Tuesday , 23 April 2024
Home Gazeti Habari za Siasa Polepole adai kuvamiwa na wasiojulikana, wabeba TV
Habari za SiasaTangulizi

Polepole adai kuvamiwa na wasiojulikana, wabeba TV

Humphrey Polepole
Spread the love

 

MBUNGE wa Kuteuliwa (CCM) nchini Tanzania, Humphrey Polepole amedai, kuvamiwa nyumbani kwake jijini Dodoma na watu wasiojulikana kisha kuiba televisheni. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma … (endelea).

Video fupi aliyerekodi mwenyewe na kuiweka kwenye akaunti yake ya Instagram usiku wa leo Jumapili, tarehe 12 Desemba 2021, inaonesha jinsi watu hao walivyovuruga vuruga ndani mwake.

Katika video hiyo, Polepole anasikika alisema “nimefika Dodoma, nikitokea Manyara katika kambi ya vijana, nimekuta nyumba yangu wameingua watu, wameboa, wamepekua pekua vitu, wameangalia chini ya godoro chumbani kwangu na kuiba TV.”

Katibu huyo wa zamani wa itikadi na uenezi wa CCM amesema “Mimi namshukuru Mungu sana na ninawashukuru sana na leo wefika nyumbani.”

Polepole amesema, “nakwenda kuripoti polisi. Yeyote aliyefanya haya Mungu atanilipia.”

2 Comments

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Articles

Habari MchanganyikoHabari za Siasa

Mwekezaji amwaga bil. 39 kujenga viwanda 3 vya uchenjuaji

Spread the loveKampuni ya Mineral Access System Limited (MAST) inayoiwakilishwa kampuni ya...

Habari za SiasaTangulizi

Mpwa wa Magufuli mbaroni kwa kusambaza picha za utupu

Spread the loveJESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam limewakamata...

Habari za Siasa

Serikali kuanzisha mradi wa Gridi ya maji ya Taifa

Spread the loveWaziri wa Maji, Jumaa Aweso amesema katika mwaka wa fedha...

Habari za Siasa

Rais Samia aridhishwa utendaji mabalozi, awapa neno

Spread the loveRais wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan amewapongeza mabalozi  wanaowakilisha ...

error: Content is protected !!