Thursday , 2 May 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Bunge kuanza kesho, fedha za Corona kutikisa

  MKUTANO wa Tano wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, unatarajiwa kuanza kesho tarehe 2 Novemba, mwaka 2021 huku matumizi ya...

Habari za SiasaTangulizi

‘Babu Duni’ ajitosa kumrithi Maalim Seif -ACT- Wazalendo

  MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha ACT Wazaendo – Zanzibar, Juma Duni Haji maarufu kama ‘Babu Duni’ amejiuzulu wadhifa wake ndani ya chama...

Habari za SiasaTangulizi

Saini ya shahidi yaibua mvutano kesi ya Mbowe, yaahairishwa

  USAHIHI wa saini ya shahidi wa nne wa Jamhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi wa Jamhuri asimulia wenzie Mbowe walivyokamatwa 

  SHAHIDI wa nne wa Jumhuri, Anita Varelian Mtaro (45), mfanyabiashara wa kuuza mbege, Rau Madukani mkoani Kilimanjaro ameelezea jinsi Adam Kasekwa na...

Habari za Siasa

Maadhimisho ya miaka 60 ya uhuru yaja kivingine

  SERIKALI ya awamu ya sita imekuja na mbinu mpya ya maandalizi ya maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanganyika baadaye Tanzania....

Habari za Siasa

Rais Samia ateta na mjumbe maalum wa waziri mkuu Uingereza

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Boris Jonson, Waziri Mkuu wa Uingereza katika masuala ya...

Habari za Siasa

Msigwa: Serikali haijarudi Dar es Salaam

  MSEMAJI Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema Serikali haijarudi Dar es Salaam bali imehamia moja kwa moja Dodoma. Anaripoti Mwandishi Wetu, Iringa...

Habari za Siasa

Ndugai awatupia zigo mawaziri utungwaji sheria mbovu

  SPIKA wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amesema sheria zinazopitishwa na Bunge zimekuwa zikilidhalilisha Bunge na kusababisha watu...

Habari za Siasa

CCM yajifungia kujadili vitambulisho vya wamachinga

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema bado kinaendelea kukaa mezani na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Ummy Mwalimu kujadili muafaka kuhusu...

Habari za Siasa

CCM yawaweka kikaangoni wakuu wa mikoa, wilaya sakata la wamachinga

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimesema hakitasita kuanzisha hoja au ajenda ya kuhakikisha wote (wakuu wa mikoa, wilaya) wanaokiuka maelekezo ya namna ya...

Habari za Siasa

CCM yapiga ‘stop’ agizo la kuzuia bodaboda, bajaji kuingia mjini

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza marufuku ya waendesha bodaboda na bajaji kutofika au kufanya shughuli zao katikati jiji la Dar isitishwe mara...

Habari za Siasa

Zitto ashauri njia bora kuwapanga wamachinga, atoa maagizo

  CHAMA cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, kimewataka viongozi mbalimbali wa chama hicho kuwasemea na kuwapigania wafanyabiashara ndogondogo maarufu machinga...

Habari za SiasaTangulizi

Kisa Mbowe: Zitto aweka sharti kikao vyama vya siasa, Rais Samia

  KIONGOZI wa chama cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania, Zitto Kabwe amesema, kikao baina ya Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu Hassan na viongozi...

Habari za SiasaTangulizi

Zitto akambushia maumivu ya uchaguzi mkuu 2020

  KIONGOZI wa chama cha siasa cha upinzani cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe amekumbushia machungu ya uchaguzi mkuu uliopita wa Oktoba 2020 akisema, chama...

Habari za Siasa

Prof. Lipumba ataka upinzani waungane tena

  MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba, amevitaka vya siasa vya upinzani nchini kuungana pamoja kupigania madai ya katiba mpya...

Habari za Siasa

Majaliwa atoa maagizo kwa mawaziri, azuia walinzi binafsi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewaagiza mawaziri na naibu waziri wasimamie taasisi na idara zilizopo chini ya wizara zao ili zizingatie...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi aeleza uchunguzi bastola ulivyofanyika

  SHAHIDI wa tatu wa Jamhuri, Koplo Hafidhi Abdllah Mohammed, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chama...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Fuatilia mtaalamu wa silaha akitoa ushahidi, milipuko  

  KOPLO Hafidh Abdallah Mohamed, mwenye namba F 5914 D ambaye ni shahidi wa tatu upande wa Jamhuri, ameanza kutoa ushahidi katika kesi...

Habari za Siasa

Mnyika awatumia ujumbe wasaidizi Rais Samia

  CHAMA kikuu cha siasa nchini Tanzania cha Chadema, kimeendelea kusisitiza umuhimu wa majadiliano baina yao na Rais wa Taifa hilo, Samia Suluhu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbatia ampigania Mbowe

  MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, amewaangukia viongozi wa dini, kisiasa na Watanzania kwa ujumla, akiwaomba wapaze sauti zao ili mamlaka zimuache huru...

Habari za SiasaTangulizi

Msaidizi wa Sabaya aibua utata kesi ya Mbowe

  SHAHIDI wa pili wa Jamhuri, Justine Elia Kaaya leo Alhamisi tarehe 28 Oktoba 2021, ameendelea kutoa shahidi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Membe ambwaga Cyprian Musiba, kulipwa bilioni 6

  MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, imemuamuru Mmiliki wa Gazeti la Tanzanite, Cyprian Musiba kumlipa aliyekuwa Waziri mambo ya nje, Bernard Membe kiasi cha...

Habari za Siasa

ACT kumsaka mrithi wa Maalim Seif ACT Oktoba 31

  HALMASHAURI Kuu ya Taifa ya Chama cha ACT Wazalendo inatarajiwa kuketi tarehe 31 Oktoba mwaka huu huku jambo kubwa likitarajiwa kumsaka mrithi...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wambana shahidi

  MAWAKILI wa utetezi, Jeremiah Mtobesya na John Mallya wamembana shahidi wa pili wa Jamhuri, Justin Elia Kaaya kuhusu maelezo aliyoyatoa kuhusu kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi aeleza mikakati ya Mbowe kumdhuru Sabaya

  JUSTIN Elia Kaaya, shahidi wa pili wa Jamhuri ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam,...

Habari za SiasaTangulizi

Msaidizi wa Sabaya aanza kutoa ushahidi kesi ya Mbowe

  JUSTIN Elia Kaaya, aliyekuwa mfanyakazi wa Lengai Ole Sabaya, aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Kilimanjaro, ameanza kutoa ushahidi wake katika kesi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kigogo mzito kutinga kortini

  KIONGOZI mwandamizi katika mhimili mmoja wa Dola nchini Tanzania, anaweza kuitwa mahakamani kuwa shahidi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Fuatilia RPC Kingai alivyohitimisha ushahidi wake

  KAMANDA wa Polisi Kinondoni, Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Ramadhan Kingai amehitimisha kutoa ushahidi wake katika kesi ya uhujumu uchumi yenye...

Habari za Siasa

CCM yaitaka HESLB kutoa kipaumbele kwa watoto masikini

  CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeielekeza Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB), kuendelea kutoa kipaumbele kwa kundi la watoto...

Habari za SiasaTangulizi

Mahojiano Rais Samia, BBC yaibua mvutano kesi ya Mbowe

  MAHOJIANO aliyoyafanya Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Shirika la Utangazaji la Uingereza (BBC) na kugusia kesi inayomkabili kiongozi wa chama...

Habari za Siasa

Rais Samia amtembelea Lowassa

  Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemtembelea nyumbani kwake Oysterbay jijini Dar es Salaam, Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji mwingine apangiwa kesi ya Mbowe, kuanza kusikiliza

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumanne tarehe 26 Oktoba 2021, itaendelea kusikiliza kesi inayomkabili kiongozi wa...

Habari za Siasa

Profesa Lipumba amkumbusha IGP Sirro saa yake

  MWENYEKITI wa chama cha siasa cha upinzani nchini Tanzania- Chama cha Wananchi (CUF), Profesa Ibrahim Lipumba amemtaka InspektaJenerali wa Polisi (IGP), Simon...

Habari za SiasaTangulizi

Samia awapa kibarua wanawake wa CCM

  MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan, ameuagiza Umoja Wanawake ya chama hicho (UWT), umpatie ripoti inayoonesha maendeleo ya mwanamke...

Habari za Siasa

Rais Samia ataka mchango wa Bibi Titi uandikwe

  RAIS Samia Suluhu Hassan, ameagiza watafiti na waandishi katika fani za sayansi ya jamii, kuibua mchango wa Bibi Titi Mohamed, katika ukombozi...

Habari za Siasa

UWT wamwangukia Rais Samia

  UMOJA wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), umemuomba Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atatue changamoto zinazoukabili, ikiwemo ukosefu wa mitaji...

Habari za SiasaKimataifa

Rais Ndayishimiye: Rais Samia anaibadilisha Tanzania kwa utawala bora

  RAIS wa Burundi, Evariste Ndayishimiye, amesema Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anaendesha nchi kwa kufuata misingi ya utawala bora. Anaripoti Mwandishi...

Habari za SiasaTangulizi

Tanzania, Burundi zakubaliana mambo 10

  NCHI za Tanzania na Burundi, zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika mambo 10 muhimu ili kuimarisha uchumi wa pande zote mbili. Anaripoti Regina Mkonde,...

Habari za SiasaMakala & Uchambuzi

BIBI TITI MOHAMMED; Mwanamke wa nguvu aliyedaiwa kutaka kumpindua Nyerere

  MIAKA ya hivi karibuni kumeibuka mtindo wa wanawake kujiita au hata kuitwa ‘mwanamke wa nguvu’ lakini wengi wamemsahau Bibi Titi Mohammed, ambaye...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema yaibua kasoro 10 uamuzi kesi ya Mbowe, wenzake

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeibua hoja zaidi ya kumi, kuhusu kasoro zilizojitokeza kwenye uamuzi uliotolewa na Mahakama Kuu, Divisheni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema watuma salamu kwa Rais Samia, Jaji Mkuu, DPP 

  CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeomba kuzungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, ili kupata suluhu ya sintofahamu zinazojitokeza nchini kwenye masuala...

Habari za Siasa

Kigogo THRDC autosa ubunge kisa uanaharakati

  MRATIBU wa Kitaifa wa Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa amesema hana mpango wa kugombea ubunge wa...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema kuja kivingine kesi ya Mbowe, wenzake

  CHAMA kikuu cha upinzania nchini Tanzania cha Chadema, kimesema hakijaridhishwa na uamuzi wa Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...

Habari za Siasa

Madiwani Dodoma wamtibua Mtaka, wajiidhinishia milioni 47 za ziara, awagomea

  MKUU wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amegoma kuidhinisha fedha kiasi cha Sh. milioni 47 zilizotakikana kutumiwa na Wakuu wa Idara na...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji mwingine kesi ya kina Mbowe ajitoa, asema…

  JAJI Kiongozi wa Mahakama Kuu ya Tanzania, Mustapha Siyani amejitoa kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kupanga njama za ugaidi...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi Mbowe, wenzake: Mahakama yapangua pingamizi yao

  MAHAKAMA KUU, Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, nchini Tanzania imeyatupa mapingamizi mawili ya upande wa utetezi katika kesi inayomkabili kiongozi wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe amtaja Mwalimu Nyerere mahakamani

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe amesema, kiongozi wa mwisho wa Taifa hilo ni Hayati Baba...

Habari za SiasaTangulizi

Askofu Mwamakula aendesha maombi mahakamani kesi ya Mbowe

  ASKOFU wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Emmaus Mwamakula, ameendesha maombi maalum katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe na wenzake kortini kesho, Jaji anayesikiliza kesi hiyo kitendawili

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi nchini Tanzania, kesho Jumatano, tarehe 20 Oktoba 2021, inatarajia kutoa uamuzi wa...

Habari za Siasa

Rais Samia amaliza ziara Arusha, arejea Dodoma

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amehitimisha ziara yake ya siku tano katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha na kurejea Ikulu ya...

error: Content is protected !!