Saturday , 27 April 2024

Habari za Siasa

Habari za Siasa

Mtambo: Tukianza mapema, tutaiondoa CCM

  MHANDISI Mohamed Mtambo, aliyekuwa mgombea ubunge wa Mkuranga, Mkoa wa Pwani (ACT-Wazalendo), ameviomba vyama vya upinzania nchini Tanzania kuanza maandalizi mapema kwa...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi adai kushtushwa wenzake Mbowe kutuhumiwa kwa ugaidi

  SHAHIDI namba tatu wa Jamhuri, katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Askari Polisi H4323 Msemwa,...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ashiriki mkutano UN, ateta na vigogo

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameshiriki Mkutano wa Umoja wa Mataifa (UN) uliojadili athari za Mabadiliko ya Tabia Nchi yanayoikumba dunia...

Habari za SiasaTangulizi

Shahidi akwamisha kesi ya Mbowe

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imeahirisha kusikiliza kesi ndogo ya kesi ya uhujumu uchumi,...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi akiwa Marekani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Helena Mkonyi, TUDARCo … (endelea). Taarifa ya uteuzi imefanyika leo...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Kibatala ahoji matumizi ya bisibisi, ajibiwa

  KIONGOZI wa jopo la mawakili wa utetezi katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, Peter Kibatala,...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe: Shahidi wa pili amaliza kutoa ushahidi

  SHAHIDI wa pili katika shauri dogo la kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, kwenye Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa...

Habari za Siasa

Ziara ya Majaliwa Kagera yamng’oa afisa manunuzi

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Afisa Manunuzi wa Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera, Yesse Kaganda baada ya kutoridhishwa...

Habari za SiasaTangulizi

Mbowe, wenzake kiguu na njia mahakama ya mafisadi

  KIONGOZI wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, leo Jumatatu, tarehe 20 Septemba 2021, watafikishwa tena...

Habari za Siasa

Rais Samia apaisha uwekezaji nchini, ajira 29,709 kuzalishwa

  UWEKEZAJI nchini Tanzania kwa mwaka 2020/2021, umeongezeka tofauti na ilivyokuwa 2019/2020. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam … (endelea). Taarifa hiyo imetolewa...

Habari za Siasa

Mbunge CCM apata ajali Tunduru

  MBUNGE wa Jimbo la Namtumbo, Vita Kawawa (CCM) amepata ajali katika eneo la Nalasi wilayani Tunduru mkoani Ruvuma wakati akiwa kwenye ziara...

Habari za SiasaTangulizi

Uchaguzi Konde: CUF wakinzana na NEC

  WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi Tanzania (NEC), ikisema Chama upinzani cha Wananchi (CUF), kitashiriki uchaguzi mdogo wa Jimbo la Konde, Zanzibar,...

Habari za SiasaTangulizi

Vyama 16 vyajitosa uchaguzi mdogo Ushetu, kampeni kesho

  VYAMA vya siasa 16, vimejitokeza kushiriki uchaguzi mdogo katika Jimbo la Ushetu mkoani Shinyanga, huku Jimbo la Konde, visiwani Zanzibar, vikijitokeza vyama...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa ujumbe watumishi wa umma

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma kufanya kazi kwa weledi, uaminifu na uadilifu ili waweze kuleta matokeo chanya...

Habari za Siasa

Rais Samia kuendelea kuboresha maisha ya Watanzania

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema, Rais Samia Suluhu Hassan ametoa fedha nyingi kwa ajili ya uendelezaji na ujenzi wa miradi...

ElimuHabari za SiasaTangulizi

Veta kujengwa kila halmashauri Tanzania

  SERIKALI ya Tanzania inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuendeleza ujenzi wa Vyuo vya Ufundi Stadi (Veta) kwa kila halmashauri. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ziarani Marekani

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, kesho Jumamosi tarehe 18 Septemba, 2021 anaondoka kwenda New York nchini Marekani. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dar...

Habari za SiasaTangulizi

Mambo matatu yajirudia kesi ya Mbowe, wenzake

  MAMBO matatu yamejirudia kwenye kesi ya uhujumu uchumi namba 16/2021, inayomkabili kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman...

Habari za Siasa

Waziri Aweso aipa maagizo 3 Ewura

  WAZIRI wa Maji nchini Tanzania, Jumaa Aweso ameipa maagizo matatu Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (Ewura) ikiwemo kudhibiti upagwaji wa...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe, wenzake wajigawa 

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, Dar es Salaam, imekubali ombi la mawakili wa utetezi katika   kesi inayomkabili...

Habari za SiasaTangulizi

Kesi ya Mbowe, wenzake: Wakili adai mshtakiwa ana matatizo ya akili

  WAKILI wa utetezi katika kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama ya Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa...

Habari za Siasa

Rais Samia ateua viongozi 2

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amefanya uteuzi wa viongozi wawili. Anaripoti Mwanaharusi Abdallah … (endelea). Uteuzi huo, umetangazwa leo Alhamisi tarehe...

Habari za SiasaTangulizi

Utaratibu mpya wakwamisha kesi ya Mbowe, Lissu atoa ujumbe

  TUNDU Lissu, Makamu mwenyekiti wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania amepinga uamuzi wa kesi ya kiongozi wa chama hicho, Freeman Mbowe...

Habari za SiasaTangulizi

A-Z ushahidi wa RPC Kingai kesi ya Mbowe

  RAMADHAN Kingai, aliyekuwa Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Arusha, ameanza kutoa ushahidi katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhunumu...

Habari za Siasa

Majaliwa awapa siku 30 Ma-RC kuwapanga machinga

  WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amewapa muda wa mwezi mmoja (siku 30) viongozi wa mikoa na halmashauri wawe wamekutana na wafanyabiashara...

Habari za Siasa

DC Jokate: Wanaume mtuunge mkono 2025

  JOKATE Mwengelo, Mkuu wa Wilaya ya Temeke (DC) Mkoa wa Dar es Salaam, nchini Tanzania amewaomba wanaume kuwaunga mkono wanawake ili kushinda...

Habari za Siasa

Rais Samia apokea ujumbe wa Salva Kiir Dar

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Rais wa Sudan ya Kusini Salva Kiir Mayardit,...

Habari za Siasa

Kesi ndogo ya Mbowe: Jamhuri kutumia mashahidi 7

  UPANDE wa Jamhuri, katika kesi ya uhujumu uchumi yenye mashtama ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake, katika Mahakama ...

Habari za Siasa

Rais Samia aahidi kufufua majukwaa yote ya wanawake nchini

  RAIS Samia Suluhu Hassan ameahidi kukuza uchumi wa wanawake na kutekeleza malengo yote yaliyowekwa na serikali ya wamu ya nne. Anaripoti Patricia...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Wametuchokoza, tukiacha nafasi ya urais 2025 Mungu atatulaani

  RAIS Samia Suluhu Hassan amewataka wanawake wote Tanzania kuweka mipango vizuri ili katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 wamuweka rais mwanamke madarakani...

Habari za SiasaTangulizi

Mawakili wa Mbowe wasimamisha kesi

  JAJI Mustapha Siyai, anayesikiliza kesi ya kiongozi wa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu ameiahirisha...

Habari za SiasaTangulizi

Ushahidi wa RPC Kingai alioutoa kesi ya Mbowe

  KAMANDA wa Polisi wa Kinondoni (RPC), Ramadhan Kingai ambaye ni shahidi namba 2 upande wa Jamhuri katika kesi inayomkabili kiongozi wa chaa...

Habari za Siasa

January amshukuru Rais Samia, aahidi kupiga kazi kivitedo

  JANUARY Makamba, Waziri wa Nishati nchini Tanzania, ametoa shukrani kwa wote waliompongeza kwa kuteuliwa kuwa waziri na kuwaahidi kuwatumikia kwa vitendo. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Kinachoendelea kesi ya kina Mbowe, RPC Kingai anatoa ushahidi

  KESI ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya ugaidi inayomkabili kiongozi wa chaa kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, Freeman Mbowe na...

Habari za SiasaTangulizi

Chadema wamng’ang’ania IGP Sirro, watoa ujumbe

  CHAMA kikuu cha upinzani nchini Tanzania cha Chadema, kimewataka wadau mbalimbali wakiwemo vyama vya siasa, asasi za kiraia na vyombo vya habari...

Habari za Siasa

Ikulu Dodoma yafikia asilimia 75

  RAIS Samia Suluhu Hassan amesema ujenzi wa Ikulu ya Rais inayojengwa katika makao makuu ya nchi Chamwino jijini Dodoma umefikia asilimia 75....

Habari za Siasa

Serikali yawaweka wananchi mguu sawa sensa ya 2022

  SERIKALI ya Tanzania, imewaomba wananchi waachane na mila potofu wasikwamishe zoezi la sensa ya watu na makazi, litakaoiwezesha Serikali kuweka mipango bora...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia: Zoezi la sensa sio geni, viongozi wa dini tusaidinieni

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema kwa kuwa zoezi la sensa sio geni… muda utakapofika kila Mtanzania ajitokeze kuhesabiwa kwani sensa...

Habari za SiasaTangulizi

Mtakwimu mkuu: Hii ndio tofauti ya sensa ya 2022 na zilizopita

MKURUGEZI Mkuu wa ofisi ya Takwimu Tanzania (NBS), Dk. Albina Chuwa amesema sense ya watu na makazi itakayofanyika Agosti mwaka 2022, ni ya...

Habari za Siasa

Makinda: Ni aibu kutohesabiwa

  KAMISAA wa Sensa upande wa Tanzania Bara, Anne Makinda amewataka Watanzania wajione fahari kuhesabiwa kwa kuwa ni aibu kutohesabiwa katika sensa ya...

Habari za Siasa

Ujumbe wa Dk. Ndugulile kwa Rais Samia

  DAKTARI Faustine Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni (CCM) amemahukuru Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwa kumpa nafasi ya kuhudumu kwenye serikali yake....

Habari za Siasa

Jaji Mkuu, Spika Ndugai wampa kibarua mrithi wa Dk. Ndugulile

  WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dk. Ashatu Kijaji, amepewa kibarua cha kuziunganisha taasisi za Serikali na Teknolojia ya Habari...

Habari za Siasa

Majaliwa: Tuende tukawatumikie wananchi

  WAZIRI mkuu Kassim Majaliwa amewataka mawaziri walioapishwa leo jijini Dodoma kwenda kuwatumikia wananchi kwa kuwa ndilo jukumu kuu la serikali. Anaripoti Noela...

Habari za Siasa

January Makamba atwishwa zigo sekta ya nishati

  WAZIRI wa Nishati, January Makamba, amepewa jukumu la kutatua changamoto za sekta ya nishati hasa umeme. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam...

Habari za Siasa

Rais Samia ataja siri ya kumpa wizara ya ulinzi mwanamke

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amesema amemteua Dk. Stergomena Tax kuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, ili kuvunja...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia awaagiza wakuu wa mikoa kuwapanga wamachinga

  RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, amewaagiza wakuu wa mikoa na wilaya nchini, wawapange wafanyabiashara ndogo ndogo ‘wamachinga’, katika maeneo rasmi. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Rais Samia ateua mawaziri na AG, watatu ‘out’

RAIS wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko madogo ya baraza lake la mawaziri kwa kuteua mawaziri wanne na kuwaweka kando watatu. Anaripoti...

Habari za SiasaTangulizi

Jaji aruhusu Mbowe, wenzake kutotaja mashahidi wao

  MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, imeridhia ombi la mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman...

Habari za SiasaTangulizi

Wabunge waivaa Serikali hatima ya ‘Bureau de change’

  NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Mhandisi Hamadi Masauni imetoa wito kwa wafanyabiashara wa maduka ya kubadilisha fedha nchini ‘Bureau de change’...

Habari za Siasa

DED anayetuhumiwa kuiba mabati 1,000 asimamishwa, Waziri Ummy asema…

  WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Ummy Mwalimu amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri...

error: Content is protected !!