyika ipate uhuru mwaka 1961, changamoto ya ukosefu...

Habari za SiasaTangulizi

Mdee aibana Serikali takwimu za Corona, Dk. Mollel ampa makavu

  MBUNGE wa Viti Maalum, Halima Mdee ameitaka Serikali kutoa takwimu sahihi kuhusu Watanzania waliofariki kutokana na maambukizi ya homa ya mapafu COVID-...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake wapinga kitabu cha mahabusu

  MAWAKILI wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameweka pingamizi dhidi ya kitabu cha...

Habari za SiasaTangulizi

Waliofukuzwa CUF watema nyongo

  SIKU moja baada ya Baraza Kuu la Chama Cha Wananchi (CUF) nchini Tanzania, kuwafukuza wanachama wake nane kwa tuhuma mbalimbali, wahusika wamepanga...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ndogo ya Mbowe yaanza, Jamhuri kutumia mashahidi sita na vielelezo 4

  KESI ndogo ndani ya kesi ya msingi ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, imeanza kusikilizwa, Mahakama Kuu, Divisheni...

Habari za Siasa

Rais Samia aondoka Tanzania kwenda Misri

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameondoka nchini humo kwenda Cairo, Misri kwa ajili ya ziara ya kiserikali ya siku tatu. Anaripoti...

Habari za Siasa

Mapingamizi yatawala kesi ya Mbowe, wenzake

  MAPINGAMIZI yametawala katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, tangu ilipoanza kusikilizwa katika Mahakama Kuu, Divisheni...

Habari za Siasa

Mahakama yaelezwa Mbowe alivyogoma kuandika maelezo polisi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu uchumi, Mawasiliano jijini Dar es Salaam, imeelezwa namna Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe,...

Habari MchanganyikoHabari za SiasaTangulizi

Mahakama yatupa pingamizi lingine la kina Mbowe

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, imekubali kupokea hati ya ukamataji mali wa washtakiwa Adam Kasekwa na Mohammed...

Habari za SiasaTangulizi

Hati ya ukamatiji yaibu mvutano kesi ya Mbowe, yaahirishwa

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imeahirisha usililizwaji wa kesi inayomkabili, Mwenyekiti wa Chadema,...

Habari za Siasa

Watanzania wanaoishi nje watumia trilioni 3.2, wanunua nyumba 135

  SERIKALI imesema idadi ya Watanzania wapatao milioni 1.2 wanaoishi nje ya nchi kwa kipindi cha miaka mitano iliyopita, wametuma nchini kupitia mifumo...

Habari za Siasa

CCM yapangua makatibu mikoa, wilaya

  CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi kimeendelea kujisuka upya kiuongozi baada ya kupanga-pangua makatibu wa mikoa na wilaya nchi nzima. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Aliyewapekua wenzake Mbowe afunguka mahakamani

  AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ametoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

Kina Mbowe wapinga hati ya ukamataji, Jaji aahirisha kesi

  UPANDE wa utetezi, katika kesi ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, wameipinga hati ya kukamatwa watuhumiwa wawili...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

Zitto achokonoa upya sheria za madini

  MAJUZI, Waziri wa Madini nchini Tanzania, Dotto Biteko ameainisha uwekezaji wa miradi mipya mikubwa mitatu inayoanza kufanyiwa uwekezaji nchini. Anaandika Zitto Kabwe,...

Habari za Siasa

Msajili ailima barua NCCR-Mageuzi, yamjibu na kusema…

  MVUTANO kati ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania na Chama cha NCCR-Mageuzi umeanza upya, hivyo ndivyo unaweza kusema....

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mkuu wa upelelezi Arumeru anaeleza alichoshuhudia

  AFISA wa Polisi nchini Tanzania, Jumanne Malangahe, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya uhujumu uchumi, yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za Siasa

Kamati Kuu maalum CCM yakutaka Ikulu

  KAMATI kuu maalum ya chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), imekutana leo Jumapili, tarehe 7 Novemba 2021, Ikulu ya Chamwino...

Habari za Siasa

Rais Samia amwapisha Silima kuwa Balozi wa Comoro

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemuapisha Pereira Ame Silima (62) kuwa Balozi wa Tanzania nchini Comoro. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma …...

Habari za SiasaTangulizi

Rais mstaafu Karume: Nilishtuka uchaguzi 2015 kufutwa, awapa ujumbe CCM

  RAIS mstaafu wa Zanzibar, Aman Abeid Karume amekumbushia kilichotokea katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 kwamba matokeo ya uchaguzi huo yalifutwa pasina...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi arejesha tabasamu waliotapeliwa na Masterlife

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali imeamua kuwalipa wananchi amana (fedha) walizoziweka kwenye...

Habari za Siasa

Rais Mwinyi aeleza hali ya uchumi wa Zanzibar

  KASI ya ukuaji uchumi wa Zanzibar, imeshuka kutoka asilimia 7.7 iliyokuwa 2019, hadi kufikia asilimia 1.3 mwaka jana. Anaripoti Mwandishi Wetu, Zanzibar...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Dk. Mwinyi kumwaga bilioni 460 mtaani, awapiga dongo wanaomkejeli uchumi wa bluu

  RAIS wa Serikali ya Umoja wa Kitaifa Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema katika mwaka wa pili wa uongozi wake ataingiza Sh...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia atoa ujumbe mzito mwaka mmoja wa Rais Dk. Mwinyi madarakani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amepiga simu kuzungumza na wageni kwenye kilele cha sherehe za mwaka mmoja wa Rais wa Zanzibar,...

Habari za Siasa

Biteko aeleza faida marekebisho sheria ya madini

  WAZIRI wa Madini Dotto Biteko amesema serikali imekuwa ikifanya jitihada za kubadilisha sheria ya madini ili kuliwezesha Taifa kunufaika na rasilimali hiyo...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Tuko tayari kuzungumza kuenzi kazi aliyoacha Maalim Seif

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema katika kuenzi na kutumia busara aliyoiacha Aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad...

Habari za Siasa

Rais Dk. Mwinyi: Maalim Seif hakuwa mchoyo kunishauri, kutoa hekima

  RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Dk. Husein Ali Mwinyi amesema aliyekuwa Makamu wake wa Kwanza, Maalimu Seif...

Habari za Siasa

Jussa asema Maalim Seif alipigania kwa dhati umoja na maridhiano

  KAIMU Mwenyekiti wa Kamati ya Muda ya Maalim Seif Foundation, Ismail Jussa amesema katika mkutano wa mwaka huu wameamua kuupa jina la...

Habari za SiasaTangulizi

Ujambazi wa Sabaya wahojiwa kesi ya Mbowe

  PETER Kibatala, Wakili wa utetezi katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi wa 7 aelezea Bwire alivyokamatwa

  ALIYEKUWA Msaidizi wa Mkuu wa Upelelezi Makosa ya Jinai Wilaya ya Arusha, Inspekta Mahita Omari Mahita, ameanza kutoa ushahidi katika kesi ya...

Habari za Siasa

Mwigulu ataja mabilionea 5000 wa Tanzania, Msukuma yumo

  WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Dk. Mwigulu Nchemba amesema Tanzania ina jumla ya mabilionea 5,740 sawa na asilimia 4.2 ya utajiri katika...

Habari za Siasa

Rais Samia arejea Tanzania

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Alhamisi, tarehe 4 Novemba 2021, amerejea nchini mwake akitokea Glasgow, Scotland, alikokwenda kuhudhuria Mkutano wa...

Habari za Siasa

Mdee aibua sakata la machinga bungeni, serikali yajibu

  SAKATA la kuwaondoa wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ katika maeneo yasiyoruhusiwa nchi nzima, limetua bungeni kwa Mbunge wa Viti Maalum (asiye na chama), Halima...

Habari za SiasaTangulizi

Mwenzake Mbowe adaiwa kukutwa na silaha isiyosajiliwa

  MRAJISI wa leseni za bunduki kutoka Jeshi la Polisi, Kamisheni ya Upelelezi wa Makosa ya Jinai, Kitengo cha Udhibiti na Usajiliwa Silaha...

Habari za SiasaTangulizi

Mahakama yatupilia mbali ombi la kina Mbowe kumkataa shahidi

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi jijini Dar es Salaam, imetupilia mbali pingamizi lililowasilishwa na upande wa utetezi,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mvutano waibuka kuhusu shahidi, Jaji aiahirisha

  MVUTANO umeibuka baina ya mawakili wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Mrajisi leseni za bunduki aanza kutoa ushahidi

  ASKARI Polisi, SSP Sebastian Madembwe (46), ambaye ni Mrajisi wa leseni za bunduki wa Jeshi la Polisi anatoa ushahidi wake katika kesi...

Habari za Siasa

Rais Samia amwandikia ujumbe Rais Mwinyi

  JANA Jumanne, tarehe 2 Novemba 2021, Dk. Hussein Ali Mwinyi alitimiza mwaka mmoja tangu alipoapishwa kuwa Rais wa nane wa Zanzibar. Anaripoti...

error: Content is protected !!