MAWAKILI wa utetezi, katika kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyeketi wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wamepinga kupokelewa kwa hati ya ukamataji...
By Regina MkondeDecember 15, 2021MKUU wa Upelelezi Wilayani Arumeru, mkoani Arusha, SP Jumanne Malangahe, ameieleza Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, vitu...
By Regina MkondeDecember 15, 2021KIONGOZI wa Chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kufuata taratibu zote za kisheria na kumuachia Mwenyekiti wa...
By Mwandishi WetuDecember 15, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Mawasiliano Dar es Salaam, imeombwa kuweka kipaza sauti (Spika), nje ya jengo...
By Regina MkondeDecember 15, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imepiga marufuku watu wanaohudhuria mahakamani hapo bila kuvaa barakoa....
By Regina MkondeDecember 15, 2021CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), chini ya Mwenyekiti wake Taifa, Rais Samia Suluhu Hassan, kinatarajia kufanya vikao vyake vya kawaida jijini Dodoma, kuanzia...
By Regina MkondeDecember 14, 2021CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo ( Chadema), kimedai Mwenyekiti wake, Freeman Mbowe na wenzake, wameshindwa kumuomba Jaji Joachim Tiganga, ajiondoe katika kuisikiliza...
By Regina MkondeDecember 14, 2021LICHA ya baadhi ya vyama vikuu vya upinzani nchini kutangaza kususia kikao cha wadau wa tasnia ya siasa kupitia Baraza la Vyama...
By Mwandishi WetuDecember 14, 2021KESI ya ugaidi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na wenzake watatu, inaendelea leo Jumanne, tarehe 14...
By Regina MkondeDecember 14, 2021RAIS Samia amewaonya wabunge kuacha kufanya ubabe katika maeneo ya migodi ili wapewe pesa na kuzitumbua badala yake wasimamie pesa hizo za...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ameeleza kukerwa na diwani wa Kigamboni ambaye awali alipinga operesheni ya kuwahamisha wafanyabiashara ndogondogo ‘machinga’ na sasa ameanzisha...
By Mwandishi WetuDecember 13, 2021MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM) nchini Tanzania, Humphrey Polepole amedai, kuvamiwa nyumbani kwake jijini Dodoma na watu wasiojulikana kisha kuiba televisheni. Anaripoti Mwandishi...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2021CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania- Chadema kimesema, hakitashiriki kikao kilichoitishgwa na ofisi ya msajili wa vyama vingi vya siasa na wadau mbalimbali...
By Gabriel MushiDecember 12, 2021MWENYEKITI Mstaafu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi, Abdallah Bulembo amemmshukia mbunge wa kuteuliwa, Humphrey Polepole akimtaka kumwacha, mwenyekiti wa chama...
By Mwandishi WetuDecember 12, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, leo Jumamosi, tarehe 11 Desemba 2021, amefanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika...
By Regina MkondeDecember 11, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amemteua Balozi Ali Idd Siwa, kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa...
By Regina MkondeDecember 11, 2021RAIS wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema si kweli kwamba ameuza ardhi ya Visiwa vya Zanzibar badala yake...
By Mwandishi WetuDecember 11, 2021ALIYEKUWA Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amesema watu aliowataja kuwa wahuni ambao hawajashughulikiwa, ni wale wanaohangaika...
By Regina MkondeDecember 11, 2021MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, anewataka Watanzania wajiulize kama wana uhuru wa kweli. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021KIONGOZI wa Kanisa la Uamsho la Moravian, Askofu Emmaus Mwamakula, amewataka wanachama na wafuasi wa Chama cha Chadema, kuendelea kupasa sauti zao...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021WAKATI Tanzania Bara ikiadhimisha miaka 60 ya Uhuru, Kiongozi wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe ameishauri Serikali kutekeleza mambo manne muhimu ili kurudisha...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021MAKAMU Mwemyekiti wa Chama cha Chadema Bara, Tundu Lissu, amedai malengo ya wapigania uhuru Tanzania Bara, imesalitiwa katika kipindi cha miaka 60....
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021VIONGOZI wa Chama cha Chadema wilayani Kakonko, Kigoma takribani 18 na wanachama wao 35, wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani humo,...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha) nchini Tanzania, limemuomba Inspekta Jenerali wa Polisi nchini humo (IGP), Simon Sirro...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021JUMLA ya Marais wa nchi nne pamoja na marais wastaafu watatu wamehudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyofikiwa na Taifa katika kipindi cha miaka 60 ya Uhuru, si haba japo kilele...
By Regina MkondeDecember 9, 2021HAPPY Birth Tanganyika. Ndiyo Tanganyika ama kwa sasa Tanzania Bara, leo Alhamisi, tarehe 9 Desemba 2021, inaadhimisha miaka 60 ya Uhuru. Anaripoti...
By Mwandishi WetuDecember 9, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema Watanzania wengi hawayajui makucha ya wakoloni kwa kuwa walizaliwa baada ya uhuru wa Tanzania Bara...
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021LEO Jumatano tarehe 8 Desemba 2021, saa 3:00 usiku, Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, atalihutubia taifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari....
By Mwandishi WetuDecember 8, 2021MWENYEKITI wa chama cha upinzani nchini Tanzania cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, ameiomba Serikali imfutie mashtaka ya ugaidi kiongozi mwenzake wa kisiasa wa...
By Regina MkondeDecember 8, 2021CHAMA tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), kimejinasibu katika kipindi cha miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, kimefanikiwa kuenzi mfumo...
By Regina MkondeDecember 8, 2021KATIBU Mkuu wa chama tawala nchini Tanzania- Chama Cha Mapinduzi (CCM), Daniel Chongolo amesema, kauli iliyotolewa na mbunge wake, Humphrey Polepole inajadiliwa...
By Regina MkondeDecember 8, 2021KATIBU Mkuu wa Shuraa ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda, amesema tatizo la wananchi kutokuwa na uhuru wa kufanya maamuzi ya kisiasa...
By Regina MkondeDecember 7, 2021MWANDISHI wa habari mkongwe nchini Tanzania, Jenerali Ulimwengu, amesema, mtu anayedhani marekebisho ya katiba yaliyofanyika 1977, yanakidhi matakwa ya uendeshaji wa nchi...
By Mwandishi WetuDecember 7, 2021MASHIRIKA Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s), yanayoshughulika na masuala ya utetezi wa haki za binadamu, yameiomba Tanzania, ibadilishe msimamo wake wa kutoyafanyia kazi...
By Regina MkondeDecember 7, 2021BALOZI Fransic Mndolwa, ameshauri wanasiasa wa vyama vya upinzani wasichukiwe bali wapendwe, akisema wana msaada katika Taifa. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es...
By Kelvin MwaipunguDecember 6, 2021RAIS Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Watanzania na wananchi wa mkoa wa Dar es Salaam kuacha tabia kufungulia chemba za vyoo...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameitaka sekta binafsi iweke kipaumbele na kuzingatia usawa wa kijinsia katika utoaji wa ajira hasa wanawake...
By Mwandishi WetuDecember 5, 2021BARAZA la Vyama vya Siasa, limezungumzia miaka 60 ya uhuru wa Tanzania Bara, likisema nchi ina Katiba nzuri, pamoja na mihimili iliyo...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya siasa nchini Tanzania,...
By Regina MkondeDecember 4, 2021CHAMA cha Wananchi (CUF), kimeiomba Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, ifute kesi zinazowakabili wanasiasa, ikiwemo ya uhujumu uchumi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema,...
By Mwandishi WetuDecember 4, 2021MSAJILI wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mutungi, amekiandikia barua Chama cha Wananchi (CUF), akikitaka kijieleze dhidi malalamiko ya wanachama...
By Mwandishi WetuDecember 3, 2021ALIYEKUWA mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Christian Makonda, anatarajiwa kutinga mahakamani, kesho Ijumaa, tarehe 3 Desemba 2021, ili kujibu...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewatembelea mawaziri wakuu wastaafu, Cleopa Msuya na Jaji Joseph Warioba. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar es Salaam...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amezindua rasmi maadhimisho ya sherehe za uhuru wa miaka 60 Tanzania Bara na kuwataka Watanzania kuchukua tahadhari dhidi...
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amesema ili nchi iondokane na upungufu wa sukari, inahitajika uongozi madhubuti katika kusimamia uzalishaji wake....
By Mwandishi WetuDecember 2, 2021MWENYEKITI wa Chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia, amewaomba Watanzania washirikiane katika mapambano dhidi ya Ugonjwa wa Virusi vya Korona (UVIKO-19). Anaripoti Regina...
By Regina MkondeDecember 2, 2021MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar ea Salaam, imepanga kutoa uamuzi wa kesi ndogo ya kupinga...
By Regina MkondeDecember 1, 2021ALIYEKUWA Komandoo wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Gabriel Samheta Mhina, akitoa ushahidi wake katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya...
By Regina MkondeDecember 1, 2021MJUMBE wa Kamati Kuu, ya Chama cha ACT-Wazalendo, Hamad Masoud Hamad, ametangaza nia ya kugombea uenyekiti wa chama hicho, iliyoachwa wazi na...
By Mwandishi WetuDecember 1, 2021